Ni heri nitoke jf

Bahati mbaya yako dada mimi nasaidiwa sana na jf. usiwemwepesi wa hasira watu tuna view tofauti hata kusolve problems tunatofautiana.. na sio kila uambiwalo humu jf ulibebe kama lilivyo, that are great thinkers behave my dear!
 
Tatizo watu hawataki uhalisia. Mwenye kujisifu kwa lazima apigwe bao kila siku pengine sio kweli.
Wengine wanadai ni vidume wanapagawisha wadada kwenye 6x6 inaweza isiwe.

Tatizo la story za kufikirika ni kwamba huwezi kukumbuka ulosema juzi vinginevyo uwe professional liar, bahati mbaya Not Enough anaangukia kundi hili.

Sitoshangaa kama waagao kwa mbwembwe hurudi kwa majina mengine.
Kwa vile tunajiunga kwa hiari, ni hiari yake kujitoa pia!
 
Nimegundua JF hutakiwi uwe mkweli ila siku zote unatakiwa kusema uwongo na kuwa mnafiki. Mimi kama mdada nimekuwa mkweli sana katika mambo ya kijamii ambayo yanamuhusisha kila mtu. ila shida ambayo nimekuwa nikiipata uki post a genuine thread ambayo inahusisha maisha ya watu basi inakuwa ni kejeli, matusi, na kushambuliwa with every TOM, DICK and JERRY.

I am tired and i better not contribute.

Madada - Samahanini sana na endeleeni na ndoa zenu ila mkae mkijua wanaume zenu wana wasaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

BYE - NOT ENOUGH AND WILL NEVER BE ENOUGH

Kafie mbali huko! Ulidhani hapa kuna ma-toddler wenzako! S***NZi!
 
Nimegundua JF hutakiwi uwe mkweli ila siku zote unatakiwa kusema uwongo na kuwa mnafiki. Mimi kama mdada nimekuwa mkweli sana katika mambo ya kijamii ambayo yanamuhusisha kila mtu. ila shida ambayo nimekuwa nikiipata uki post a genuine thread ambayo inahusisha maisha ya watu basi inakuwa ni kejeli, matusi, na kushambuliwa with every TOM, DICK and JERRY.

I am tired and i better not contribute.

Madada - Samahanini sana na endeleeni na ndoa zenu ila mkae mkijua wanaume zenu wana wasaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

BYE - NOT ENOUGH AND WILL NEVER BE ENOUGH

Ili kukamilisha ndoto yako iwe kweli mtumie msg Max au Invisibo wakupige BAN ya MILELE
Tulikupenda sana, lakin naona Muumba kakupenda zaidi
Tutakukumbuka daima
Pumziko la Milele
:poa:poa:poa:poa
 
Babu naona anasalimia kila binti humu ndani, wengine siju hawaoni???:A S 13:
 
Pole dia nakushauri usiondoke ila gangamala mpaka kieleweke, keyboard isikupe msongo wa mawazo JF inauhuru wa hali ya juu unaweza kusema chochote maadam hatujuani humu ndani, kukata tamaa ni dhambi kubwa sana.
 
Usiondoke......we unatishiwa na maneno ya watu usiowajua.....mi nakushauri tu uwe consistency na thread zako....hueleweki,but hakuna mtu anakuchukia hapa......stay with us Not Enough!!!:rain:
 
Nimegundua JF hutakiwi uwe mkweli ila siku zote unatakiwa kusema uwongo na kuwa mnafiki. Mimi kama mdada nimekuwa mkweli sana katika mambo ya kijamii ambayo yanamuhusisha kila mtu. ila shida ambayo nimekuwa nikiipata uki post a genuine thread ambayo inahusisha maisha ya watu basi inakuwa ni kejeli, matusi, na kushambuliwa with every TOM, DICK and JERRY.

I am tired and i better not contribute.

Madada - Samahanini sana na endeleeni na ndoa zenu ila mkae mkijua wanaume zenu wana wasaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

BYE - NOT ENOUGH AND WILL NEVER BE ENOUGH
welcome back when u have had enough...:decision:
 
Ulizidi kuwa muongo na kutuchanganya..

