ni leo uzinduzi wa apple's iphone 5. Updates zote utazipata humu

contract yenyewe ni miaka 2 mboni kazi..

angalau ingekua 6 or 12 months sasa 24 months ninatumia simu moja tu??? hapo kutakua tayari hadi kuna iPhone 7s wewe uko na iPhone 5 na limkataba halijaisha
 
nokia yangu n72 nafaidi maisha vizur. hizo cm zenu hamna lolote kwanza chaji haikai
 
watu walikuwa wanasubiri maajabu na wengine walijua kutakuwa na wireless charging system..

kila la heri..
 
ndetichia hiyo itakuja mwakani wanasubiri samsung atoe yake october nao watatoa,mwitu simu ni simu tu bana
 
tuanze na mazuri ya apple mi nimependa tarehe 21 wanaanza kuuza mwez huu huu ina maana siku 11 toka leo big up nawapa tofauti na wp ambao mpaka leo sdk haijakamilika.

-kutakua na icon 5 kiurefu kitu ambacho mwanzo hakikuepo
-processor mpya a6 ambayo wanavodai ni 2 times faster na kwa graphics pia ipo fasta
-innovation chache chache ndogo ndgog
-iphone 4 itakua bure kwa mkataba na 4s $199

twende walikobugi sasa

-bei pasua kichwa naona mdau kasema $199 hehehe hio ni hela ya mkataba kwa mwezi sawa na s3 so hamna uafadhali wa bei mkuu na ya 32gb ni $299 na 64gb ni $399 hapo kwa zile unlocked itakua zaidi ya $700

-SPECIFICATION KARIBIA ZOTE KAPITWA NA LUMIA 920 NA SAMSUNG GALAXY S3



jamani tupo hapa ila kama apple wanaendelea hivi naipa miaka miwili tu wanafilisika kama bb kwa competition kama hii simu hii haitasurvive kama the mighty iphone 4s ilostand kama one many army dhini ya simu zaidi ya 100.


ok kama mlivotusema nokia kwa video fake na nyie oneni iphone walivofake siri na video ya uongo

 
Last edited by a moderator:
kwa kifupi nimesikitishwa na hii iphone 5....naona tunakoelekea apple wamechoka na wanatoa uwanja mpana kwa kampuni zingine kutoa simu bora zaidi.
wamenishangaza kustick kwenye 8mp camera na mbaya zaidi sensor yake ipo down kwa 25% kuliko 4s wakati hata LG optimus G ina 13mp...
The game is wide open na nasubiri kwa hamu hiyo samsung itakayorun windows 8 specs zake zitakavyokuwa....
 
iphone hainiingii kkichwani. mi bwana ntajikusanya ili my next phone iwe samsung galaxy ijayo, iphone hamna kitu, nokia ni kwa conservative wachache kama chief-mkwawa
 
Last edited by a moderator:
nimesikia inatumia simcard ndogo....anayejua anifafanulie

nasikia airtel siku hizi wanauza hizo simcard ila kama una line yoyote ya kawaida ipo mikasi maalumu ya kukatia simcard yako kwa size hiyo na inawezekana sehemu nyingi tu mjini.
 
nimesikia inatumia simcard ndogo....anayejua anifafanulie

Regular SIM Card
SIM_card_diagonal-1_270x219.jpg

wakaleta MicroSIM card
MicroSIM.jpg

sasa wamekuja na NanoSIM card ndogo zaidi ya MicroSIM card
nano-sim-design-approved-small-0.jpg

Hebu angalia jinsi zinavyo badirika
micro-nano-sim.jpeg

Nahisi baada ya hapo wataleta simu za bila sim card
 
Regular SIM Card
SIM_card_diagonal-1_270x219.jpg

wakaleta MicroSIM card
MicroSIM.jpg

sasa wamekuja na NanoSIM card ndogo zaidi ya MicroSIM card
nano-sim-design-approved-small-0.jpg

Hebu angalia jinsi zinavyo badirika
micro-nano-sim.jpeg

Nahisi baada ya hapo wataleta simu za bila sim card

wanazikata asee
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom