Rose1980
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 5,684
- 1,302
Huyu ninayemsimulia wake alipika mchicha akauunguza.
mmh ulionaje?umbea tu...we mbona uliunguza CHAI mi sijakutangaza kwa watu\?
Huyu ninayemsimulia wake alipika mchicha akauunguza.
yeeeeeeees nw u tok
very humour,very carefull ,kindness n cherish iz A into your statement
ya kwanza ilikaa kikatili zaid..ASANTE KWA KUFUTA KAUL N NW AT LEAST I CAN:teeth::teeth::teeth:
na naweza nkaenda lala sasa
dzain anataka haki sawa
naosha vyombo we kadek
mi napika wali we pika mchicha si KILA KITU UMWACHIE MKIKE..labda anamanisha ivo
mmh ulionaje?umbea tu...we mbona uliunguza CHAI mi sijakutangaza kwa watu\?
Na hizi haki sawa hizi,kuna mmoja alishamwambia mumewe safari hii leba unaenda wewe,hivi mna majukumu makubwa sana kiasi cha kutaka kusaidiwa hata majukumu yenu ya asili?
ahh ulimbuken tu ndg yangu na izi movie ndo zatuharibu +km umeptia feminist theories na kijisent kdg kikikupitia bas kelel zaanzia apo
..zaman wakat majukumu ya domestic ni ya mke na mwanaume ni kutafuta pesa haya yote hayakwepo bt nw asubui we wanda job na mimi jobna wote twachoka sawa ndo pbm kwa BAADHI ya wakike inaanzia apo na mapembe yananza kuota ya kudai haki sawa cz anaona mnaaamka wote sa 11 kwnda job na wote mnarud sa 11 sasa akirud tena hm kupika apike peke ake,kuchota maji,sjui kufanyaje wakat wewe umekunja 4 seblen anaona si sawa na WIMBO WA HAKI SAWA WAANZA KUIMBWA simply cz we umechoka na mimi nimechoka pia kazin sasa iweje tena niendelee kumenyeka bila kunisaidia ata kukata kitunguu..?
hali ya maisha na mifumo ya kibepari imebadirisha ata mfumo wa maisha kati ya mke na mume.
na aiwezekan tena kurud enz ziiiiile...imekula kwetu
yeyooooo inakuwaje hapa? kama demu hajui kuungurumisha nguna anajua nini sasa?
Tunatoa siri za ndani sasa, umesahau kuwa ile chai uliiunguza wewe wakati ninakufundisha kupika chai?
duuuuuhhhhh
please say something
hahah hahha!!1
tatizo nilifundshwa kutomuumbua mume..ata km akikosea we jifanye kosa lako..so NTAZNGATIA KIPENGERE ICHO
M GOIN TO SLP SWEETIE ITS OLMOST 5.30 N I HAVE TO READ ONE PAGE B4 SLPNG NA KESHO NATAKIWA NIWAI KUAMKA NIKUNYOSHEE NA KUKUCHOTEA MAJI YA KUOGA KABLA SJAANZA KUJITAYARISHA NAMIMI KWENDA KUUZA CHAI
kesho mpz
kesho natarajia STAUNGUZA UJI WAKAT UNANIFUNDSHA KUUPIKA
mmmmmmhhhhhhh hang on a bit lol
Lakini kumbuka tu,hata kama tunaenda wote job mara nyingi mama huwa haijulikani mshahara wake unaendaje endaje,na ukitaka kujua anakuwa mkali kusema we si ndio mwanaume ulinioa wakati huwezi kunihudumia.
Usiku mwema bibi wa wajukuu zangu.
how good are you in kitchen?
kufanya kazi kwangu aimaanish UJUE MSHAHARA NAUPELEKA WAP
we ni kichwa cha nyumba..BIBLIA IMESEMA IVO NA mke UKIJIFANYA KUCHANGIA PESA ZA MAHITAJI YA NYUMBA INAKUWA UMEKIUKA MAELEKEZO YA BIBLE SO KWA mwanamke bora ni yule asiyegusa mshahara wake ni wa mume tu ata chumv ikiisha sinunui nasubiri mume aje anipe mia2 ya salt..(ni katika kutimiza maandiko tu si km nakengeuka,,...mwanaume atamuhudumia mkewake)