Ni heri nitoke jf

NOT ENOUGH

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
596
307
Nimegundua JF hutakiwi uwe mkweli ila siku zote unatakiwa kusema uwongo na kuwa mnafiki. Mimi kama mdada nimekuwa mkweli sana katika mambo ya kijamii ambayo yanamuhusisha kila mtu. ila shida ambayo nimekuwa nikiipata uki post a genuine thread ambayo inahusisha maisha ya watu basi inakuwa ni kejeli, matusi, na kushambuliwa with every TOM, DICK and JERRY.

I am tired and i better not contribute.

Madada - Samahanini sana na endeleeni na ndoa zenu ila mkae mkijua wanaume zenu wana wasaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

BYE - NOT ENOUGH AND WILL NEVER BE ENOUGH
 
aaaah not enough vibaya hivyo,tatizo lako,story zako zilikuwa za kubadilika badilika,ikawafanya watu wasikuelewe na wasikuamini.hakuna asie mkosaji hujafukuzwa,j.f ni ya wote,inamkaribisha yoyote yule.
 
NOT ENOUGH am sorry kama umekwazika na post yangu ya leo. I know t's the reason to quit, but I did that for your own good.
We love you thus we do wat we do to keep you on rail as our fellow member. Just take a time and read your all posts, t's ril confusing. :decision::decision:
 
Unaonesha uchanga wa mawazo katika kukabiliana na changamoto,sasa kama JF tu unaikimbia ambapo ni wachangiaji usiowajua wala kuonana nao,je huko unakoishi ukikumbana na criticisms kama hizi nako utafanyaje?Ni vema ukabaki tu na uendelee kutoa mchango wako na kujifunza toka kwa members wengine na kitu kama hakijakufurahisha unakipotezea tu na maisha yanaendelea..
 
No, komaa tu NE, hata iweje, kwani hujui maisha ni changamoto popote. Mtu ukiiona amekushambulia/tukana saaana una-skip post yake unaendela kujadiliana na wengine.
 
Nimegundua JF hutakiwi uwe mkweli ila siku zote unatakiwa kusema uwongo na kuwa mnafiki. Mimi kama mdada nimekuwa mkweli sana katika mambo ya kijamii ambayo yanamuhusisha kila mtu. ila shida ambayo nimekuwa nikiipata uki post a genuine thread ambayo inahusisha maisha ya watu basi inakuwa ni kejeli, matusi, na kushambuliwa with every TOM, DICK and JERRY.

I am tired and i better not contribute.

Madada - Samahanini sana na endeleeni na ndoa zenu ila mkae mkijua wanaume zenu wana wasaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

BYE - NOT ENOUGH AND WILL NEVER BE ENOUGH

Hivi ndivyo Ma-great tinkers walivyo khe lhe kheeeeeeeeeeee angalia hapa chini baadhi ya michango yako.


Dada yangu hayo si mengi tu kwenye ndoa? kama bado hujaolewa subiri time will come sweet.

There is no hidden agenda here, I have just decided to give you guys black/white. And I am sure the message is SENT, DELIVERED, RECEIVED AND CLEARLY UNDERSTOOD.


Mungu yupo, shangingi moja linalopeleka mke wa mkubwa sokoni ni usd120,000.

Nina elimu ya certificate katika mambo ya Hoteli hivyo uwelewa wangu ni mdogo katika maswala ya uchumi. Nasikiaga mara kwa mara viongozi wakiongea kwenye hotuba zao kwamba uchumi umekuwa/umeshuka labda kwa asilimia kadha wa kadha.

Mara ya mwisho nilimsikia Mh Raisi akiongea kwenye hotuba yake ya salamu za mwaka mpya kwamba uchumi wetu umekua kwa 8% kama sikosei.

Sasa mimi sijui ni vigezo gani wanatumia kusema uchumi umekua au umeshuka. Kwa uwelewa wangu nisikia uchumi umekua mara moja naanza kufikiria maisha yanayo nizunguka hivyo naangalia unga sasa bei gani, sukari, petrol, mkate, nauli, ada za shule na kadhalika.

Je vigezo nitumiavyo mimi ni sahihi au si sahihi? Naombeni nifahamu itanisaidia.

Yeye amemshirikisha mumewe wa nini? Yeye angetoa tu tunda kisiri then achukue kazi

Jamani madada wenzangu tuwe tu wakweli, ukishaliwa mara moja na mtu kama hamjagombana na mkakutana katika anga nzuri lazima ulambwe.
There are three factors ambazo zinaweza fanya mwanamke aliwe regardless of her status.

1. Moddy - Do you feel doing so?
2. Time - Does the time allow? That you can do it bila mtu wa tatu kuona?
3. Enviroment - Are the enviroment cundusive?

