Makonda: Rais Samia ni dada wa Kanda ya Ziwa

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,398
3,907
📌📌 RAIS SAMIA NI DADA YETU, WATU WA KANDA YA ZIWA - MWENEZI MAKONDA

"Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ni dada wa kanda ya Ziwa. Tuna wajibu wa kumuombea, kumlinda na kumtetea kwa sababu kaka yetu Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ndiye aliyetutambulisha na kutuambia 'huyu ndiye dada yangu'. Asingelikuwa Magufuli, Samia tusingelimfahamu."

Ndugu Paul Makonda, Viwanja vya Ofisi za CCM Mkoa wa Mwanza.

Mkutano wa Hadhara wa Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na Mafunzo, 12 Novemba 2023.

#CCMImara
#kaziiendelee
 
Sengerema, Mwanza

Paul Makonda - "Mimi Ni Mtu Ninayesema Ukweli Siku Zote"

View: https://m.youtube.com/watch?v=6HrvJl16e-4

WanaCCM wenye vyeo ktk chama na serikali ya Samia Suluhu Hassan wanaoamkataa Magufuli leo, ipo siku watamkataa Samia kesho .... kwa kuwa siyo wakweli wanaendekeza njaa ... asema kada Paul Makonda katibu mwenezi wa CCM Taifa akiongea na wanaCCM katika mji wa Sengerema ...
 
20231112_004017.jpg
 
📌📌 RAIS SAMIA NI DADA YETU, WATU WA KANDA YA ZIWA - MWENEZI MAKONDA

"Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ni dada wa kanda ya Ziwa. Tuna wajibu wa kumuombea, kumlinda na kumtetea kwa sababu kaka yetu Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ndiye aliyetutambulisha na kutuambia 'huyu ndiye dada yangu'. Asingelikuwa Magufuli, Samia tusingelimfahamu."

Ndugu Paul Makonda, Viwanja vya Ofisi za CCM Mkoa wa Mwanza.

Mkutano wa Hadhara wa Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na Mafunzo, 12 Novemba 2023.

#CCMImara
#kaziiendelee
MAKONDA ANAKATA FUNUA MKOA WA MWANZA,,
mistake ni huyo dada mnayemchangishia fedha hapo, je hiyo ndio njia ya kumtatulia tatizo la uombaomba alilonalo?, pls solve the main problem.
 
Samia ni dada yetu kanda ya ziwa, omani ni wajomba wa samia....kwahiyo hapo sisi wa kanda ya ziwa automatic omani ni ujombani si ndio??!!

Nahene loloo
 
Makonda aache kutiongopea sisi wa Kanda ya ziwa. Samia alimkana Magufuli kwa vitendo mara tu baada ya kifo chake.
* Aliruhusu chanjo ya korona.
*Aliwaachia wafanyabiashara akina mzee Rugemalira na Habinder Seth waliokuwa wanateswa na jiwe.
*Aliwaondoa wateule watiifu wa jiwe serikalini.
* Akaifungua nchi na kukaribisha wawekezaji wakati jiwe alikuwa anaifunga nchi na kuwaita wazungu "mabeberu".
*Alindoa marufuku batili ya mikutano ya vyama vya siasa iliyowekwa na jiwe.
* Na mengine mengi.
 
tangu lini wewe ukamtetea Magufuli tuachie dada yetu mheshimiwa Dk Samia Suluhu Hassan
 
Back
Top Bottom