ni leo uzinduzi wa apple's iphone 5. Updates zote utazipata humu

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
30,631
39,613
baada ya samsung tarehe 29 august akaja nokia na motorola tarehe 5 september leo ni zamu ya apple kuzindua iphone 5. Mda sina uhakika ila nadhani itakua saa 3 usiku.

Mpaka sasa kuna leaks kua itakua na cover la chuma design kama hii
xs09-02_12-10-45g1020_gallery_post_large_extra_large.jpg

Na kuna specification za gsmarena hapa
Apple iPhone 5 - Full phone specifications

Mengine mengi tutaambiana
 
yaani ata io 4 bado watu hawajawa aware nayo sasa wanaintroduce 5 duu mambo ya teknolojia ayo
 
yaani ata io 4 bado watu hawajawa aware nayo sasa wanaintroduce 5 duu mambo ya teknolojia ayo

Competition mkuu ukiangalia htc one x, lumia 920, samsung galaxy s3, zote zimeipita iphone 4s so wao inabidi watoe simu itakayokwenda na wakati la sivyo upepo utageuka.

Then kibiashara unapotoa bidhaa mpya utauza tu na wateja hawatakimbia maana kuna watu hasa wale wanaopenda luxury wanaisubiria kwa hamu
 
mambo yanaendelea kuleak inavoonekana sio iphone tu itakayozinduliwa bali pia ipod na ipod nano.

Na pia kutatoka itunes mpya ile ya zamani haitatumika
 
wow! Great news. Na kama kawa uzinduz huwa unankutia nkiwa safari.,... :cool:
 
wanahangaika kweli nao hawa..mi na samsung galaxy ni kama ukucha na kidole
 
hakuna cha Iphone wala nini ndio.maana hata kwenye site yao hawajaongelea kitu kama hicho
 
kukurukakara nyingi, lakini kisamsung changu cha tochi kinanifaa sana mda wa kukatiza vichochoro usiku, na pia Tanesco wasipotoa ushirikiano, nachaji mara moja kwa wiki ama na nusu. iphone what? ngoja itoke tuione kwanza. Pengine ndo oppotunity ya kina sisi kuanza kutafuta mitumba :biggrin:
 
mambo yanaendelea kuleak inavoonekana sio iphone tu itakayozinduliwa bali pia ipod na ipod nano.

Na pia kutatoka itunes mpya ile ya zamani haitatumika

to correct u: ni iphone nano kwa ajili ya wasio na uwezo wa kununua mi iphone mikubwa,
 
kwa ambao wanaweza kuangalia online mitandao kadhaa wataonyesha event live baadhi ni cnet.com na pcadvisor.co.uk nadhani youtube pia kutakuwa na live stream, so ikifika mida mida tutajisogeza tuone
 
nataka nicheki hio iphone 5 kama inaweza shindana na samsung galaxy S3...tupe data kaka
 
Mkuu mbona hzo nano ni ipods not i phones! Au....

acha ipod nano ambayo hata mimi nnayo heheheh, hii ni iphone nano ina umbo dogo kuliko iphone za kawaida na bei yake itakuwa cheaper kuliko izo kubwa, nilikuwa nawatch asubuhi kuhusu iphone 5 na ios6 pia wakazungumzia kuhusu iphone nano na ikaoneshwa sample yake
 
utaambiwa iPhone nano ni $349.99 ndo mtashangaa
 
kama wata zindua simu ya chini ya Tsh.600,000/= mniambie.
maana hawo jamaa kwa bei tu nawa ogopa, pia sijui majailbreack, ma iTunes mpaka utoage hera, mwafrika kama mimi hiyo hainifai wavha nibaki huku ambapo hatu hitaji credit card ku download music player!!
 
hamna haja ya kubishana waungwana ushindani utakuja kitu kikiwa released shauri zenu usikie imetoka simu kama transformer movie vile
 
hamna haja ya kubishana waungwana ushindani utakuja kitu kikiwa released shauri zenu usikie imetoka simu kama transformer movie vile

Ha ha ha! Ukienda hotelin inajikunja kuwa kijiko... Ukienda shule inajikunja kua peni.. Mbona itakua kasheshe
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom