David Mkapa
Member
- Dec 20, 2017
- 25
- 3
Anatafuta kiki alikwisha potezwa na wenzake katika tasnia yakupiga pesa kwahiyo anajikumbusha kuwa nayeye bado yupo
Huyo mzee kachanyikiwa kwani hakumbuki maoni ya wanachi kwawingi wao walipenda upande ganj...sasa anashangaa nini kwanini asingekosowa wakati ule wa waliowengi kutosikilizwa na wakasilizwa wachache..?na kuwa mpinzani sio kupiga kelele kwa kila jamboAskofu Kakobe alisema kuwa nchi ina sheria zake ambazo lazima zifuatwe. Amesema kuwa nchi ni ya vyama vingi, na kama CCM haitaki jambo hilo, basi wabunge wake wapeleke mswada Bungeni wa kuifanya nchi iwe ya chama kimoja.
Askofu tayari kamtaja. Mchawi wetu.Fukuzeni MAMVI na mugabe wenu muweke lisu na zitto mtaona mabadiliko..kwa staili hii mtatafuta mchawi hadi kiama
injili gani utamhubiria mtu akiwa ana njaa au uchumi wake ukiwa mbovu, hana amani na hana uhuru.Siyo shida kivile kwa mhubiri,ila ni shida kubwa kwa mhubiriwa. Huwa hatuendi ibadani kusikiliza politiki ! Lakini tunaruhusu mpaka majungu madhabahuni huku tukipiga makofi.
Mnafanya maovu mkikemewa mnakasirika.Anatafuta khikhi huyo.sadaka zilishahamia kwa mzee wa upako.
Usiwe mvivu wa kujisomea biblia mkuu,kwani kakobe alivyosema hayo kimemjenga nini mshirika kiimani,kiuchumi?Hao ni wale wahubiri wanaohubiri utoaji tu.injili gani utamhubiria mtu akiwa ana njaa au uchumi wake ukiwa mbovu, hana amani na hana uhuru.
Kubwaa ji***Habari wanabodi,
Tangu Mh rais wetu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Magufuli kutangaza vita kubwa ya kiuchumi dhidi ya rushwa, wezi wa rasilimali zetu, wauza ngada ambao wanaharibu vijana wetu. Mh rais amegusa maslai ya kundi kubwa sana lenye mtandao mpana wenye nguvu ambao hadi leo unatafuta kila namna kumchafua mh rais na juhud zake nzuri za kufanya ukombozi wa kiuchumi.
Kundi hili la wapiga dili linajaribu kutumia watu wenye image na influence kubwa katika kutekeleza mipango yao haramu na kila njia ili kuihujumu Tanzania.Watu hao wanaotumika ni kama wanasiasa uchwara kama tulivyokuwa tunaona kwa mh wa nairobi pia hawakuishia hapo wakaenda mbali hadi kutumia viongozi wa kiroho tumeshuhudia jinsi gan baadhi ya viongozi wa kiroho wakiitupa injili na kutumika kisiasa kuchafua serikali yetu pendwa ya awamu ya tano .
Ni aibu kubwa kwa kiongozi wa dini kuacha kondoo wa bw wakipotea na kutumika kisiasa
Huwa wakiisifia huwezi kamwe kusikia maneno hayo,wala kuambiwa usichanganye dini na siasa,kwani siasa ni nini, mbona wanasiasa uongea siasa wakialikwa kwenye hizo nyumba za ibada.Hamuwezi lazimisha watu wote waimbe nyimbo za kusifu na kuabudu hizo sio kura za ushindi wa 100%.,Da mna kazi kwelikweli,kibarua mnachoHabari wanabodi,
Tangu Mh rais wetu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Magufuli kutangaza vita kubwa ya kiuchumi dhidi ya rushwa, wezi wa rasilimali zetu, wauza ngada ambao wanaharibu vijana wetu. Mh rais amegusa maslai ya kundi kubwa sana lenye mtandao mpana wenye nguvu ambao hadi leo unatafuta kila namna kumchafua mh rais na juhud zake nzuri za kufanya ukombozi wa kiuchumi.
Kundi hili la wapiga dili linajaribu kutumia watu wenye image na influence kubwa katika kutekeleza mipango yao haramu na kila njia ili kuihujumu Tanzania.Watu hao wanaotumika ni kama wanasiasa uchwara kama tulivyokuwa tunaona kwa mh wa nairobi pia hawakuishia hapo wakaenda mbali hadi kutumia viongozi wa kiroho tumeshuhudia jinsi gan baadhi ya viongozi wa kiroho wakiitupa injili na kutumika kisiasa kuchafua serikali yetu pendwa ya awamu ya tano .
