Ni aibu kiongozi wa dini kuitupa injili na kutumika kisiasa

Anatafuta kiki alikwisha potezwa na wenzake katika tasnia yakupiga pesa kwahiyo anajikumbusha kuwa nayeye bado yupo
 
Askofu Kakobe alisema kuwa nchi ina sheria zake ambazo lazima zifuatwe. Amesema kuwa nchi ni ya vyama vingi, na kama CCM haitaki jambo hilo, basi wabunge wake wapeleke mswada Bungeni wa kuifanya nchi iwe ya chama kimoja.
Huyo mzee kachanyikiwa kwani hakumbuki maoni ya wanachi kwawingi wao walipenda upande ganj...sasa anashangaa nini kwanini asingekosowa wakati ule wa waliowengi kutosikilizwa na wakasilizwa wachache..?na kuwa mpinzani sio kupiga kelele kwa kila jambo
 
Rais kukumbushwa kuheshimu katiba ya nchi ndiyio Injili tosha.

Hakika dawa ya Kakobe imewaingia vizuri hadi raha yani.
 
Mwizi ni yule anae waibia hadi wauza karanga barabani wakitembea kwanyayotupu huku yeye akijijengea majumba na kununua magari yafahari huyo ndie mwizi mwongo na muuaji siotu wa mwili bali hata roho za watu
 
Siyo shida kivile kwa mhubiri,ila ni shida kubwa kwa mhubiriwa. Huwa hatuendi ibadani kusikiliza politiki ! Lakini tunaruhusu mpaka majungu madhabahuni huku tukipiga makofi.
injili gani utamhubiria mtu akiwa ana njaa au uchumi wake ukiwa mbovu, hana amani na hana uhuru.
 
Usiwe mvivu wa kujisomea biblia mkuu,kwani kakobe alivyosema hayo kimemjenga nini mshirika kiimani,kiuchumi?Hao ni wale wahubiri wanaohubiri utoaji tu.
 
Habari wanabodi,

Tangu Mh rais wetu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Magufuli kutangaza vita kubwa ya kiuchumi dhidi ya rushwa, wezi wa rasilimali zetu, wauza ngada ambao wanaharibu vijana wetu. Mh rais amegusa maslai ya kundi kubwa sana lenye mtandao mpana wenye nguvu ambao hadi leo unatafuta kila namna kumchafua mh rais na juhud zake nzuri za kufanya ukombozi wa kiuchumi.

Kundi hili la wapiga dili linajaribu kutumia watu wenye image na influence kubwa katika kutekeleza mipango yao haramu na kila njia ili kuihujumu Tanzania.Watu hao wanaotumika ni kama wanasiasa uchwara kama tulivyokuwa tunaona kwa mh wa nairobi pia hawakuishia hapo wakaenda mbali hadi kutumia viongozi wa kiroho tumeshuhudia jinsi gan baadhi ya viongozi wa kiroho wakiitupa injili na kutumika kisiasa kuchafua serikali yetu pendwa ya awamu ya tano .

Ni aibu kubwa kwa kiongozi wa dini kuacha kondoo wa bw wakipotea na kutumika kisiasa
Kubwaa ji***
 
Huwa wakiisifia huwezi kamwe kusikia maneno hayo,wala kuambiwa usichanganye dini na siasa,kwani siasa ni nini, mbona wanasiasa uongea siasa wakialikwa kwenye hizo nyumba za ibada.Hamuwezi lazimisha watu wote waimbe nyimbo za kusifu na kuabudu hizo sio kura za ushindi wa 100%.,Da mna kazi kwelikweli,kibarua mnacho
 
Hivi lakin watanzania wehu utatuisha lini...so when someone hold their views and express them he eventually becomes a politician

Retarded fools.
 
Kabisa Mkuu anadhani huyu anaweza kumdhihaki Mwenyezi Mungu. Anataka aombewe halafu kutwa kucha dhambi tupu! Uongo, wizi, ufisadi, kugawa rushwa, kuteka, kutesa, kudharau na kudhalilisha Watanzania etc.
Sawa ila msiyasahau na mema aliotufanyia...kutoka 5000 hadi 3000 sio padogo
 
Habari wanabodi,

Tangu Mh rais wetu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Magufuli kutangaza vita kubwa ya kiuchumi dhidi ya rushwa, wezi wa rasilimali zetu, wauza ngada ambao wanaharibu vijana wetu. Mh rais amegusa maslai ya kundi kubwa sana lenye mtandao mpana wenye nguvu ambao hadi leo unatafuta kila namna kumchafua mh rais na juhud zake nzuri za kufanya ukombozi wa kiuchumi.

Kundi hili la wapiga dili linajaribu kutumia watu wenye image na influence kubwa katika kutekeleza mipango yao haramu na kila njia ili kuihujumu Tanzania.Watu hao wanaotumika ni kama wanasiasa uchwara kama tulivyokuwa tunaona kwa mh wa nairobi pia hawakuishia hapo wakaenda mbali hadi kutumia viongozi wa kiroho tumeshuhudia jinsi gan baadhi ya viongozi wa kiroho wakiitupa injili na kutumika kisiasa kuchafua serikali yetu pendwa ya awamu ya tano .

