Ni halali kumuacha mkeo kisa hajui kupika?

Mimi napika mashed potatoes na pancakes, macaroni, ugali tu ! Ndio mwisho wa ufundi wangu! Dishes zingine tunasaidiana wala sitanii...wala siachiki, kwakuwa hicho hakikuwa kigezo cha kuwekwa ndani,
No matter how hard I try the other stuff..it just embarass so we just have to do it together coz he's better than me, the nice part is...its so much fun and it brings us closer and closer, I love sunday cooking....:) :)
Thts why baby I thank u daily for loving me for who I am and not what I can offer, either in bed or in kind!
Mbarikiwe
such a good line ...........keep it up. Unajua kuna kitu kinaitwa confidence, ukishakuwa nacho na unakitumia kwa busara huwezi achika. I know u are good in bed :smile-big:
 
Tutaelewana tu ukishaingia ndani,si umependa msukuma mama....

Na wala hkuna ambaye angeshangaa...

Ungejua jinsi mike zetu tulivyozikomaza siku hizi, ungepika tu huo ugali angalau ukiishika nami nihisi nimeguswa...

Ha ha ha ha!!!! Mmmmh kulikoni wenzetu kujikomaza hivo?????? PM we unajua kupika so atleast huyo mtu hata asipojua kupika, ww mwenyewe utafanya mambo hapo.
 
Ha ha ha ha!!!! Mmmmh kulikoni wenzetu kujikomaza hivo?????? PM we unajua kupika so atleast huyo mtu hata asipojua kupika, ww mwenyewe utafanya mambo hapo.

Kujikomaza muhimu si umeshasikia kuwa siku hizi maradhi yanasababishwa na michubuko?Hilo la kupika ni sawa naweza kumsaidia na kumfundisha pia lakini akijilegeza vipi siku nikimpeleka ukweni?Maana huko ili uonekane umeoa lazima mke wako siku akifika awapikie ugali wachungaji wa ng`ombe kama kumi hivi,ugali huo unaitwa "wa Ndemi"na unatakiwa saa tatu asubuhi uwe umeshaiva sasa kama waif akishindwa kupika huo ugali mimi si nitaonekana mwanaume aliyeshindwa(mlemelwa)
 
Hapa ndio utajuwa mafundisho ya ndoa ya Kiislam kuwa ni mema.

Kwanza, kiIslam hakuna kuowa, kuna kuoana.

Pili, Hakuna kuacha mke kama hajui kupika, kwanza hili kabisa halimo, mwanamke katika mafundisho ya ndoa za kiIslam hatakiwi kupika, kufuwa wala kuhangaika na makazi ya nyumbani ila kwa kupenda na kutaka mwenyewe, ikiwa atafanya hakatazwi.

Mke ndie anaepaswa kulishwa, kuvikwa na kuenziwa. Yeye akae kama pambo la nyumbani, sio unakuja unakuta mkeo mikono ina visuguu kwa kufanya makazi ya nyumbani, hata akikupapasa utafikiri unapitishiwa msasa, Haitakiwi. Mwanamke akikushika inatakiwa mikono iwe laini, usikie raha.

Huyo alieach mkewe kwa kuwa hajui kupika, si angemfundisha? au angekuwa anampikia yeye, kwani lazima mwanamke apike?
 
Hapa ndio utajuwa mafundisho ya ndoa ya Kiislam kuwa ni mema.

Kwanza, kiIslam hakuna kuowa, kuna kuoana.

Pili, Hakuna kuacha mke kama hajui kupika, kwanza hili kabisa halimo, mwanamke katika mafundisho ya ndoa za kiIslam hatakiwi kupika, kufuwa wala kuhangaika na makazi ya nyumbani ila kwa kupenda na kutaka mwenyewe, ikiwa atafanya hakatazwi.

Mume ndie anaepaswa kulishwa, kuvikwa na kuenziwa. Yeye akae kama pambo la nyumbani, sio unakuja unakuta mkeo mikono ina visuguu kwa kufanya makazi ya nyumbani, hata akikupapasa utafikiri unapitishiwa msasa, Haitakiwi. Mwanamke akikushika inatakiwa mikono iwe laini, usikie raha.

Huyo alieach mkewe kwa kuwa hajui kupika, si angemfundisha? au angekuwa anampikia yeye, kwani lazima mwanamke apike?

Sasa mbona hayo mafundisho yanajicontradict yenyewe?Kama mume ndiye anayepaswa kuvikwa,kulishwa na kuenziwa yote hayo yatafanywa na nani kama sio huyo mke?
 
Sasa mbona hayo mafundisho yanajicontradict yenyewe?Kama mume ndiye anayepaswa kuvikwa,kulishwa na kuenziwa yote hayo yatafanywa na nani kama sio huyo mke?

Samahani, typographical error, nilimaanisha , Mke ndie anaepaswa kulishwa, kuvikwa na kuenziwa, ntai-edit hiyo post.
 
Wakati mie naingia katika mji wangu nilikuwa si mtaalam wa kupika ,hasa ugali kwa sababu tangu mwanzo nilikuwa mvivu wa kula na mvivu wa kupika ,lakini baada ya kuingia ndani ya nyumba na kugundua mwenzangu ni mtaalam wa mapishi na alifundishwa na mama yake tangu akiwa mdogo ,tulianza kwa kusaidiana maisha yanaendelea mpaka sasa nimekuwa mtaalam wa mapishi na yale ambayo siyajui na nataka kujua naingia Google napata instruction naendelea na mapishi yangu
Hivyo basi huyo jamaa kama angekuwa muungwana alitakiwa kumpa mkewe nafasi ya kujifunza

life goes on
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom