Andrew123

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
7,046
8,622
Ndugu Comrade Paul Christian Makonda karibu Kanda pendwa ya Ziwa ujionee ilani ya Chama inavyotekelezwa Kwa vitendo. 2024/2025 Ushindi ni lazima.

---
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Paul Christian Makonda atakuwa na ziara mahususi mkoa kwa mkoa kuanzia tarehe 9 hadi 14 Novemba 2023.

Mikoa inayoletewa salamu za upendo kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa JMT Dkt. Samia Suluhu Hassan ni pamoja na Kagera, Geita, Mwanza, Simiyu na Mara.

Makonda atatembelea pia kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere pamoja na Dkt. John Pombe Magufuli.

da13b965a01d4eca860488e7c1601178.jpg

View attachment 2808313
Wajiandae kutumbuliwa huko!!!...Jamaa hana ushikaji!
 
ma bodaboda huko neema imefunguliwa, mafuta ya pilipiki ni full tank na elfu ishirini juu kwa kila mshiriki - hesabu ya siku kama utajitokeza kumpokea mwana mfalme, bendera za chama utazipata baada ya kupokea mafuta na posho ya siku.

Tumpokee anakuja kutatua matatizo yetu likiwemo la umeme
 
Mafuta wanawekewa lita mbili na posho ya shilling 5000 ndiyo utalatibu wa chama
 
Wote tunakumbuka Tundu Antipas Lisu alipofika Chato aliomba kwenda kupata baraka za Shujaa Magufuli kaburini Kwake na kunena naye machache pale kaburini Kwake

Sasa Mwenezi wa CCM komredi Makonda naye ametimba Chato kupata baraka za Shujaa kabla hatujaingia kwenye heka heka za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Shujaa Magufuli ni kama Maji utayatumia tu 😂😂
 
usituletee mambo ya ibada za kishetani za kuabudu wafu. Yule ni mfu tayari hana la kusikia, hata hivyo yeye ni nani nchi hii, hii nchi si boma lake, hii ni nchi ya watanzania, yeye alikuwa mtumishi tu. Acheni uzezeta.
 
Mkuu una sonona?kwani John kasema Jpm tz ni boma lake?au Jpm anaabudiwa au nchi hi sio ya waTZ wote?
 
Ndugu Comrade Paul Christian Makonda karibu Kanda pendwa ya Ziwa ujionee ilani ya Chama inavyotekelezwa Kwa vitendo. 2024/2025 Ushindi ni lazima.

---
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Paul Christian Makonda atakuwa na ziara mahususi mkoa kwa mkoa kuanzia tarehe 9 hadi 14 Novemba 2023.

Mikoa inayoletewa salamu za upendo kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa JMT Dkt. Samia Suluhu Hassan ni pamoja na Kagera, Geita, Mwanza, Simiyu na Mara.

Makonda atatembelea pia kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere pamoja na Dkt. John Pombe Magufuli.

mwamba na motro wa watoa taarifa
 
Hapo mama amebugi, huyu bwanamdogo ni kiongozi wa maonesho, siyo mtu wa kazi. Haya ni mapokezi ya nini, mbona sikuona upuuzi huu kwa wenzake waliomtangulia? Sikuona kwa Shaka Hamdu Shaka, sikuona kwa Sophia Mjema, yeye ana tofauti gani na waliomtangulia? Tofauti ninayoiona mimi ni kwamba Makonda halina akili, ana IQ ndogo sana. Hapa mwenyekiti ameiangusha chama.
 
CCM hasa walamba asali, piganieni katiba mpya sasa, madaraka ya rais yapunguzwe, nyakati hazitabiriki, lolote linaweza kutokea.

Au ni nani aliyewaza kuwa Makonda angekuwa Mwenezi zama hizi?
 
ma bodaboda huko neema imefunguliwa, mafuta ya pilipiki ni full tank na elfu ishirini juu kwa kila mshiriki - hesabu ya siku kama utajitokeza kumpokea mwana mfalme, bendera za chama utazipata baada ya kupokea mafuta na posho ya siku.

Tumpokee anakuja kutatua matatizo yetu likiwemo la umeme
Hivi katibu mkuu wa chama yuko wapi? Amebariki huo upuuzi anaoufanya huyo bwanamdogo akili ndogo? Atawavuruga sana, kwa upumbavu wake Makonda anajiona mkubwa kuliko Chongolo.
 
Back
Top Bottom