Ni aibu kubwa kwa kiongozi wa dini kuacha kondoo wa bw wakipotea na kutumika kisiasa
Kwani hujui kuwa hao kondoo wanaathirika na siasa.....au unafikiri wanaishi Paradiso?,wanaathirika kwa kukosa maji,huduma mbovu za afya,elimu,uongozi bora......sasa akiwasemea kwa hayo anakuwa amewaaacha ama yupo nao?
 
Habari wanabodi,

Tangu Mh rais wetu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Magufuli kutangaza vita kubwa ya kiuchumi dhidi ya rushwa, wezi wa rasilimali zetu, wauza ngada ambao wanaharibu vijana wetu. Mh rais amegusa maslai ya kundi kubwa sana lenye mtandao mpana wenye nguvu ambao hadi leo unatafuta kila namna kumchafua mh rais na juhud zake nzuri za kufanya ukombozi wa kiuchumi.

Kundi hili la wapiga dili linajaribu kutumia watu wenye image na influence kubwa katika kutekeleza mipango yao haramu na kila njia ili kuihujumu Tanzania.Watu hao wanaotumika ni kama wanasiasa uchwara kama tulivyokuwa tunaona kwa mh wa nairobi pia hawakuishia hapo wakaenda mbali hadi kutumia viongozi wa kiroho tumeshuhudia jinsi gan baadhi ya viongozi wa kiroho wakiitupa injili na kutumika kisiasa kuchafua serikali yetu pendwa ya awamu ya tano .

Ni aibu kubwa kwa kiongozi wa dini kuacha kondoo wa bw wakipotea na kutumika kisiasa
Vitisho tu hivyo, like father like son...nani amekwambia kuwa huyo ametelekeza kondoo wa Bwana?? Kondoo wa Bwana ndiyo wapiga kura halafu hamtaki wawakosoe...huyo anayekosolewa nae ni kondoo wa Bwana na kila siku anataka aombewe na ninyi acheni kuingilia taratibu za hao wanaomwombea huyo mnayemtetea. Hao anaowaomba kila siku wamwombee wanampa maelekezo kwamba anatakiwa kutubu (yamkini ili maombi yafike kwa Mungu) ninyi mnaotetea nepi za watoto wenu mnatoka kumsemea. Mambo ya Mungu na mtu hayahitaji ushabiki/itikadi, akikaidi maelekezo atapigwa yeye wala wewe hutahusika kwa lolote...
 
Habari wanabodi,

Tangu Mh rais wetu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Magufuli kutangaza vita kubwa ya kiuchumi dhidi ya rushwa, wezi wa rasilimali zetu, wauza ngada ambao wanaharibu vijana wetu. Mh rais amegusa maslai ya kundi kubwa sana lenye mtandao mpana wenye nguvu ambao hadi leo unatafuta kila namna kumchafua mh rais na juhud zake nzuri za kufanya ukombozi wa kiuchumi.

Kundi hili la wapiga dili linajaribu kutumia watu wenye image na influence kubwa katika kutekeleza mipango yao haramu na kila njia ili kuihujumu Tanzania.Watu hao wanaotumika ni kama wanasiasa uchwara kama tulivyokuwa tunaona kwa mh wa nairobi pia hawakuishia hapo wakaenda mbali hadi kutumia viongozi wa kiroho tumeshuhudia jinsi gan baadhi ya viongozi wa kiroho wakiitupa injili na kutumika kisiasa kuchafua serikali yetu pendwa ya awamu ya tano .

Ni aibu kubwa kwa kiongozi wa dini kuacha kondoo wa bw wakipotea na kutumika kisiasa
Mbona wakisifia huwa hamsemi ni aibu kusifia wanasiasa. Nyerere alisema hakuna serikali isiyofanya makosa labda iwe serikali ya mwenyezi Mungu lakini ya binadamu never. Mkitaka sifa mkubali na kukosolewa.

Rais siyo Mungu wala Malaika. Halafu mbona makosa mengine ni ya wazi mno kila mwenye uelewa wa sheria na taratibu anaona. Unapoapa halafu unakwenda kinyume na ulichoapa ni laana. Mbona wakati viongozi wa siasa wanapoapa hushika Biblia au Kuruan hamsemi wanachanganya siasa na dini? Uliona wapi viongozi wa dini wanaapa kwa kushika katiba ya nchi? Kwakuwa wanasiasa wanashika misahafu kwenye viapo vyao ni jukumu la viongozi wa dini kuwakumbusha viapo vyao. Istoshe wanasiasa ndio wanaokwenda nyumba za ibada na kutaka viongozi wa dini wawaombee.
 
Back
Top Bottom