Ni halali kumuacha mkeo kisa hajui kupika?

Ningekuwa wazazi wa msichana ningemtimua mbio huyo mwanaume anayenirudishia mtoto kwa sababu hajui kupika. Atanieleza kama nilimzalia mpishi! Haujui kuna cookery schools tena he can enrol himself and his wife. Akishindwa ampeleke kwa mamake amfundishe kumpikia. Otherwise atakuta panga mlangoni.!!!!? Ssssseeeee!!!!?
 
Hahahahahahaha,mkuu punguza hasira basi...........

mwenzanguuuu...so ata kazi ya kuwabeba tumbon miez tisa ,kuwanyonyesha na kwaangaikia kote kule ni katika kuwaservr wanaume?ebu mie:redfaces::redfaces::redfaces:
 
Ningekuwa wazazi wa msichana ningemtimua mbio huyo mwanaume anayenirudishia mtoto kwa sababu hajui kupika. Atanieleza kama nilimzalia mpishi! Haujui kuna cookery schools tena he can enrol himself and his wife. Akishindwa ampeleke kwa mamake amfundishe kumpikia. Otherwise atakuta panga mlangoni.!!!!? Ssssseeeee!!!!?

Sasa unakataa hata majukumu mama ndani ya nyumba.....
 
its written mpenzi.... maandiko matakatifu pia husema hivyo

basi naomba nikubali tu mpz.sawa.:redfaces::redfaces::redfaces::redfaces::redfaces::redfaces::redfaces::redfaces::redfaces::redfaces::redfac
 
natengua kauli yangu basi ........ we do serve each other.....how about that?
 
yeeeeeeees nw u tok
very humour,very carefull ,kindness n cherish iz A into your statement
ya kwanza ilikaa kikatili zaid..ASANTE KWA KUFUTA KAUL N NW AT LEAST I CAN:teeth::teeth::teeth:
na naweza nkaenda lala sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom