Ni kweli mabinti wa Tanzania ni omba omba sana katika mahusiano au wanaume ndio mabahili?

Alikuwepo boyfriend mwingine/ Ex
Kwahiyo kazi kuu ni kutembeza k tu hadi ichakae ili mradi usikose hela?

Ndiyo maana siku hizi kukuta mwanamke mwenye ma ex watano huyo ni sawa na bikra maana mnaachana sana na wanaume kisa tamaa ya fedha.
 
Kumekuwepo na malalamiko mengi pamoja na mijadala mingi sana ya wanaume wa bongo wakilalamika kuombwa pesa au kuhudumia kila kitu kwa wanawake wanaoingia nao kwenye mahusiano hata kabla ya ndoa(girlfriends)

Wengi wanalalamika kwamba ndani ya siku au wiki tu za kuinguia kwenye mahusiano mabinti hugeuka kama yatima au kuwageuza wao kama wazazi wao wakiomba huduma za kila kitu kuanzia kodi, gesi, luku, chakula, kusuka nywele n.k

Je malalamiko au madai haya ni ya kweli na kama ni kweli yanasababushwa na nini hasa? Ni ishara ya umasikini wa wabongo au tabia mbaya tu za baadhi ya mabinti kupenda kitonga bila ulazima?

Je hii tabia ni kwa mabinti wa mjini au hata huko vijijini hali ni hivyo?
Umasikini, uvivu na tamaa kwa mabinti wa kibongo. Ukitaka kuyafurahia mapenzi nenda Burundi/Congo, huko hakuna kuhonga pesa, utahudumia mahitaji ya msingi tu kama chakula na vinywaji basi then mchezo huooo!
 
Tunaishi kwenye jamii zenye tamaduni ya kumfanya mwanaume, baba, kama kichwa cha familia, provider na mbeba majukumu yote ya kiuchumi, jamii zetu za kiafrica zimeishi hivyo toka karne na karne hivyo mwanaume automatically anatakiwa kuhakikisha familia yake, mpenzi wake, na wanaomzunguka wanapata mahitaji muhimu, sina tatizo katika hilo kama mwanamke, binti na familia watakubali kuishi kutokana na kipato cha muhusika.

Shida iliyopo katika zama na kizazi hiki cha utandawazi, mabinti wamejawa tamaa ya vitu wasivo navyo wala kuwa na uwezo navyo, wanaona kupitia social medias jinsi wenzao wanavyokuwa spoiled na material things, simu nzuri, fancy dates n.k tamaa huwaingia na kuona aliyenae hana maana hasa anaposhindwa kupata vile anavyoona kwa wenzake, mbaya zaidi binti akiwa na muonekano wenye kuvutia wanaume wenye uwezo wao basi haoni sababu kuendelea na wewe unga unga, hohehae, kajamba nani, kwangu pakavu tia mchuzi, ata kuacha na ukwale wako na njaa zako na kwenda kwa wenye maisha safi ambao nao siku hizi wanajua ugonjwa wa wanawake wa mujini, atakununulia macho matatu na yeye atakuomba jicho moja atakuharibu kinyeo, atakupeleka vacation dubai, zanzibar, akishajiridhisha amekutumia kisawa sawa basi anakudump na kuendela na circle ya kuchakata warembo wengine, na wewe unaangukia kwa pedeshee mwingine wa mujini and the loop is infinity.
Umeandika kila kitu.
 
Tatizo ni umaskini. Wanawake wengi ni maskini kulinganisha na wanaume. Mimi niko na duka huwa naona wanawake ni wanunuaji wazuri wa vitu ila vya bei rahisi. Vitu vya kuanzia 30k wengi hawamudu. Kimsingi wanawake wengi hali zao za vipato ni mbaya. Ninadhani badala ya kuomba pesa kwa wanaume wawe wanaomba kuwezeshwa namna ya kujiingizia vipato.. inaweza kuwa kutafutiwa ajira na kuwezeshwa kujiajiri. Lakini je, watakuwa waaminifu kwa wanaume wao mara baada ya kuanza kujiingizia kipato chake mwenyewe? Mimi naona suluhisho ni kuwakojolea ndani na kusepa kwasababu hata ukiwapa hela bado uaminifu sifuri.
 
Wanaume acheni ubahili ,hivi uwe na msichana halafu usimpe chochote halafu uwe unadunda nina mpenzi wangu! Tafuteni pesa wakutumia wapo tayari
Tofautisha mke na mpenzi, mke unaishi naye na ni jukumu lenu kuhudumiana ila mpenzi anaishi kwao/kwake so huwajibiki kwa lolote ila kupeana raha tu.
 
Tunaishi kwenye jamii zenye tamaduni ya kumfanya mwanaume, baba, kama kichwa cha familia, provider na mbeba majukumu yote ya kiuchumi, jamii zetu za kiafrica zimeishi hivyo toka karne na karne hivyo mwanaume automatically anatakiwa kuhakikisha familia yake, mpenzi wake, na wanaomzunguka wanapata mahitaji muhimu, sina tatizo katika hilo kama mwanamke, binti na familia watakubali kuishi kutokana na kipato cha muhusika.

Shida iliyopo katika zama na kizazi hiki cha utandawazi, mabinti wamejawa tamaa ya vitu wasivo navyo wala kuwa na uwezo navyo, wanaona kupitia social medias jinsi wenzao wanavyokuwa spoiled na material things, simu nzuri, fancy dates n.k tamaa huwaingia na kuona aliyenae hana maana hasa anaposhindwa kupata vile anavyoona kwa wenzake, mbaya zaidi binti akiwa na muonekano wenye kuvutia wanaume wenye uwezo wao basi haoni sababu kuendelea na wewe unga unga, hohehae, kajamba nani, kwangu pakavu tia mchuzi, ata kuacha na ukwale wako na njaa zako na kwenda kwa wenye maisha safi ambao nao siku hizi wanajua ugonjwa wa wanawake wa mujini, atakununulia macho matatu na yeye atakuomba jicho moja atakuharibu kinyeo, atakupeleka vacation dubai, zanzibar, akishajiridhisha amekutumia kisawa sawa basi anakudump na kuendela na circle ya kuchakata warembo wengine, na wewe unaangukia kwa pedeshee mwingine wa mujini and the loop is infinity.
Umeeleza vyema kabisa. Kupanga ni kuchagua
 
Kwahiyo kazi kuu ni kutembeza k tu hadi ichakae ili mradi usikose hela?

Ndiyo maana siku hizi kukuta mwanamke mwenye ma ex watano huyo ni sawa na bikra maana mnaachana sana na wanaume kisa tamaa ya fedha.
Usichukulie mambo serious. Haha
 
Back
Top Bottom