Ni lini Kanisa Katoliki litasimama kuliomba radhi taifa hili kwa kutuzalishia wengi wa wasomi wasio wazalendo?

Umefanya tafiti yakutosha

Serikali yetu haifungamani na dini zote nchini inawezekana katolic walishatoa sana ushauri ukawa unapuuzwa

Kama ilivyo Leo zama za habari ,kitima anapambana balaa kama mtendaji wa Baraza la maaskaofu lakini serikali bado inaendelea kupiga ng'ombe wanyuma na wambele ndo mvivu na mvimbiwa
Tafiti ya kutosha kuhusu Nini??

Hiko kitu si nyinyi wenyewe wasomi wa kanisa mnatamba kuwa wengi wenye shule nchi hii ni nyinyi??

Kwani tunasema sisi mambo kama hayo,tunachosema sisi ni kwamba kuwa kuwa wasomi ndie ambao wanaongoza Taifa katika utendaji wake basi Wana kesi ya kujibu Kwa huu uozo wa wizi na ufisadi huko kwenye utumishi wao.
 
Friends and Our Enemies,

Italian philosopher and poetry Dante Alighieri,who partly was influenced by Muslim Philosopher Ibn Sina used to say that 'how you do anything is how you do everything'...

Kilchotokea kwenye Taifa hili mara baada tuh ya nchi hii kupata uhuru ni kupambana na maadui watatu ambao ni ujinga,maradhi na umaskini.

Nchi hii ili iweze kupambana na ujinga ilibidi ichukue kila ambacho mkoloni alikuwa ana kimiliki kiwe wakfu Kwa Taifa hili.

Either kama mkoloni alikuwa anamiliki plantations, alikuwa anamiliki hospitals, alikuwa anamiliki shule,alikua anamiliki viwanda,alikuwa anamiliki makanisani,etc etc...so long as vitu hivyo mkoloni alivichuma hapa kwenye ardhi hii Tena Kwa kuwatumia mababu zetu kama watumwa na vijakazi wake basi Mali hizo anazoacha baada ya yeye kuondolewa ni Mali za Taifa hili Kwa kuwa alizichuma illegally ndani ya ardhi yetu.

Kwenye suala la kuondoa ujinga,kanisa lilishika hatamu Kwa kias kikubwa Kwa sababu hata kipindi ambacho wakoloni wapo ndani ya Taifa hili,wanufaika wakubwa wa the so called elimu Dunia ni watoto wa vibaraka wao weusi,ambao Kwa namna yyte wao ndiyo waliopata loopholes za kwenda shule Kwa kutumia mgongo wa Imani ili waje kuwasadia katika administration issues za chini chini na baadhi ya kazi walizoona wao zinafaa.

Baada ya kuwakimbiza wanyonyaji hao Bado mifumo ilibakia chini ya hawa vibaraka wao kiasi kilichopelekea kuzalisha wasomi wengi kizaz baada ya kizaz ambao waliingia Moja Kwa Moja katika utumishi wa umma wa Taifa hili.

Watumishi hao wengi wao kama siyo wote bahata mbaya sana wakaja kubadilika na kukosa hofu ya mungu,ambayo hata hivyo haijawahi kufundishwa huko kwenye misingi Yao ya elimu kuwa utumishi wa umma ni ibada,watumishi hao wakawa wengi wakazidi kuzaliana kizazi na kizazi kiasi Cha kupelekea wao kujaa kwenye utumishi wa umma.

Taifa lolote linaongozwa na watumishi WAZALENDO,hao ndiyo watakuwa responsible kutengeneza sera imara Kwa ajili ya kilimo,ulinzi wa nchi,elimu,biashara, technology na kadhalika.

Bahati mbaya watumishi hawa,ambao Mimi nawaona Kwa kiwango kikubwa ni Zao za shle za kanisa katoliki na mengine hawaja na msaada katika Taifa hili, wengi wao wamekuwa wabinafsi,wezi,Wala rushwa na ambao wamekosa ubunifu wa kufanya Yale yanayostahiki kufanywa kulingana na elimu Yao ili kulipeleka mbele Taifa hili.

Tunawauliza Sasa hawa wasomi wa kanisa,lini watapata uzalendo na kulitumikia Taifa hili kwa weledi na hofu ya mungu Kwa kuacha rushwa,wizi, ufisadi na kadhalika??

Ninasema hivyo kwa kujiamini Kwa sababu ni kweli wao wenyewe ndiyo wanasema ndani ya nchi hii wasomi ni wao,na serikalini wamejaa wao,sisi wengine wavaa kobazi hakuna la maana tunajua zaidi ya elimu akhera.

Je,lini kanisa katoliki LITASIMAMA kuomba radhi Kwa KUTUZALISHIA wasomi wengi ambao wamekuwa disgrace Kwa Taifa letu??

Mzee saidi mudi alisomeshwa na kanisa.
 
Sikubaliani na hoja yako kwa sababu kadhaa.

Yawezekana proportionally kwenye uongozi na utumishi wa umma, wakristo walikuwa wengi kuliko waislam, lakini ukweli ni kwamba haijawahi kutokea wakati wowote ambapo nchi hii iliwahi kutawaliwa na watu wa dini moja au taasisi za Serikali zikaendeshwa na dini moja.

