Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
umenena mkuu. heri habari hii ingeandikwa kwenye toilet paper ningefanya kila mbinu ninunue.Nawashangaa kutoa maoni yenu muhimu kwa rejea ya gazeti la UHURU.Heri Toilet Paper kuliko Gazeti la Uhuru.Gazeti la Uhuru ni rubbish tu wala usitoe rejea yako kwenye gazeti ilo.