Ni kweli Anna Makinda ni 'Mbabe'?

Fisadi ni mtu anaechukua wake za watu....sikatai kua huyu mama kawekwa pale ila ni lazima na sisi tujue maana halisi ya neno FISADI
 
Na kama walitaka hivyo c wangetangaza mapema wanaume wasichukue form? This is not normal
 
Bitimkongwe ulijuaje kuwa mimi ni mwanamme?

Yes mimi ni dume la mbegu. Kwa taarifa yako maisha yangu ya shule hakuna mwanamke aliwahi kunipita darasani toka shule ya msingi mpaka chuo. Mwanamke ninayempanda hawezi kunizidi akili hata siku moja maana itakuwa ni kupingana na Muumba wangu. Nakumbuka maisha yangu ya Chuo kuna wanawake waliokuwa tunawaita ma-graduate wa (Digrii za marks za Chupi) I am sorry to say this. Kwamba wanawake/wasichana walikuwa wakigawa mapenzi kwa Lecturers/Professors ili wapewe marks nzuri za kuwafanya wamalize Digrii zao! Je,wewe ni graduate na ulipata digrii yako bila rushwa ya ngono? Hiyo ni siri yako!Huo ndio ukweli na hilo lipo kwenye vyuo vingi. Namshukru Mungu alinifanya niwe mwanamme ili niweze kutawala kwa maana mimi nimeumbwa tofauti na wewe kwa kila kitu. Siku zote nikiongea na wanawake linapokuja swala la usawa wa kijinsia kuwa tuko sawa huwa nawaambia hivi:KAMA TUKO SAWA NA AJITOKEZE MWANAMKE ATAKAYENIDUNGA MIMBA!. Huwa wanaishia kucheka tu kwasababu ni ukweli ambao hawawezi kuupinga.

Naomba na wewe unipe contact tukutane mahali kama utaweza kunitia mimba, bila shaka kuanzia siku hiyo nitakubaliana na usawa unaouzungumzia.

Wasalaam.

Samahani kuingilia mjadala huu.Nadhani huu ni upotoshaji wa hali ya juu ndugu yangu.Usawa wa kijinsia siyo usawa wa jinsi.Hata siku moja hakuna mtu mwenye akili timamu atasimama na kudai ati mwanamke na mwanaume wako sawa kila kitu...maana walivyoumbvwa wameumbwa tofauti ili watimize majukumu tofauti kwa mkamilishano na complimentarity.Kwamba huwezi kutiwa mimba ni ukweli usiopingika na pia ujue kuwa huwezi kujitia mimba mwenyewe.Uweze kuwa mwanaume kamili utamhitaji mwanamke huyohuyo unayemdharau umtie mimba!
Kwamba mwanamke unayempanda hawezi kukuzidi ni kichekesho maana unaweza kuonyeshwa vinginevyo. Nadhani hapa swala la kujadili ni utendaji wa mtu kama mtu na siyo utendaji kwa vile ni mwanamke.
 
Wakati mwingine huwa nataka kuamini tumepigia hatua katika uwezo wa kujenga hoja na kufikiri, wakati mwingine (kama sasa) natamani kunyofoa nywele zangu kwani sielewi watu wetu wengine wanatumia viungo gani kufikiria.
 
any way , tusimpuuze huyu mdau nae inawezekana ana aikli

ndugu zangu, najua sote tumeumizwa sana na padri Slaa kutokuwa raisi, juhudi za maaskofu na wana mtandao wengine wa kanisa waliojivika kofia za wanaharakati wa demokrasia hazikusaisia, ifike wakati tuache jazba tuwe wazalendokwani kura zimeamua

hiviiiiiii kwani Biblia ina ruhusu kuiba wake za watu? au tulipo fungua tu ukurasa ulio funguka uliandika kwamba mwanamke hafai kuwa kiongozi,, na tumsaidie mwenzetu juuu ya kazi za spika kama yeye ni mtawala au kiongozi wa bunge, na kama ni kiongozi basi quotation zaka za Biblia hapa hza apply kwani anaekemewa na Mungu ni mwanamke anae watawala wanaume

aaaaaa bana tunatia aibu,,, hivi nani asie jua kuwa kampeni za chadema zilifadhiliwa na Alex Massawe, lile jambazi la Moshi, nani asiye jua fedha za kuendeshea Chadema zinatoka kwa ufulisi na uhujumu uchumi uliofanywa na viongozi waandamizi wake wa akina mzee MTEI,, ANY WAY TUANGALIE TULIKO JIKWAAAIYA SIO TULIPOANGUKIA

TUACHENI UTABIRI WA KINA SHEIKH YAHYA

TUMUACHENI TUMUONE



Sikubalianai na hoja ya Kunukuu mistarikwenye Biblia ilikumshambulia shangazi yangu Anna.
Shangazi yangu Anna ni Mhasibu wa cheti by. Professionally si mwansheria.
Siasa za CCM ndizo zimemfanya kuchaguliwa kuwa Spika lakini si uwezo wake binafsi.
Kwa sababu safari imekwisha anza ni wazi ataliongoza Bunge kuelekea mahali fulani, sijui wapi?

Lakini hili la kumwita Mzee Mtei Mwizi sikubaliani nalo kabisa.
Mtei angeiba hata shilingi enzi zile Nyerere asingemwacha.