Tukiangalia kwa umakini, viongozi na watumishi wengi wa nchi, awamu ya kwanza, walifanya kazi kwa uaminifu na uzalendo wa hali ya juu, hata maisha yao yalikuwa ya kawaida sana.

Uzalendo na uaminifu viliporomoka kwa kasi wakati wa awamu ya pili. Wakati wa awamu ya pili ndio nchi ilipokea misaada mingi na mikubwa kuliko awamu nyingine yoyote. Wastani wa misaada ulifikia dola 625 kwa kila raia lakini inakadiriwa kuwa zaidi ya 60% ya pesa yote iliishia mikononi mwa mafisadi.

Awamu ya 3, wizi na ufisadi ulipungua kwa kiasi, lakini ukaja kupaa wakati wa awamu ya 4, na umeendelea kuwa mkubwa zaidi mpaka leo. Hawa wanaoyafanya hayo wamesoma kwenye shule za umiliki tofauti tofauti. Kwa hali ilivyo, hakuna cha muislam wala mkristo, wala mpagani, yote ni majizi. Hata ukitazama kwa uchache tu ambao ama ni wezi, mafisadi au waporaji wa mali za watu, wanaoingia mikataba ya hovyo kutokana na kupewa rushwa kubwa, unauona mchanganyiko wa wazi.

Makonda - mkristo
Majaliwa - muislam
Mbarawa - muislam
Biteko - mkristo
Mchengerwa - muislam
January - mpagani
Lowasa - mkristo
Abdul - muislam
Kinana - muislam
Bashe - muislam
Mwigulu - mkristo
Dau - muislam
Malima - muislam
Kuweka kumbukumbu sawa: January ni Muislamu, jina lisikuchanganye.

Baadhi ya uthibitisho ni huu apa chini

Understand this,ww msomi wa kanisa lielewe hili...Rais aliepo madarakani Hana ubavu wa kuwafanya hao wasomi waache kuiba,ndiyo maana Kuna mahakama,polisi,takukuru na kadhalika,hiyo yote ni kudeal na hao wanaojiita wasomi.

Hata magufuli ambae kwako ww unaweza sema kuwa alikuwa anapambana na ufisadi,Bado wasomi waliojaa kwenye utumishi ambao wengi ni wasomi wa kanisa hawakuisha kuliibia Taifa hili na kuingia mikataba mibovu,hadi akifika hatua magufuli akasema sijui kabudi unawafundisha Nini huko chuo.

Sisi Bado tunataka Kanisa lituambie lini litaomba radhi Kwa niaba ya wasomi wao hawa.
Kama ni hivyo, basi tuanze kwanza na Bakwata kwa kukubali kuwa tawi la CCM kinyume kabisa na utaratibu! Na pia kwa kuuza kiholela mali zote za Waislam; vikiwemo viwanja! Halafu hela zote viongozi wakazichikichia mifukoni mwao.

Ukibisha katika hili, nipo tayari kukuitia Sheikh Ponda Issa Ponda ili aje akucharaze viboko kwa kuhangaikia mambo ya Wakatoliki, huku ukifumbia uozo uliotamalaki pale Bakwata.
 
Kwa asili binadamu wote ni wahalifu.
Binadamu Wote ni wabinafsi Kwa asili.
Binadamu Wote wanapenda kuheshimiwa na kusifiwa au kutukuzwa .
Binadamu Wote wanapenda kumiliki Mali nyingi bila kikomo.
Binadamu Wote wanapenda starehe .

Binadamu Wote wanapenda kuwa Juu ya wengine na kutawala wengine.

Binadamu Wote ni Sawa Kwa asili Yao na ubinadamu wao.

Tatizo la Wizi ,ufisadi na Matumizi mabaya ya madaraka lililojitokeza Baada ya mkoloni kuondoka halitokani na kanisa Katoliki Bali mifumo na Katiba iliyozalishwa na Chama cha Mapinduzi.

Waarabu , Wazungu,Wachina ,Wahindi Wote wameendelea SIO Kwa Sababu ya Dini Zao Bali Kwa Sababu ya Sheria Kali zinazowaadhibu wale wanaoiba na kuchezea Mali za umma.

Waarabu na wachina wakiwa kwao hawavunji Sheria Wala kukwepa Kodi lakini wachina na waarabu Hao Hao wakiwa Tanzania wanaoshirikiana na watawala kuvunja Sheria na kukwepa Kodi Tena kupitia udhaifu Wa Sheria.

Mtanzania Huwezi kwenda Italia au Saudí Arabia au China au India ukapewa Ardhi yenye Ukubwa Wa Jimbo la uchaguzi kirahisi rahisi lakini Watu Hao Hao wanatumia Sheria dhaifu inayompa mamlaka MTU mmoja kutoa maamuzi ya ardhi Yote ya Nchi . MTU ámbaye hashitakiwi anapotoa maamuzi yake ama Kwa upendeleo au Kwa maslahi Binafsi
Hapo sio Tatizo la Dini ya MTU Bali Sheria na Katiba ya hovyo inayowapa mwanya watu Wachache kufanya wanavyotaka bila kuulizwa .

