Ni kweli mabinti wa Tanzania ni omba omba sana katika mahusiano au wanaume ndio mabahili?

Nchi yenyewe ndiyo hivyo tena bakuli kulitembeza kutwa, makao makuu ndiyo wanaongoza kwa kuomba omba, sembuse wanawake/ mabinti ambao wanapewa vijisenti tu vyakununulia lipstick lakini wababa wanavyolalamika sasa ,jiulize wapembeze na nini?
 
Wanaume acheni ubahili ,hivi uwe na msichana halafu usimpe chochote halafu uwe unadunda nina mpenzi wangu! Tafuteni pesa wakutumia wapo tayari
 
Ukisikia "Baby nikwambie kitu?" Ishaenda hiyo.
Her: Babe nikwambie kitu?
Him: Naam mamie, niambie tu… ‘ huku kichwani ashaanza kuwaza vibomu.

Her: put me on your timetable this wkend, twende sehemu tukapumzike.
Him: sure babe. We need some quality time.
Her. Yah, tupange sasa.

Wa hivyo kwani hawapo? Eti nyie wababa?
 
Back
Top Bottom