Ni kweli mabinti wa Tanzania ni omba omba sana katika mahusiano au wanaume ndio mabahili?

Ndugu zangu,tumwambie au tumwache tuu kwanza?🥱🥱
Niambieni ndugu zangu, mimi wanawake wa JF nimekuwa nawachukulia wanawake wa shoka sana wasioendekeza slope/kitonga.
 
Unachezaje vikoba na upatu kwa pesa za kuomba omba!
😀😀😀Mimi nilicheza last year bhnaa alafu kunamtu nilikuwa namshikia kitabu chake na ni ndugu akaniacha njiani
Mimi sikuwa na tabu najimudu huyu mwenzangu Sasa mbona nilitaka kuchanganyikiwa alafu ni mtu ambae siwez Mfanya chochote mbona kaka wa watu alikoma Hadi nimemaliza nilikuwa hoi looh🤣🤣
 
Vijana wapenda slope yaani umtumie mwanamke kama demu au mke usimpe kitu ? Acheni kupenda vya bure kama huwezi kutoa huduma tafuta sabuni za kupiga puchu.
 
Mie kitu ambacho sipendi ni kununua au kutoa hela kwenye mambo yakipumbavu.

Niombe hela ktk vitu vya maana na sio unaniomba hela ukasuke sijui ununue wigi..

Niombe hela unataka Kula (sio chips na pizza) omba hela ya kununua kilo hata 20 za mchele uweke ndani.

Omba hela ya kodi.. sio unakaa unaniomba hela elf 5 ya umeme, mambo ya kipumbavu kabisa. Mwanamke mwenye mindset ya kimasikini anaekosa hata nauli au elf 5 ya umeme huyo mie simtak hata kumsikia. Ndio.

Sasa maisha ni kusaidiana, sasa mie nikikwama naangukia kwa nani sasa? Huyu huyu niliemzoesha kumpa vihela atanikimbia maana sina cha kumpa na yeye hana cha kunipa backup zaidi ya kunip K.
Wengine wanaomba hadi hela za pedi na ni lijitu over 24.
 
Kumekuwepo na malalamiko mengi pamoja na mijadala mingi sana ya wanaume wa bongo wakilalamika kuombwa pesa au kuhudumia kila kitu kwa wanawake wanaoingia nao kwenye mahusiano hata kabla ya ndoa(girlfriends)

Wengi wanalalamika kwamba ndani ya siku au wiki tu za kuinguia kwenye mahusiano mabinti hugeuka kama yatima au kuwageuza wao kama wazazi wao wakiomba huduma za kila kitu kuanzia kodi, gesi, luku, chakula, kusuka nywele n.k

Je malalamiko au madai haya ni ya kweli na kama ni kweli yanasababushwa na nini hasa? Ni ishara ya umasikini wa wabongo au tabia mbaya tu za baadhi ya mabinti kupenda kitonga bila ulazima?

Je hii tabia ni kwa mabinti wa mjini au hata huko vijijini hali ni hivyo?
Wanawake wote humu duniani ni Matonya professional. Ukimtongoza tu, utaanza kusikia mastori ya matatizo mfamo, kesho ni birth ya mama, leo nataka za wanja, nahitaji za mwenye nyumba.. Saa nyingine huwa najiuliza, hivi nisengekutongoza, haya yote ningeyasikia? kumtongoza tu, kunafuatia na msururu wa matatizo. Yatupasa sasa na sisi wanaume tuanze kuwaomba ndio wataacha hiyo tabia ya omba omba...
 
Wewe hadi sasa umehudumia wangapi.....? Usikute unaongea hivi na huku kwenye group ulisha left
Wewe tafta mwanaume akuhudumie mama, una makasiriko mengi sana, tafta mwanaume akupige mashine, mimi mke wangu ana wivu sana akijua unataka nikutindue atakuua.
 
Vijana wapenda slope yaani umtumie mwanamke kama demu au mke usimpe kitu ? Acheni kupenda vya bure kama huwezi kutoa huduma tafuta sabuni za kupiga puchu.
Huu mtazamo au hii kauli ya kusema mwanamke kuwa katika mahusiano anatumika ni ya hovyo na ya kijima. Ni kama vile wanawake kuwa kwenye mahusiano wanajiuza, wako kibiashara na hivyo inabidi walipwe kwa kuwa katika mahusiano.
 
Wanawake wote humu duniani ni Matonya professional. Ukimtongoza tu, utaanza kusikia mastori ya matatizo mfamo, kesho ni birth ya mama, leo nataka za wanja, nahitaji za mwenye nyumba.. Saa nyingine huwa najiuliza, hivi nisengekutongoza, haya yote ningeyasikia? kumtongoza tu, kunafuatia na msururu wa matatizo. Yatupasa sasa na sisi wanaume tuanze kuwaomba ndio wataacha hiyo tabia ya omba omba...
Labda umaskini ni mkubwa sana katika nchi yetu na hiki ni kiashiria kimojawapo kinachokuwa kimejificha, kama sio hivyo basi ni tabia au hulka mbaya sana na ya hovyo.
 
Kuna demu niliomba namba asubuhi jioni kaniomba elfu 5 nikamwambia afate ofisini kwangu akadai mda umeenda nimtumie m pesa nikakausha kesho yake akapita kanikaushia jioni nikakapigia simu kakapokea kanalalamika nimekanyima buku 5 nikakaambia kafate, kamefika nikakapa kakasepa kalikua kanampeleka mdogo wake salon, yani dakika tano nyingi inaingia sms " My njoo basi unilipie hela namimi nisuke" sikukajibu *****.
 
Kumekuwepo na malalamiko mengi pamoja na mijadala mingi sana ya wanaume wa bongo wakilalamika kuombwa pesa au kuhudumia kila kitu kwa wanawake wanaoingia nao kwenye mahusiano hata kabla ya ndoa(girlfriends)

Wengi wanalalamika kwamba ndani ya siku au wiki tu za kuinguia kwenye mahusiano mabinti hugeuka kama yatima au kuwageuza wao kama wazazi wao wakiomba huduma za kila kitu kuanzia kodi, gesi, luku, chakula, kusuka nywele n.k

Je malalamiko au madai haya ni ya kweli na kama ni kweli yanasababushwa na nini hasa? Ni ishara ya umasikini wa wabongo au tabia mbaya tu za baadhi ya mabinti kupenda kitonga bila ulazima?

Je hii tabia ni kwa mabinti wa mjini au hata huko vijijini hali ni hivyo?
Nipende kusema kuwa mna date na ombaomba na sio girlfriends
 
Hao viumbe tuloambiwa tuishi nao kwa akil wamejawa na tamaa yan kilakitu wanataka watimiziwe na mwanaume.
Wajawa matumizi kibao kutokana na tamaa za mambo makubwa
 
Back
Top Bottom