Nchi Hii mpaka Sasa umetawaluwa na kuongozwa na viongozi Wa Dini mbili ambazo ni ya kiislam na Kikatoliki. Na Wote wanatumia Katiba ile ile inayowapa watawala mamlaka makubwa Kama miungu. Hata hivyo watawala Wote Hao hakuna aliyetumia Dini yake kujenga misingi ya uadilifu kupitia Sheria na Katiba Bali Karibu Wote walitumia udhaifu Wa Katiba Kwa manufaa Binafsi au manufaa ya Chama Wakati Wa uchaguzi Ili kubakia madarakani.
Kuna wasomi Wakatoliki waadilifu kama Waryoba na kuna wasomi Waislam waadilifu kama Shivj .
Kuna Wakristo waliojaribu kupinga mifumo mibovu wakapingwa sana na Waislam wengi Kwa maslahi Binafsi na pia kuna Waislam waliojaribu kupinga mifumo mibovu inayolea ufisadi lakini walipingwa sana na Wakristo wengi.
Nyuma ya Yote ni udhaifu Wa Sheria .

Mwalimu Nyerere alijaribu kutumia Mamlaka yake kupambana na genge la Wezi Kwa kuwabana bila kuweka mifumo endelevu Kwa kuanzisha azimio la Arusha kisiasa badala ya kikatiba na kisheria lakini pia ndani ya mifumo ya wasimamizi wa Sheria na watawala .
Mwinyi alikuja akiwa Muislam lakini akafanya ale Yale ya kubeba maslahi Binafsi na chama na kubaki na Katiba ile ile ya mkoloni. Matokeo yake akashindwa kabisa kuwabana Wezi na Mafisadi ambao Dini Zote zinawakataa na kidini Wezi Wa Mali za umma wanapaswa kuuawa na SIO tu kufukuzwa kazi.

Wakoloni walikuja Kama waavyokuja leo Waarabu na wahindi na Wachina.
Waarabu wakija wanawekeza lakini wanatoa huduma za kijamii kama kujenga misikiti na visima vya Maji n.k.
Wakoloni wao walijenga shule na Hospitali.
Mwarabu akijenga msikiti hajalazimushwa ni Kwa manufaa ya KAZI zake na Imani yake kudhibiti wafanya KAZI wake kupoteza muda mwingi Wa kwenda mbali Kwa ajili ya kuswali. Yote ni mbinu za Wakoloni Wa zamani na Wa Leo bila kujali Dini Zao.

Waisama ni Karibu nusu ya WATANZANIA Wote. Halikadhalika Wakristo lakini cha ajabu Wote wanaposhika Madaraka kwenye idara Zote Hawana Tena muda Wa kuweka Sheria Kali za kudhibiti Wezi Kwa kutoa adhabu Kali Bali wanatumia udhaifu Wa Sheria kuiba.
Halo utalilaumu vipi kanisa Katoliki.?
Wasomi wengi waliopo madarakani ni wale waliosoma shule za Serikali na SIO za Binafsi ikiwemo za Dini.
Wasomi waliosoma shule za Dini wengi walikua Enzi hizo ambazo Hata chuo kikuu lilikua kimoja.
Leo Dini Zote zina mashule na vyuo lakini Bado wasomi wake wanatumia udhaifu Wa Sheria za Nchi na Kubebana kupitia CCM na kulihujumu taifa na SIO kanisa Katoliki.
Tena Kanisa Katoliki Kwa muda Mrefu wamepinga sana uhuni na Wizi unaofanywa na watawala na wale wenye nafasi za Juu serikalini lakini wamekua walipingwa na baadhi ya mashekhe Kwa manufaa yao Binafsi huku wakiacha Sheria mbovu ziendelee kuwabeba wahuni .
 
Before bakwata,unajua kulikuwa Kuna chombo Gani ambacho waislam walikuwa wanaunganishwa nacho??

Na unajua Nyerere alifanya Nini kukipiga vita chombo Hiko hadi kuzaliwa Kwa bakwata??

Besides, bakwata sisi kwetu Wala haitupi shida,mara baada ya kugundua tumeamua kuishi nayo na kufuata Yale yaliyo ya msingi kwetu,usitegemee mgogoro wowote baina yetu waislam na bakwata.

Umeelewa Sasa mada?Lin sasa kanisa litakuwa TAYARI kuja kuomba Radhi?
 
Friends and Our Enemies,

Italian philosopher and poetry Dante Alighieri,who partly was influenced by Muslim Philosopher Ibn Sina used to say that 'how you do anything is how you do everything'...

Kilchotokea kwenye Taifa hili mara baada tuh ya nchi hii kupata uhuru ni kupambana na maadui watatu ambao ni ujinga,maradhi na umaskini.

Nchi hii ili iweze kupambana na ujinga ilibidi ichukue kila ambacho mkoloni alikuwa ana kimiliki kiwe wakfu Kwa Taifa hili.

Either kama mkoloni alikuwa anamiliki plantations, alikuwa anamiliki hospitals, alikuwa anamiliki shule,alikua anamiliki viwanda,alikuwa anamiliki makanisani,etc etc...so long as vitu hivyo mkoloni alivichuma hapa kwenye ardhi hii Tena Kwa kuwatumia mababu zetu kama watumwa na vijakazi wake basi Mali hizo anazoacha baada ya yeye kuondolewa ni Mali za Taifa hili Kwa kuwa alizichuma illegally ndani ya ardhi yetu.

Kwenye suala la kuondoa ujinga,kanisa lilishika hatamu Kwa kias kikubwa Kwa sababu hata kipindi ambacho wakoloni wapo ndani ya Taifa hili,wanufaika wakubwa wa the so called elimu Dunia ni watoto wa vibaraka wao weusi,ambao Kwa namna yyte wao ndiyo waliopata loopholes za kwenda shule Kwa kutumia mgongo wa Imani ili waje kuwasadia katika administration issues za chini chini na baadhi ya kazi walizoona wao zinafaa.

Baada ya kuwakimbiza wanyonyaji hao Bado mifumo ilibakia chini ya hawa vibaraka wao kiasi kilichopelekea kuzalisha wasomi wengi kizaz baada ya kizaz ambao waliingia Moja Kwa Moja katika utumishi wa umma wa Taifa hili.

Watumishi hao wengi wao kama siyo wote bahata mbaya sana wakaja kubadilika na kukosa hofu ya mungu,ambayo hata hivyo haijawahi kufundishwa huko kwenye misingi Yao ya elimu kuwa utumishi wa umma ni ibada,watumishi hao wakawa wengi wakazidi kuzaliana kizazi na kizazi kiasi Cha kupelekea wao kujaa kwenye utumishi wa umma.

Taifa lolote linaongozwa na watumishi WAZALENDO,hao ndiyo watakuwa responsible kutengeneza sera imara Kwa ajili ya kilimo,ulinzi wa nchi,elimu,biashara, technology na kadhalika.

Bahati mbaya watumishi hawa,ambao Mimi nawaona Kwa kiwango kikubwa ni Zao za shle za kanisa katoliki na mengine hawaja na msaada katika Taifa hili, wengi wao wamekuwa wabinafsi,wezi,Wala rushwa na ambao wamekosa ubunifu wa kufanya Yale yanayostahiki kufanywa kulingana na elimu Yao ili kulipeleka mbele Taifa hili.

Tunawauliza Sasa hawa wasomi wa kanisa,lini watapata uzalendo na kulitumikia Taifa hili kwa weledi na hofu ya mungu Kwa kuacha rushwa,wizi, ufisadi na kadhalika??

Ninasema hivyo kwa kujiamini Kwa sababu ni kweli wao wenyewe ndiyo wanasema ndani ya nchi hii wasomi ni wao,na serikalini wamejaa wao,sisi wengine wavaa kobazi hakuna la maana tunajua zaidi ya elimu akhera.

Je,lini kanisa katoliki LITASIMAMA kuomba radhi Kwa KUTUZALISHIA wasomi wengi ambao wamekuwa disgrace Kwa Taifa letu??
We jamaa!

Kuwa mwelewa!

Kanisa linaandaa watu was kuwa loyal kwao yaani watiifu Kwa kanisa na kulinda Mali za kanisa sio ustawi was watu na Mali zao!!

Yaani kanisa hilo linataka watu watiifu Ili wawe watiifu lazima wawe na kipato kidogo na wakipata kingi wapeleke kanisani yaani kanisa Liwe na mali Nyingi kuliko watu!!

Hakuna mpango was kuandaa uzalendo wa kitaifa zaidi was kikanisa!!
 
Before bakwata,unajua kulikuwa Kuna chombo Gani ambacho waislam walikuwa wanaunganishwa nacho??

Na unajua Nyerere alifanya Nini kukipiga vita chombo Hiko hadi kuzaliwa Kwa bakwata??

Besides, bakwata sisi kwetu Wala haitupi shida,mara baada ya kugundua tumeamua kuishi nayo na kufuata Yale yaliyo ya msingi kwetu,usitegemee mgogoro wowote baina yetu waislam na bakwata.

Umeelewa Sasa mada?Lin sasa kanisa litakuwa TAYARI kuja kuomba Radhi?
Kwa hoyo unakubali Bakwata ina mapungufu, lakini wewe pamoja na baadhi ya wenzako msiojielewa; kwa makusudi kabisa mnaamua kuishi nayo hivyo hivyo!!

Nadhani Bakwata ingetangulia kwanza kuomba radhi kwa Waislam kote nchini kwa kukubali kuwa tawi la chama tawala, na pia kuuza mali za Waislam; vikiwemo viwanja! Huku fedha za mauzo ya hivyo viwanja zikiingia mifukoni mwa wajanja wachache.
 
Inawezekana kwako zikawa ni za kipuuzi,inategema na thinking capacity yako.

Well,wewe ulishaijua Nssf performance yake kabla ya Dr DAU..??

Besides Nssf ya Dr DAU ni most stable and institution na mfano wa kuigwa katika kuendesha Taasisi kisasa na kifaida.

Mfano ulio hai Hilo Daraja la kigamboni ni Zao la jitahada za Nssf ya Dr DAU,na hadi anaondoka Kwa chuki zenu za udini eti anaajiri waislam Bado limeendelea kuwa Shirika imara na lenye tija Kwa Taifa,Nssf iliyofilisika ni ipi??

Hiyo mifuko mingine yyte ilionekana vituko ikaungwa pamoja na kuwa mfuko mmoja ila Nssf ya Dr DAU ikabakia kuwa Giant Performer hadi Leo.

