THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,365
- 12,823
- Thread starter
- #21
Tafiti ya kutosha kuhusu Nini??Umefanya tafiti yakutosha
Serikali yetu haifungamani na dini zote nchini inawezekana katolic walishatoa sana ushauri ukawa unapuuzwa
Kama ilivyo Leo zama za habari ,kitima anapambana balaa kama mtendaji wa Baraza la maaskaofu lakini serikali bado inaendelea kupiga ng'ombe wanyuma na wambele ndo mvivu na mvimbiwa
Hiko kitu si nyinyi wenyewe wasomi wa kanisa mnatamba kuwa wengi wenye shule nchi hii ni nyinyi??
Kwani tunasema sisi mambo kama hayo,tunachosema sisi ni kwamba kuwa kuwa wasomi ndie ambao wanaongoza Taifa katika utendaji wake basi Wana kesi ya kujibu Kwa huu uozo wa wizi na ufisadi huko kwenye utumishi wao.