Haya Niambie Mtei aliiba shilingi ngapi mwaka gani katika kashfa ipi?

Unajua ni lini kwa mara ya mwisho Mtei alikuwa Waziri katika Serikali ya JK Nyerere?
 
Wazee,

Wengi wetu mtakuwa mmeshuhudia jinsi Mama yetu Mhe. Anna Makinda jinsi alivyo-handle maswali ya Mpiganaji Tundu Lissu. Binafsi nimemwona kama ana jazba sana. Jamani hivi kweli Mama huyu atalimudu bunge hili???? Nikiangalia sura za wapiganaji ndani ya mjengoni, naona kama dalili siyo nzuri kwa Mama Makinda. Mnasemaje wadau?
 
KWA ushauri wangu, inatakiwa 6 ajivue uanachama wa ccm ili akose sifa za kuwa mbunge wa ccm then ajiunge na CHADEMA, Tabora nayo iwe ya CHADEMA, Hakuna muda wa kusubiri mpaka udhalilishwe kabisa, you have to act now!!
 
Ana kazi moja tu ya kutuonyesha kwamba bunge linaendeshwa kwa kanuni. Akiendekeza jazba basi wapinzani wasimcheleweshe. Wapekue mahala kujua kanuni zinasemaje kuhusu spika anayeingiza masuala yake binafsi bungeni kama jazba wakati hakuna aliye juu ya kanuni hata kama jazba hizo zina washabiki wake hata humu JF.
 
Wazee,

Wengi wetu mtakuwa mmeshuhudia jinsi Mama yetu Mhe. Anna Makinda jinsi alivyo-handle maswali ya Mpiganaji Tundu Lissu. Binafsi nimemwona kama ana jazba sana. Jamani hivi kweli Mama huyu atalimudu bunge hili???? Nikiangalia sura za wapiganaji ndani ya mjengoni, naona kama dalili siyo nzuri kwa Mama Makinda. Mnasemaje wadau?
ukweli ndiyo huo nimemuonw kwenye MMKJJ chanel ana taabu sana but am sure the time is comming atalia
 
Hii thread inafanana na thread nyingi tu leo juu ya huyu mama, mbona isiunganishwe huko?
 
she is not independent without the chorus back up phenomena. Wthout that she can't beat the chadema whip.
she is a total disgrace.
 
Safari hii tutaona na kusikia mengi. Watanzania tumejiaibisha pale ambapo tutawakilishwa na spika asiyeelewa kitu. Tayari tunaye rais ambaye hajui kwanini nchi yake ni maskini.
 
Huyu mama ametumwa kazi moja tu y kutoruhusu wana CHADEMA kuwa na sauti.
Ninachomsikiyikia ni kuwa vijana wa CHADEMA wako mahiri na sheria wanaijua watamtesa sana.
naona anajaribu kutumia kanuni kuzima kanuni.
Nashukuru MUNGU watu tunaona haya mambo kila mahali.Mpinzani wa kweli anajulikana sasa.

Aibu yaooooooo..........!!!!!!
 
Wacha wajazane ujinga kwa kupigiana makofi yaliyojaa ushabiki na sio facts! I beleive after 5 yrs watakuja kutuulizia size ya kiatu walichotuahidi wanaenda kutuletea! Na kauli kama hizi hazikosekani "Kuna mambo niliayanzisha ktk kipindi kilichopita kwa hiyo niongezeeni muda nikayamalizie" kwanini mambo yako yasiwe yakuonekana within 5 yrs? Danganya toto nayo inaelekea ukingoni, Machalii kibao wenye hasira bt hawakufikisha umri wa ku-vote sasa wanaingia kwenye system na wazee ambao hawataki kubadilika nao ndo wanapuputika kwa kasi! I guess u get an answer1
 
Niliimis iyo mchana ndo naangalia marudio apa star tv nione akina Lissu na Mnyika
 
Ina maana EL, RA,JK wooote wamechukua wake za watu??????????? AHaaaa haaaaa haaaa!! Mh. Spika Rekebisha hii kauli watu watanzania HATUDANGANYIKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
 
Huyo Mama atarithi ugonjwa wa mkuu wa kudondoka....!! Hii kazi ya uspika nadhani angeikataa na kujaribu kubaki kwenye unaibu spika... Hawezi kuendesha Bunge/ Nchi kwa jaziba. Ataligawa bunge na watampinga na kumtoa. Tambua si wabunge wa vyama vya upinzani tu wenye muonekano wa mabadiriko bali hata wabunge wa CCM wapo wenye kuonyesha kukubali mabadiriko ya kimaendeleo.

Bunge hili litagusa zaidi wabunge na nafasi zao na si wabunge na vyama vyao. Kila mbunge atajaribu kuonyesha nini ataweza kufanya ili wale waliomchagua waweze kumfikiria kwa kipindi kijacho. Tumeona baadhi ya wabunge walio kuwa na mtazamo wa kichama zaidi jinsi walivyo umbuliwa kwenye uchaguzi ulio pita. Hii itamfanya mama huyu awe na kazi ya ziada. Hasira na jazba za kifamilia hazita mfikisha popote ndani ya bunge hili.
 
Stress zinamsumbua, hv ana mume huyu mama, yawezekana hilo lina mchango kwenye stress zake!
 
Ataishia sema wananionea kwa kua mimi ni mwanamke!Mnamkumbuka mama Meghji
 
Back
Top Bottom