Jamani kaka ni mambo ya kawaida hayo. Dada kama huyo ni kama mimi bila ya bao tatu hapa hujaondoka!! Wewe kwanini unataka kuleta utani na
mashine? Piga mpaka iwake moto kama huwezi achia wengine.

Sasa mmempigia mumewe ya nini? mngeendelea kula uroda tu. Mi ningefurahi?

Umepima VVU au umeanza tu kungonoka

David Mattaka is no longer the MD, JK alimpeleka NIC aongeze kamati ya ku restructure shirika.

Nakumbuka alivyoingia ATCL kikubwa alichofanya ni kwenda DUBAI na kununua mashangingi nane ajili ya wakurugenzi.

I know JK appointed some one to act bud I dont remeber name of that person.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

Mibaba bana inabore sana, mnakaa wiki mbili hamjala ngono siku likinywa vibia vyake uko linakuja linapanda dakika moja kwisha na lina anza kukoroma. Lakini linajifanya mtu wa madeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeemu huko nje. Ni aibu tu mnapeleka huko nje unafuata visichana vimezoea dozi kubwa wewe unaenda kupiga kabao kako kamoja na kunza kuhema na kujamba jamba ovyo.

Ni hela tu wanawachukulia hakuna dozi yoyote unayotoa, kama wewe kidume si uonyeshe udume wako nyumbani kwanza? Saa nyingine si kwamba tunaona wivu unatembea nje ila ni jinsi gani unaenda kutia aibu huko nje na vibao vyako visivyo na TIJA.

kila lakheri.
 
Hahahaha naona watu wote hawaoni umuhimu wako hapa sijajua kwa nini ila naona kama unaongea pumba sana na unajisikia sana ndio maana watu hakuelewa inabidi uongee points na usijifanye kwamba unajuwa sana wakati umeingia humu ndani juzi na kujiona mwenyeji mjuzi wa kila kitu........

Zaidi nakushauri usitoke tuendelee kuwa pamoja hapa na watu wameshindwa kukuelewa kwa sababu wewe ni kigeu geu!!
 
Sikushauri uondoke simama na useme unavyojisikia na mwenye kutaka kujifunzu ajifunze na ambae hataki aache hakuna mtu analazimishwa kuchangia thread humu ndani watu wengine hutaniana, kuchumbiana na hata wengine hutongozana kisirisiri lakini wakishapatana huwa hawasemi lakini wengi wengi tayari tumeshakutolea hukumu bila hata kukupa nafasi.

Mimi nadhani kama una mapungufu mtu mzuri angekueleza wapi umekosea na nini cha kufanya lakini wengi wanatoka na hukumu .

Binafsi nakufurahia na kujifunza kwa aina ya mada zako

PLEASE KAMA ULIVYO MUWAZI SANA NAOMBA UENDELEE KUWA WAZI NA USIONDOKE KWA HASIRA ZA WATU WACHACHE NAKUOMBA USIONDOKE
 
usichoke my dear...uvumilivu ndio muhimu binaadam lazma tupishane kimawazo sasa hakuna sababu ya kuchukia takeit n eassy.. everry thing gona be allright ahead...bora uwe mkimya na uvumilie lakini usituwache...tushakuzoea..:A S 13::A S 13:
 
Nimegundua JF hutakiwi uwe mkweli ila siku zote unatakiwa kusema uwongo na kuwa mnafiki. Mimi kama mdada nimekuwa mkweli sana katika mambo ya kijamii ambayo yanamuhusisha kila mtu. ila shida ambayo nimekuwa nikiipata uki post a genuine thread ambayo inahusisha maisha ya watu basi inakuwa ni kejeli, matusi, na kushambuliwa with every TOM, DICK and JERRY.

I am tired and i better not contribute.

Madada - Samahanini sana na endeleeni na ndoa zenu ila mkae mkijua wanaume zenu wana wasaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

BYE - NOT ENOUGH AND WILL NEVER BE ENOUGH


sioni ni nini hasa cha kukukimbiza hapa JF,
Wewe unatoa mchango wako, lakini si wote wanaweza kukubaliana nao,
Binadamu tumeumbwa na mitizamo tofauti katika maswala mengi,
kwahiyo mimi binafsi sioni taabu, wala sishangai mawazo ya mtu yeyote!!!!
Wazo lako ndio mwendelezo wa michango na mitizamo mingine hapa!
Napenda sana jinsi ambavyo umekiri kuwa unatoa mawazo na michango iliyo ya kweli,
kwani hilo ndilo tunalolihitaj hapa jukwaani, kwani zaidi ya burudani hapa,
tunajifunza na kushare experience tofauti tofauti katika maisha!
Usikimbie NE, jaribu kuushinda moyo na pambana!!!!!
Tupo pamoja!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom