Ni haki halmashauri ya Ilala kuanza kuvunja nyumba mabondeni pasipo kujua wataenda wapi?

Aulizwe Zungu aliahidi ni kwa wakazi hao. Taarifa niliyoipata punde inasema aliwaambia wasihame!
 
Wawasidie na angalau fedha za kujengea hata room 2 basi japo kwa kuanzia...Ila tatizo huenda watu walilipwa enzi za Makamba wakawauzi wengine kama kawaida yetu pale sheria isipotekelezwa na seriakali
 
Serikali ya Tanzania ni ya pekee Duniani kote, kwa nini watu wavamie maeneo yasiyoruhusiwa kujengwa na wanapopata maafa waombwe kwa kubembelezwa na siyo kuomba.
 
Kuna jambo lazima tulijadili kwanini wananchi wa dar es salaam wavamie na wajenge kiolela lakini wananchi wa dodoma chini ya uongozi wa CDA wameweza kudhibiti mipango miji na kuondoa mipango holela?
 
Back
Top Bottom