Tuambie kuhusu Tanesco ambao ni wasomi wa kanisa tuh wamejazana huko,Wana tija Gani Kwa Taifa hili?
Unaweza ukaangalia Dau kama yeye lakini Kipindi hicho pesa zilitolewa nyingi sana kwenye Taasisi hiyo ila miradi yake mingi ilijaa Wizi mkubwa sana.

Tungekua na Sheria Kali ya kuwanyonga Wezi basi Dau na watumishi Wote Wa NSSF wangekua wameshanyongwa Kwa haki kabusa.

Enzi za hizo watu walikua wanagawana mabegi ya pesa kwenye miradi ya kifisadi ulisababisha mifumo hiyo kufikisika.

Hao Jamáa na genge lake walikua wananunua ardhi ekari Moja Kwa Sh.mil. 2 kisha wanauzia NSSF Kwa bil. Moja. Wananzisha mradi Wa mabilioni bila kufanya utafiti Wa kiuchumi zaidí ya kupoteza pesa za Wanachama na wao kutajirika Kwenye hiyo miradi.
Mpaka leo miradi Yote ya Dawi haijaweza kurudisha faida na wenye fedha kunufaika zaidí ya kuleta Sheria ya kikokotoo.
Walipaswa kukamatwa na kufilisiwa na kufungwa gerezani.

Tatizo lililopo ni watu kupigania maslahi ya watu Kwa misingi ya Dini na SIO Sheria.

Waarabu wametumia Sheria Kali kujenga Uzalendo na SIO Udini Wala Kubebana.
Tena ilitakiwa iwe aibu Kwa MTU Wa Dini Fulani kuiba na kujificha Nyuma ya Dini.
Siku hizi MTU anaiba kisha anajitokeza kufanya shughuli za kidini na kupigiwa makofi badala ya Kupigwa makofi.
 
Friends and Our Enemies,

Italian philosopher and poetry Dante Alighieri,who partly was influenced by Muslim Philosopher Ibn Sina used to say that 'how you do anything is how you do everything'...

Kilchotokea kwenye Taifa hili mara baada tuh ya nchi hii kupata uhuru ni kupambana na maadui watatu ambao ni ujinga,maradhi na umaskini.

Nchi hii ili iweze kupambana na ujinga ilibidi ichukue kila ambacho mkoloni alikuwa ana kimiliki kiwe wakfu Kwa Taifa hili.

Either kama mkoloni alikuwa anamiliki plantations, alikuwa anamiliki hospitals, alikuwa anamiliki shule,alikua anamiliki viwanda,alikuwa anamiliki makanisani,etc etc...so long as vitu hivyo mkoloni alivichuma hapa kwenye ardhi hii Tena Kwa kuwatumia mababu zetu kama watumwa na vijakazi wake basi Mali hizo anazoacha baada ya yeye kuondolewa ni Mali za Taifa hili Kwa kuwa alizichuma illegally ndani ya ardhi yetu.

Kwenye suala la kuondoa ujinga,kanisa lilishika hatamu Kwa kias kikubwa Kwa sababu hata kipindi ambacho wakoloni wapo ndani ya Taifa hili,wanufaika wakubwa wa the so called elimu Dunia ni watoto wa vibaraka wao weusi,ambao Kwa namna yyte wao ndiyo waliopata loopholes za kwenda shule Kwa kutumia mgongo wa Imani ili waje kuwasadia katika administration issues za chini chini na baadhi ya kazi walizoona wao zinafaa.

Baada ya kuwakimbiza wanyonyaji hao Bado mifumo ilibakia chini ya hawa vibaraka wao kiasi kilichopelekea kuzalisha wasomi wengi kizaz baada ya kizaz ambao waliingia Moja Kwa Moja katika utumishi wa umma wa Taifa hili.

Watumishi hao wengi wao kama siyo wote bahata mbaya sana wakaja kubadilika na kukosa hofu ya mungu,ambayo hata hivyo haijawahi kufundishwa huko kwenye misingi Yao ya elimu kuwa utumishi wa umma ni ibada,watumishi hao wakawa wengi wakazidi kuzaliana kizazi na kizazi kiasi Cha kupelekea wao kujaa kwenye utumishi wa umma.

Taifa lolote linaongozwa na watumishi WAZALENDO,hao ndiyo watakuwa responsible kutengeneza sera imara Kwa ajili ya kilimo,ulinzi wa nchi,elimu,biashara, technology na kadhalika.

Bahati mbaya watumishi hawa,ambao Mimi nawaona Kwa kiwango kikubwa ni Zao za shle za kanisa katoliki na mengine hawaja na msaada katika Taifa hili, wengi wao wamekuwa wabinafsi,wezi,Wala rushwa na ambao wamekosa ubunifu wa kufanya Yale yanayostahiki kufanywa kulingana na elimu Yao ili kulipeleka mbele Taifa hili.

Tunawauliza Sasa hawa wasomi wa kanisa,lini watapata uzalendo na kulitumikia Taifa hili kwa weledi na hofu ya mungu Kwa kuacha rushwa,wizi, ufisadi na kadhalika??

Ninasema hivyo kwa kujiamini Kwa sababu ni kweli wao wenyewe ndiyo wanasema ndani ya nchi hii wasomi ni wao,na serikalini wamejaa wao,sisi wengine wavaa kobazi hakuna la maana tunajua zaidi ya elimu akhera.