We nenda tu kabadili ID urudi mama eeehhh pole

Halafu wewe inaonyesha si mwanamke halisi unatishwa na keyboard??? Kweli umetuabisha watu wenye misimamo kama sie

Yaani watu huwajui halafu unawakasirikia unamkomoa nani sasa kwa akili zako unavyofikiria?? UNACHEZA WEWE
 
Sijui kwanini mnazungumza na mtu ambaye keshatimka. Msijali atarudi kwa jina lingine, vinginevyo maisha yanaendelea hapa JF. Kwani Malaria Sugu yuko wapi?
RIP NE ulitufanywa wenzio kichwa cha mwendawazimu
 
hivi ndivyo ma-great tinkers walivyo khe lhe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee angalia hapa chini baadhi ya michango yako.

kila lakheri.
michango yake mitamu kweli....inaonyesha alikuwa akitaka midume ya mbegu hapa jf,lakini haijitokezi...wote wameogopa vitisho vyake.
 
Nimegundua JF hutakiwi uwe mkweli ila siku zote unatakiwa kusema uwongo na kuwa mnafiki. Mimi kama mdada nimekuwa mkweli sana katika mambo ya kijamii ambayo yanamuhusisha kila mtu. ila shida ambayo nimekuwa nikiipata uki post a genuine thread ambayo inahusisha maisha ya watu basi inakuwa ni kejeli, matusi, na kushambuliwa with every TOM, DICK and JERRY.

I am tired and i better not contribute.

Madada - Samahanini sana na endeleeni na ndoa zenu ila mkae mkijua wanaume zenu wana wasaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

BYE - NOT ENOUGH AND WILL NEVER BE ENOUGH

Ivumayo ................
Ngoma ikilia sana ......................
Mbio za sakafuni .....................
Paka Mapepe ....................
Kelele za chura ......................
Ukisusa ......................
Mkataa pema ....................
Usitukane mamba ......................
Mtaka yote kwa pupa ....................

Wasalimie Kigoma... Wambie TULISHAOA
 
Umenifanya nicheke kwa nguvu aisee dahhhh wewe kiboko
 
Not Enough, usikate tamaa kiurahisi hivyo lol!! Unapoona ugumu ujue ndio wepesi unakoanzia, watakuelewa tu!!
 
Nimegundua JF hutakiwi uwe mkweli ila siku zote unatakiwa kusema uwongo na kuwa mnafiki. Mimi kama mdada nimekuwa mkweli sana katika mambo ya kijamii ambayo yanamuhusisha kila mtu. ila shida ambayo nimekuwa nikiipata uki post a genuine thread ambayo inahusisha maisha ya watu basi inakuwa ni kejeli, matusi, na kushambuliwa with every TOM, DICK and JERRY.

I am tired and i better not contribute.

Madada - Samahanini sana na endeleeni na ndoa zenu ila mkae mkijua wanaume zenu wana wasaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

BYE - NOT ENOUGH AND WILL NEVER BE ENOUGH
hapo red: tafuta mwanaume kwa utulivu sio kwa kuwa umeachika urikie yeyote hata zimwi,mwanaume anayemwogopa mungu=mcha mungu sio hao wa madisco watakukomesha kwa usumbufu.Ukishampata ujiwekee mazingira yasiyomtia wasiwasi.
 
Nimegundua JF hutakiwi uwe mkweli ila siku zote unatakiwa kusema uwongo na kuwa mnafiki. Mimi kama mdada nimekuwa mkweli sana katika mambo ya kijamii ambayo yanamuhusisha kila mtu. ila shida ambayo nimekuwa nikiipata uki post a genuine thread ambayo inahusisha maisha ya watu basi inakuwa ni kejeli, matusi, na kushambuliwa with every TOM, DICK and JERRY.

I am tired and i better not contribute.

Madada - Samahanini sana na endeleeni na ndoa zenu ila mkae mkijua wanaume zenu wana wasaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

BYE - NOT ENOUGH AND WILL NEVER BE ENOUGH

Another crap gone....
 
nenda bt naamini utarudi tena......wape shavu wote huko uendako.......
 
Back
Top Bottom