contract yenyewe ni miaka 2 mboni kazi..
nimesikia inatumia simcard ndogo....anayejua anifafanulie
huwa wanachonga kibongobongo ila vodacom nasikia wanazo..
contract yenyewe ni miaka 2 mboni kazi..
nimesikia inatumia simcard ndogo....anayejua anifafanulie
nimesikia inatumia simcard ndogo....anayejua anifafanulie
nasikia airtel siku hizi wanauza hizo simcard ila kama una line yoyote ya kawaida ipo mikasi maalumu ya kukatia simcard yako kwa size hiyo na inawezekana sehemu nyingi tu mjini.
Regular SIM Card
wakaleta MicroSIM card
sasa wamekuja na NanoSIM card ndogo zaidi ya MicroSIM card
Hebu angalia jinsi zinavyo badirika
Nahisi baada ya hapo wataleta simu za bila sim card