Rangooo
Senior Member
- Feb 12, 2022
- 197
- 322
Habari wana JF,
Natumai wazima ndugu zangu nimekuja kuomba ushauri kuhusu bank gan hapa nchini yenye makato nafuu kwa mwezi, na pia wakati wa utoaji, na ipi yenye huduma bora sana, na yenye internet banking bora.
Pia yenye urahis wa kupatikana namaanisha ATM's nyingi. Na je what if mtu akitaka kutoa pesa nyingi mfano million 5 kuendelea ni bank ipi yenye uhakika na isiyo na longo longo.
NB: Sifahamu chochote kuhusu banking ila nataka nifungue account, sasa nimekua nikifatilia na kutafta kwa watu tofaut bila mafanikio naamin nitapata msaada asanteni.