Je,lini kanisa katoliki LITASIMAMA kuomba radhi Kwa KUTUZALISHIA wasomi wengi ambao wamekuwa disgrace Kwa Taifa letu??
Wewe Kwa upumbafu wako huu tulaumu kanisa ama misikito? Au tulaumu wazazi wako?
Jifunze kuheshimu taasisi za dini na jiepushe na kumtumikia shetani mchafu, nakushauri hizi dalili za wewe kuwa na mapepo zikizidi tafuta kanisa zuri ukaombewe.
 
True, all bad roads proceed from and lead to Rome. Her minions are so maltrained just to serve her and her only.

If the public seems to somehow reap the benefits, it's simply from the mercy of her leftovers -- a sort of feeding one's slaves in order not to suffer loss of their free labor.

Mtoa mada alindwe.
 
Kwa asili binadamu wote ni wahalifu.
Binadamu Wote ni wabinafsi Kwa asili.
Binadamu Wote wanapenda kuheshimiwa na kusifiwa au kutukuzwa .
Binadamu Wote wanapenda kumiliki Mali nyingi bila kikomo.
Binadamu Wote wanapenda starehe .

Binadamu Wote wanapenda kuwa Juu ya wengine na kutawala wengine.

Binadamu Wote ni Sawa Kwa asili Yao na ubinadamu wao.

Tatizo la Wizi ,ufisadi na Matumizi mabaya ya madaraka lililojitokeza Baada ya mkoloni kuondoka halitokani na kanisa Katoliki Bali mifumo na Katiba iliyozalishwa na Chama cha Mapinduzi.

Waarabu , Wazungu,Wachina ,Wahindi Wote wameendelea SIO Kwa Sababu ya Dini Zao Bali Kwa Sababu ya Sheria Kali zinazowaadhibu wale wanaoiba na kuchezea Mali za umma.

Waarabu na wachina wakiwa kwao hawavunji Sheria Wala kukwepa Kodi lakini wachina na waarabu Hao Hao wakiwa Tanzania wanaoshirikiana na watawala kuvunja Sheria na kukwepa Kodi Tena kupitia udhaifu Wa Sheria.

Mtanzania Huwezi kwenda Italia au Saudí Arabia au China au India ukapewa Ardhi yenye Ukubwa Wa Jimbo la uchaguzi kirahisi rahisi lakini Watu Hao Hao wanatumia Sheria dhaifu inayompa mamlaka MTU mmoja kutoa maamuzi ya ardhi Yote ya Nchi . MTU ámbaye hashitakiwi anapotoa maamuzi yake ama Kwa upendeleo au Kwa maslahi Binafsi
Hapo sio Tatizo la Dini ya MTU Bali Sheria na Katiba ya hovyo inayowapa mwanya watu Wachache kufanya wanavyotaka bila kuulizwa .

Nchi Hii mpaka Sasa umetawaluwa na kuongozwa na viongozi Wa Dini mbili ambazo ni ya kiislam na Kikatoliki. Na Wote wanatumia Katiba ile ile inayowapa watawala mamlaka makubwa Kama miungu. Hata hivyo watawala Wote Hao hakuna aliyetumia Dini yake kujenga misingi ya uadilifu kupitia Sheria na Katiba Bali Karibu Wote walitumia udhaifu Wa Katiba Kwa manufaa Binafsi au manufaa ya Chama Wakati Wa uchaguzi Ili kubakia madarakani.
Kuna wasomi Wakatoliki waadilifu kama Waryoba na kuna wasomi Waislam waadilifu kama Shivj .
Kuna Wakristo waliojaribu kupinga mifumo mibovu wakapingwa sana na Waislam wengi Kwa maslahi Binafsi na pia kuna Waislam waliojaribu kupinga mifumo mibovu inayolea ufisadi lakini walipingwa sana na Wakristo wengi.
Nyuma ya Yote ni udhaifu Wa Sheria .

Mwalimu Nyerere alijaribu kutumia Mamlaka yake kupambana na genge la Wezi Kwa kuwabana bila kuweka mifumo endelevu Kwa kuanzisha azimio la Arusha kisiasa badala ya kikatiba na kisheria lakini pia ndani ya mifumo ya wasimamizi wa Sheria na watawala .
Mwinyi alikuja akiwa Muislam lakini akafanya ale Yale ya kubeba maslahi Binafsi na chama na kubaki na Katiba ile ile ya mkoloni. Matokeo yake akashindwa kabisa kuwabana Wezi na Mafisadi ambao Dini Zote zinawakataa na kidini Wezi Wa Mali za umma wanapaswa kuuawa na SIO tu kufukuzwa kazi.

Wakoloni walikuja Kama waavyokuja leo Waarabu na wahindi na Wachina.
Waarabu wakija wanawekeza lakini wanatoa huduma za kijamii kama kujenga misikiti na visima vya Maji n.k.
Wakoloni wao walijenga shule na Hospitali.
Mwarabu akijenga msikiti hajalazimushwa ni Kwa manufaa ya KAZI zake na Imani yake kudhibiti wafanya KAZI wake kupoteza muda mwingi Wa kwenda mbali Kwa ajili ya kuswali. Yote ni mbinu za Wakoloni Wa zamani na Wa Leo bila kujali Dini Zao.

