Fakhi Jumaa
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 239
- 47
Mkubwa hapo kwenye red siamini kabisaaaa
Kaka hizo bei si ni zile ambazo zilo Locked? Ukiinunua ambayo iko unlocked utakimbia bei yake,ilanasikia bei yake sawa tu na ile ilopita
Mkubwa hapo kwenye red siamini kabisaaaa
Haya taharifa zimetoka kitu iphone 5 huko US kimenunuliwa haraka simuchezo online angalau huko kwao. Chief usibishe follow the link ukitaka kujua zaidi[h=1]iPhone 5 Pre-Order Sells Out 20X Faster Than 4 And 4S, Further Highlighting Apples Dominance[/h]