Ni makosa makubwa kushinikiza Serikali - Dk Benson Bana

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Msomi kutoka chuo kikuu cha DSM Dk Benson Bana amesema ni makosa makubwa serikali kuongozwa kwa mashinikizo.Dk Bana alikuwa akirejea shinikizo la kuwawajibisha mawaziri mafisadi na wazembe lililotolewa na bunge katika kikao kilichoisha jumatatu wiki hii.Dk Bana ameonyesha kukerwa na kitendo hicho kwani ni kutaka kuyumbisha serikali.

Source:Uhuru Jumatano
 
Hapo sikubaliani na Dr. Bana kabisa, Mawaziri wanafanya ufisadi na ushahidi upo halafu watu wasiwajibike, hiyo hapana, kama kuna shinikizo kwa mtu msafi hapo unasema sawa lakini kwa mtu ambae anaihujumu nchi na wabunge wamehakikisha hilo sasa kwa nini shinikizo lisitoke, TZ ni tofauti na nchi nyingine, kujiuzuru inaonekana ni kitu kigumu saana, ila kwa wenzetu ni kiti cha kawaida
 
Ana bahati mbaya kweli maana hata kwenye Tume ya Kukopi maoni ya katiba mpya hakuwepo. Mwenzake Paramagamba Kabudi, ingawa hakuupata uenyekiti, walau amekuwa mjumbe.

Hivi huyu dr ana kabinti kokote? Kuna jamaa yangu ana hasira naye sana, anataka atumie sex kama weapon ya kum-attack huyu Bunsen Burner!
 
Napendekeza iundwe tume ichunguze ni nani alimpa huyu BANA vyeti wakati dalili za awali zote zinaonyesha huyu ni msukuma mkokoteni?
 
Msomi kutoka chuo kikuu cha DSM Dk Benson Bana amesema ni makosa makubwa serikali kuongozwa kwa mashinikizo.Dk Bana alikuwa akirejea shinikizo la kuwawajibisha mawaziri mafisadi na wazembe lililotolewa na bunge katika kikao kilichoisha jumatatu wiki hii.Dk Bana ameonyesha kukerwa na kitendo hicho kwani ni kutaka kuyumbisha serikali.

Source:Uhuru Jumatano

Mzee huyu anafaidika sana na UFISADI na kama namuonea aje akanushe hapa. Ni Dr. Ambaye uwezo wake wa kufikiri umechuja.

Amekula sana hela ya mafisadi kupitia REDET na leo anaona serikali ikianguka naye atachunguzwa. Only that.

View attachment 52635
 
****!!! Dr. Wa vitabu sio hekima!!!!

Serikali imeundwa na sisi wananchi, sisi ndio tunaopanga namna ya tuliyomchagua atuongoze!!!!!!

Shame on you!!!!!!

Chelsea tumetokelezeaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kwa namna uovu unavyolelewa na kulindwa katika kipindi hiki cha mwisho cha ile miaka mitatu kabla ya kuharibiwa kwa CCM, tutegemee nini zaidi ya mwamko wa kisiasa na uamsho wa kiroho ili kuilinda dola ya Tanzania isiangamie? Ndio haya Matamko, Maandamano na Mashinikizo kwani, Uovu usiotubiwa husababisha taifa, jamii, au mtu binafsi kuangamia.

Tujiandae kama Taifa! Tusimame, nasi tuseme chochote kupinga uovu huu. Tusiwaogope wao la sivyo tutafanywa tuwaogope. Leo tumefanywa kama mji wenye ngome, nguzo za chuma na ukuta wa shaba ili kusimama dhidi ya uongozi mbovu wa nchi hii, dhidi ya serikali dhalimu ya Tanzania, maafisa wake, makuhani wake na wafuasi wao. Watapigana nasi lakini hawatatushinda, kwa kuwa MUNGU yupo pamoja NASI
 
Sijafikia level ya udaktari kama yeye lakini nachelea kupinga uelewa wake kuhusu hili.
Katika nchi ya kidemokrasia wananchi ndio decision makers namaanisha ndio wanaoamua serikali ifanye nini na kama imeshindwa wanachukua uamuzi wa kuiwajibisha kulingana na katiba....wananchi bungeni ni wabunge na wameona serikali imeshindwa,serikali bungeni ni mawaziri na mkuu wao ni waziri mkuu...sasa wananchi hao kwa kufuata katiba wanataka kuiwajibisha serikali inayowatumikia kwa kushindwa,eti unasema wanakosea....ni haki yao kikatiba na udhaifu wao umeanikwa hadharani...sasa dk.Bana hajui kama wananchi ndio wenye mamlaka yaani decision makers....arejee ibara ya nane ya katiba yetu.
 
Hii inaonyesha jinsi gani huyu mwanazuoni alivyokuwa frustrated na maisha. Anatafuta kujipendekeza kwa JK ili naye apewe kitengo.
 
Msomi kutoka chuo kikuu cha DSM Dk Benson Bana amesema ni makosa makubwa serikali kuongozwa kwa mashinikizo.Dk Bana alikuwa akirejea shinikizo la kuwawajibisha mawaziri mafisadi na wazembe lililotolewa na bunge katika kikao kilichoisha jumatatu wiki hii.Dk Bana ameonyesha kukerwa na kitendo hicho kwani ni kutaka kuyumbisha serikali.

Source:Uhuru Jumatano

Hapa mahali si pa kurejea gazeti,tunataka arejee kwa mujibu wa katiba ya JMT,ibara,kifungu kikubwa,kifungu kidogo na kipengele cha ngapi ambapo kuna state kwamba ni makosa kuitaka serikali iwajibike?WASOMI WA NAMNA HII IPO SIKU WATACHARAZWA BAKORA NA WATU WENYE HASIRA.
 
Msomi kutoka chuo kikuu cha DSM Dk Benson Bana amesema ni makosa makubwa serikali kuongozwa kwa mashinikizo.Dk Bana alikuwa akirejea shinikizo la kuwawajibisha mawaziri mafisadi na wazembe lililotolewa na bunge katika kikao kilichoisha jumatatu wiki hii.Dk Bana ameonyesha kukerwa na kitendo hicho kwani ni kutaka kuyumbisha serikali.

Source:Uhuru Jumatano
Jamani huyu Dr Banna alipewa huu udokta kama kiongozi wa magamba au aliukeshea kabisa huo udokta wake....nway tutafika tu!
 
Mchumia tu huyu,nadhani kama hizi ndizo aina ya wasomi wa phd kuna uwezekano mkubwa hata nchi inatafunwa kimipango,anafundisha nin udsm bw.bana?hajui sheria?hajui mamlaka ya bunge?hajui wananchi wanataka nini?usomi gani huu usio na vision wala mision,aache kujifanya msemaji wake ccm na kama yeye mwanataaluma twategemea atafsiri mambo in perspective na si kiwepesi namna hiyo.kama msomi na mhadhiri atuonesha kuwa yeye anaona zaidi na adhari za pande mbili kama ni chanya ama hasi na si kukurupuka kusemea serikali kwa hoja dhaifu kama hizo.vinginevyo twamshauri ajipime na ajivue gamba!
 
huyu DR magamba huu u dr kaupata kupitia ufisadi kwa hiyo sikutegemea jipya kwake
 
Hata kama serikali inavurunda!!!!!! aaaaaaaaaaaaaaa DOKTERI!!!!! - umelewa hela za mafisadi nini.
 
Back
Top Bottom