Waisama ni Karibu nusu ya WATANZANIA Wote. Halikadhalika Wakristo lakini cha ajabu Wote wanaposhika Madaraka kwenye idara Zote Hawana Tena muda Wa kuweka Sheria Kali za kudhibiti Wezi Kwa kutoa adhabu Kali Bali wanatumia udhaifu Wa Sheria kuiba.
Halo utalilaumu vipi kanisa Katoliki.?
Wasomi wengi waliopo madarakani ni wale waliosoma shule za Serikali na SIO za Binafsi ikiwemo za Dini.
Wasomi waliosoma shule za Dini wengi walikua Enzi hizo ambazo Hata chuo kikuu lilikua kimoja.
Leo Dini Zote zina mashule na vyuo lakini Bado wasomi wake wanatumia udhaifu Wa Sheria za Nchi na Kubebana kupitia CCM na kulihujumu taifa na SIO kanisa Katoliki.
Tena Kanisa Katoliki Kwa muda Mrefu wamepinga sana uhuni na Wizi unaofanywa na watawala na wale wenye nafasi za Juu serikalini lakini wamekua walipingwa na baadhi ya mashekhe Kwa manufaa yao Binafsi huku wakiacha Sheria mbovu ziendelee kuwabeba wahuni .

Nimependa sana maelekezo yako,hakika yamekuwa well articulated.

Kuhusu suala la watawala na sera Zao kila mtawala anakuja na vision yake pia kulingana na Hali halisi anayoikuta wakati anapokea kijiti Cha madaraka.

Mimi nazungumza Hali halisi iliyopo katika utumishi wa umma na yanayoendelea.

Nimefanya utafiti wa kutosha na kujithibitisha kuwa wengi wa wasomi wa kanisa wamejaa katika utumishi wa umma,na kilio kikubwa takriban miongo 40 Sasa ni wizi na ufisadi katika utumishi wa umma,na wanaofanya hivyo ni hawa WASOMI.

Kwahiyo hakuna KOSA kulihusisha kanisa na wasomi hawa.
 
True, all bad roads lead to Rome. Her minions are so maltrained just to serve her and her only.

If the public seems to somehow reap the benefits, it's simply from the mercy of her leftovers.

Mtoa mada alindwe.
Asante Sana,how you do anything is how you everything...!!
 
Friends and Our Enemies,

Italian philosopher and poetry Dante Alighieri,who partly was influenced by Muslim Philosopher Ibn Sina used to say that 'how you do anything is how you do everything'...

Kilchotokea kwenye Taifa hili mara baada tuh ya nchi hii kupata uhuru ni kupambana na maadui watatu ambao ni ujinga,maradhi na umaskini.

Nchi hii ili iweze kupambana na ujinga ilibidi ichukue kila ambacho mkoloni alikuwa ana kimiliki kiwe wakfu Kwa Taifa hili.

Either kama mkoloni alikuwa anamiliki plantations, alikuwa anamiliki hospitals, alikuwa anamiliki shule,alikua anamiliki viwanda,alikuwa anamiliki makanisani,etc etc...so long as vitu hivyo mkoloni alivichuma hapa kwenye ardhi hii Tena Kwa kuwatumia mababu zetu kama watumwa na vijakazi wake basi Mali hizo anazoacha baada ya yeye kuondolewa ni Mali za Taifa hili Kwa kuwa alizichuma illegally ndani ya ardhi yetu.

Kwenye suala la kuondoa ujinga,kanisa lilishika hatamu Kwa kias kikubwa Kwa sababu hata kipindi ambacho wakoloni wapo ndani ya Taifa hili,wanufaika wakubwa wa the so called elimu Dunia ni watoto wa vibaraka wao weusi,ambao Kwa namna yyte wao ndiyo waliopata loopholes za kwenda shule Kwa kutumia mgongo wa Imani ili waje kuwasadia katika administration issues za chini chini na baadhi ya kazi walizoona wao zinafaa.

Baada ya kuwakimbiza wanyonyaji hao Bado mifumo ilibakia chini ya hawa vibaraka wao kiasi kilichopelekea kuzalisha wasomi wengi kizaz baada ya kizaz ambao waliingia Moja Kwa Moja katika utumishi wa umma wa Taifa hili.

Watumishi hao wengi wao kama siyo wote bahata mbaya sana wakaja kubadilika na kukosa hofu ya mungu,ambayo hata hivyo haijawahi kufundishwa huko kwenye misingi Yao ya elimu kuwa utumishi wa umma ni ibada,watumishi hao wakawa wengi wakazidi kuzaliana kizazi na kizazi kiasi Cha kupelekea wao kujaa kwenye utumishi wa umma.

Taifa lolote linaongozwa na watumishi WAZALENDO,hao ndiyo watakuwa responsible kutengeneza sera imara Kwa ajili ya kilimo,ulinzi wa nchi,elimu,biashara, technology na kadhalika.

Bahati mbaya watumishi hawa,ambao Mimi nawaona Kwa kiwango kikubwa ni Zao za shle za kanisa katoliki na mengine hawaja na msaada katika Taifa hili, wengi wao wamekuwa wabinafsi,wezi,Wala rushwa na ambao wamekosa ubunifu wa kufanya Yale yanayostahiki kufanywa kulingana na elimu Yao ili kulipeleka mbele Taifa hili.

Tunawauliza Sasa hawa wasomi wa kanisa,lini watapata uzalendo na kulitumikia Taifa hili kwa weledi na hofu ya mungu Kwa kuacha rushwa,wizi, ufisadi na kadhalika??

Ninasema hivyo kwa kujiamini Kwa sababu ni kweli wao wenyewe ndiyo wanasema ndani ya nchi hii wasomi ni wao,na serikalini wamejaa wao,sisi wengine wavaa kobazi hakuna la maana tunajua zaidi ya elimu akhera.

Je,lini kanisa katoliki LITASIMAMA kuomba radhi Kwa KUTUZALISHIA wasomi wengi ambao wamekuwa disgrace Kwa Taifa letu??
Unamaanisha Kikwete na kinana ni zao la catholic
 
Umelisingizia Kanisa.
Waislam waligoma kuwapeleka watoto shule kwa hofu kubwa watoto wao wasiwe muritad kubatizwa pia wasilishwe nyama ya nguruwe.
Somehow uko sahihi,na ndicho kilichokawepo,muislam kama unataka kupeleka shule ni either uchague,mtoto apate elimu au akose dini,Kwa sababu mtoto akienda seminari hadi Leo hii lazima aende kanisani,lazima ale nguruwe,lazima afuate misingi yote ya hiyo dini, obviously ilikua lazima waache kuwapeleka watoto.

Na hapo ndipo wasomi wengi wa kanisa wakawa wengi kwenye utumishi wa umma na wanachokifanya hadi hivi Leo ni wizi na ufisadi.
 
Friends and Our Enemies,

Italian philosopher and poetry Dante Alighieri,who partly was influenced by Muslim Philosopher Ibn Sina used to say that 'how you do anything is how you do everything'...

Kilchotokea kwenye Taifa hili mara baada tuh ya nchi hii kupata uhuru ni kupambana na maadui watatu ambao ni ujinga,maradhi na umaskini.

Nchi hii ili iweze kupambana na ujinga ilibidi ichukue kila ambacho mkoloni alikuwa ana kimiliki kiwe wakfu Kwa Taifa hili.

Either kama mkoloni alikuwa anamiliki plantations, alikuwa anamiliki hospitals, alikuwa anamiliki shule,alikua anamiliki viwanda,alikuwa anamiliki makanisani,etc etc...so long as vitu hivyo mkoloni alivichuma hapa kwenye ardhi hii Tena Kwa kuwatumia mababu zetu kama watumwa na vijakazi wake basi Mali hizo anazoacha baada ya yeye kuondolewa ni Mali za Taifa hili Kwa kuwa alizichuma illegally ndani ya ardhi yetu.

Kwenye suala la kuondoa ujinga,kanisa lilishika hatamu Kwa kias kikubwa Kwa sababu hata kipindi ambacho wakoloni wapo ndani ya Taifa hili,wanufaika wakubwa wa the so called elimu Dunia ni watoto wa vibaraka wao weusi,ambao Kwa namna yyte wao ndiyo waliopata loopholes za kwenda shule Kwa kutumia mgongo wa Imani ili waje kuwasadia katika administration issues za chini chini na baadhi ya kazi walizoona wao zinafaa.

Baada ya kuwakimbiza wanyonyaji hao Bado mifumo ilibakia chini ya hawa vibaraka wao kiasi kilichopelekea kuzalisha wasomi wengi kizaz baada ya kizaz ambao waliingia Moja Kwa Moja katika utumishi wa umma wa Taifa hili.

Watumishi hao wengi wao kama siyo wote bahata mbaya sana wakaja kubadilika na kukosa hofu ya mungu,ambayo hata hivyo haijawahi kufundishwa huko kwenye misingi Yao ya elimu kuwa utumishi wa umma ni ibada,watumishi hao wakawa wengi wakazidi kuzaliana kizazi na kizazi kiasi Cha kupelekea wao kujaa kwenye utumishi wa umma.

Taifa lolote linaongozwa na watumishi WAZALENDO,hao ndiyo watakuwa responsible kutengeneza sera imara Kwa ajili ya kilimo,ulinzi wa nchi,elimu,biashara, technology na kadhalika.

Bahati mbaya watumishi hawa,ambao Mimi nawaona Kwa kiwango kikubwa ni Zao za shle za kanisa katoliki na mengine hawaja na msaada katika Taifa hili, wengi wao wamekuwa wabinafsi,wezi,Wala rushwa na ambao wamekosa ubunifu wa kufanya Yale yanayostahiki kufanywa kulingana na elimu Yao ili kulipeleka mbele Taifa hili.

Tunawauliza Sasa hawa wasomi wa kanisa,lini watapata uzalendo na kulitumikia Taifa hili kwa weledi na hofu ya mungu Kwa kuacha rushwa,wizi, ufisadi na kadhalika??

Ninasema hivyo kwa kujiamini Kwa sababu ni kweli wao wenyewe ndiyo wanasema ndani ya nchi hii wasomi ni wao,na serikalini wamejaa wao,sisi wengine wavaa kobazi hakuna la maana tunajua zaidi ya elimu akhera.

Je,lini kanisa katoliki LITASIMAMA kuomba radhi Kwa KUTUZALISHIA wasomi wengi ambao wamekuwa disgrace Kwa Taifa letu??
Una akili fupi/ndogo saana kama hauna kabisa
 
Back
Top Bottom