Ni kweli Anna Makinda ni 'Mbabe'?

mbunge wa mpanda alipoumwa tumbo alimlipia matibabu?subilini tuone ka G.B wa Arusha watamjari au kutoa tamko.hii siasa.
 
Issue kubwa ni nchi yetu inendeshwa kwa Bif ambazo hazina msaada, Najua serikali ya CCM ina bif kuwa na wabunge na viongozi wa chadema bila kujali wamechaguliwa na wananchi.

Najua kwa kila wanachokifanya wananchi wanawapima ili 2015 hata wakisema wapinza wataleta vita. watu wasiwaamini.
 
mtu kapewa uspika kwa sababu tu anavaa sketi unategemea atafanya nini kizuri?ili nisiumize kichwa mi nimeona nichukulie bunge la jamhuri halina spika, lina mama mmoja atakae kua anakaa mbele akiuza sura tu.

sura yenyewe ya kuuza iko wapi pale?? atakuwa anatutisha tuu sana sana....naungana nawewe kuwa waliompa wali2mia kigezo cha sketi, sasa watu hapa wanaumiza kichwa eti atoe tamko, mara sijui afanye nn, hatafanya jamani sio kwa kuwa lema ni chadema ila kwa kuwa mama hajui la kufanya, hajui hata kwamba labda anatakiwa afanye kitu fulani, kifupi hajui chochote, mi sitaangalia bunge, last time nilikuwa naona kichefuchetu tuu nikaona nitavunja bure tv yangu..yule mama kifupi ni mfu kichani hasa linapokuja suala nyeti la kuiongoza taasisi nyeti kama bunge....ccm wanakenua tuu mimeno..
 
sura yenyewe ya kuuza iko wapi pale?? atakuwa anatutisha tuu sana sana....naungana nawewe kuwa waliompa wali2mia kigezo cha sketi, sasa watu hapa wanaumiza kichwa eti atoe tamko, mara sijui afanye nn, hatafanya jamani sio kwa kuwa lema ni chadema ila kwa kuwa mama hajui la kufanya, hajui hata kwamba labda anatakiwa afanye kitu fulani, kifupi hajui chochote, mi sitaangalia bunge, last time nilikuwa naona kichefuchetu tuu nikaona nitavunja bure tv yangu..yule mama kifupi ni mfu kichani hasa linapokuja suala nyeti la kuiongoza taasisi nyeti kama bunge....ccm wanakenua tuu mimeno..
Anne makinda.jpg

Mhh! mi simo!
 
Mnataka aseme wamtoe waliompa? mbona hammpendi huyu mama mwenye sura ya kuvutia na akili nyingi sana jamani?!! kanuni zipi mnataka ajue? si anajua waliompa ni kina Ra sasa ipi ingine mnataka ajue!! subirini sasa mama saivi yuko juu.
 
mwanzo mbaya haukuanzia hapo bali pale ilipotafutwa jinsi wengine wanaita jinsia co uwezo, ukaendelea ubaya kudhihirika kwa zoez la kura za kumthibitisha mzee wa G8 kwa kusema liendele hata kama hawakufuata kanuni na kura kukosa usiri,huo mwanzo kama mwaka wa njaa ukaendelea kwa wawakilish wa SADEC , yule lionless akapewa, ndio c mlitaka jinsi and kuendelea had hapo pa mbunge kuchapa co mbaya walimu wa bukoc na dc wao walilipwa fidia jamen?
 
Spika wa Bunge, Anne Makinda, ameendelea kulidhalilisha Bunge letu "tukufu". Baada ya kusigina utaratibu wa Westmister na kukipokonya chama cha upinzani chenye wabunge wengi zaidi (CHADEMA) kuunda kambi ya upinzani wao wenyewe, leo ameendelea kulivuruga Bunge.

Amevunja kanuni ya Bunge inayosema Mbunge hatatumia lugha ya kuudhi au inayodhalilisha watu wengine.

Mbunge Ally Mohamed Kessy (Nkasi Kaskazini kupitia CCM) leo ametoa kauli ya kishenzi Bungeni ambayo inadhalilisha watu wengine.

Mbunge huyo wa CCM alisema Bungeni kuwa anashukuru "hakuchaguliwa kwa tiketi ya CHADEMA kwani ingekuwa kashfa kubwa."

Mbunge wa Kawe kupitia CHADEMA, Halima Mdee, alisimima na kuomba muongozo wa Spika. Mdee alisimama kidete kulinda hadhi ya CHADEMA na kusema kuwa Kessy ametoa lugha inayoudhi, inadhalilisha CHADEMA, viongozi wake makini na wanachama wake.

Mdee aliitaja kanuni ya Bunge inayozuia Wabunge wasitumie lugha ya kuudhi au inayodhalilisha watu wengine. Alimtaka mbunge huyo afute kauli yake na kuomba radhi au la Spika aruhusu wabunge wengine nao watumie lugha chafu dhidi ya CCM.

Spika Anne Makinda kama kawaida yake kwa kutaka kutumia udikteta ili kuficha udhaifu wake wa uongozi akamtetea mbunge huyo wa CCM na kudai eti hakuitaja CHADEMA na kumwambia Mdee akae chini.

Anne Makinda anaendelea kudhalilisha Bunge kwa kuendelea na upendeleo kwa CCM na kusimamia uonevu kwa wapinzani. Tunamkumbuka sana SAMUEL SITTA.
 
CHADEMA inaipeleka puta CCM.. safi sana hakuna kulala mpaka kieleweke! Makinda na CCM yake hawalali usingizi wakiwaza jinsi ya kuipaisha CHADEMA... nawashauri waendelee hivyohivyo maana majuto ni mjukuu.
 
Huyu mama anarinaga kwa sababu alikuwa nyumba ndogo ya mkwere miaka ile na inawezekana wanaendelea kwani uhawara hauna talaka.
 
Fareed nakuhakikishia ukitaka spika afate hiyo miongozo ya kipuuzi kila uchao bunge halitafanya kazi yake.
Si kwa wabunge wa cdm wala ccm wote wamekuwa na kukamiana kusiko na msingi, wabunge wamefikia hatua wanasikiliza wenzao sio kwa umuhimu wanaosema ila watateleza wapi ili waombe mwongozo. bunge haliwezi kuendeshwa kwa miongozo bana, spika anamamlaka ya kupima na akiona ni kupoteza muda anaipotezea
 
Huyu speaker anakera sana.
Yaani anaukandamizaji wa bila aibu
Mungu nusuru Tanzania kwa kumpa huyu mama busara anapoongoza asiwe na double standard!
 
Hayo yote tuliyajua mapema kuwa yatatokea, lakini uzuri ndio yanazidi kuuonesha wazi udhaifu wao!!
 
Inauma sana kuona nchi hii imefikia hapo. Huyu Mbunge anaonekana ni mbaguzi, angekuwa anatokea maeneo yenye neema kama kwetu Ndzengelendete nina uhakika kuna siku angesema anashukuru Mungu hakuzaliwa Nkasi... Nami kwa ubaguzi alioniambukiza namwambia ana laana kwa kuwa mbunge wa Nkasi kwani ni moja ya maeneo nchini yaliyolaaniwa na Mungu kwa kupewa umaskini uliokithiri miongoni mwa wanachi wake na wanabakia kushindania uchawi tu.
 
Back
Top Bottom