Ni aibu kubwa kwa kiongozi wa dini kuacha kondoo wa bw wakipotea na kutumika kisiasa
Sawa ila msiyasahau na mema aliotufanyia...kutoka 5000 hadi 3000 sio padogoKabisa Mkuu anadhani huyu anaweza kumdhihaki Mwenyezi Mungu. Anataka aombewe halafu kutwa kucha dhambi tupu! Uongo, wizi, ufisadi, kugawa rushwa, kuteka, kutesa, kudharau na kudhalilisha Watanzania etc.
Na aliposema katiba mpya sio kipaumbele chake je hio ni injili?Pengo hajawahi kuingiza politics kwenye injili enhe
Kwani hujui kuwa hao kondoo wanaathirika na siasa.....au unafikiri wanaishi Paradiso?,wanaathirika kwa kukosa maji,huduma mbovu za afya,elimu,uongozi bora......sasa akiwasemea kwa hayo anakuwa amewaaacha ama yupo nao?Habari wanabodi,
Tangu Mh rais wetu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Magufuli kutangaza vita kubwa ya kiuchumi dhidi ya rushwa, wezi wa rasilimali zetu, wauza ngada ambao wanaharibu vijana wetu. Mh rais amegusa maslai ya kundi kubwa sana lenye mtandao mpana wenye nguvu ambao hadi leo unatafuta kila namna kumchafua mh rais na juhud zake nzuri za kufanya ukombozi wa kiuchumi.
Kundi hili la wapiga dili linajaribu kutumia watu wenye image na influence kubwa katika kutekeleza mipango yao haramu na kila njia ili kuihujumu Tanzania.Watu hao wanaotumika ni kama wanasiasa uchwara kama tulivyokuwa tunaona kwa mh wa nairobi pia hawakuishia hapo wakaenda mbali hadi kutumia viongozi wa kiroho tumeshuhudia jinsi gan baadhi ya viongozi wa kiroho wakiitupa injili na kutumika kisiasa kuchafua serikali yetu pendwa ya awamu ya tano .
Ni aibu kubwa kwa kiongozi wa dini kuacha kondoo wa bw wakipotea na kutumika kisiasa
Vitisho tu hivyo, like father like son...nani amekwambia kuwa huyo ametelekeza kondoo wa Bwana?? Kondoo wa Bwana ndiyo wapiga kura halafu hamtaki wawakosoe...huyo anayekosolewa nae ni kondoo wa Bwana na kila siku anataka aombewe na ninyi acheni kuingilia taratibu za hao wanaomwombea huyo mnayemtetea. Hao anaowaomba kila siku wamwombee wanampa maelekezo kwamba anatakiwa kutubu (yamkini ili maombi yafike kwa Mungu) ninyi mnaotetea nepi za watoto wenu mnatoka kumsemea. Mambo ya Mungu na mtu hayahitaji ushabiki/itikadi, akikaidi maelekezo atapigwa yeye wala wewe hutahusika kwa lolote...Habari wanabodi,
Tangu Mh rais wetu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Magufuli kutangaza vita kubwa ya kiuchumi dhidi ya rushwa, wezi wa rasilimali zetu, wauza ngada ambao wanaharibu vijana wetu. Mh rais amegusa maslai ya kundi kubwa sana lenye mtandao mpana wenye nguvu ambao hadi leo unatafuta kila namna kumchafua mh rais na juhud zake nzuri za kufanya ukombozi wa kiuchumi.
Kundi hili la wapiga dili linajaribu kutumia watu wenye image na influence kubwa katika kutekeleza mipango yao haramu na kila njia ili kuihujumu Tanzania.Watu hao wanaotumika ni kama wanasiasa uchwara kama tulivyokuwa tunaona kwa mh wa nairobi pia hawakuishia hapo wakaenda mbali hadi kutumia viongozi wa kiroho tumeshuhudia jinsi gan baadhi ya viongozi wa kiroho wakiitupa injili na kutumika kisiasa kuchafua serikali yetu pendwa ya awamu ya tano .
Ni aibu kubwa kwa kiongozi wa dini kuacha kondoo wa bw wakipotea na kutumika kisiasa
Mbona wakisifia huwa hamsemi ni aibu kusifia wanasiasa. Nyerere alisema hakuna serikali isiyofanya makosa labda iwe serikali ya mwenyezi Mungu lakini ya binadamu never. Mkitaka sifa mkubali na kukosolewa.Habari wanabodi,