Ni aibu kiongozi wa dini kuitupa injili na kutumika kisiasa

Habari wanabodi,

Tangu Mh rais wetu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Magufuli kutangaza vita kubwa ya kiuchumi dhidi ya rushwa, wezi wa rasilimali zetu, wauza ngada ambao wanaharibu vijana wetu. Mh rais amegusa maslai ya kundi kubwa sana lenye mtandao mpana wenye nguvu ambao hadi leo unatafuta kila namna kumchafua mh rais na juhud zake nzuri za kufanya ukombozi wa kiuchumi.

Kundi hili la wapiga dili linajaribu kutumia watu wenye image na influence kubwa katika kutekeleza mipango yao haramu na kila njia ili kuihujumu Tanzania.Watu hao wanaotumika ni kama wanasiasa uchwara kama tulivyokuwa tunaona kwa mh wa nairobi pia hawakuishia hapo wakaenda mbali hadi kutumia viongozi wa kiroho tumeshuhudia jinsi gan baadhi ya viongozi wa kiroho wakiitupa injili na kutumika kisiasa kuchafua serikali yetu pendwa ya awamu ya tano .

Ni aibu kubwa kwa kiongozi wa dini kuacha kondoo wa bw wakipotea na kutumika kisiasa
Na wale viongozi wa dini waliotukorogea rasimu ya katiba yetu, unasemaje kuhusu hao? Maana walifanya hivyo kuwaunga mkono watawala.
 
3
Habari wanabodi,

Tangu Mh rais wetu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Magufuli kutangaza vita kubwa ya kiuchumi dhidi ya rushwa, wezi wa rasilimali zetu, wauza ngada ambao wanaharibu vijana wetu. Mh rais amegusa maslai ya kundi kubwa sana lenye mtandao mpana wenye nguvu ambao hadi leo unatafuta kila namna kumchafua mh rais na juhud zake nzuri za kufanya ukombozi wa kiuchumi.

Kundi hili la wapiga dili linajaribu kutumia watu wenye image na influence kubwa katika kutekeleza mipango yao haramu na kila njia ili kuihujumu Tanzania.Watu hao wanaotumika ni kama wanasiasa uchwara kama tulivyokuwa tunaona kwa mh wa nairobi pia hawakuishia hapo wakaenda mbali hadi kutumia viongozi wa kiroho tumeshuhudia jinsi gan baadhi ya viongozi wa kiroho wakiitupa injili na kutumika kisiasa kuchafua serikali yetu pendwa ya awamu ya tano .

Ni aibu kubwa kwa kiongozi wa dini kuacha kondoo wa bw wakipotea na kutumika kisiasa
acheni ujinga.kwani alichoongea kibaya kipo wapi?uwongo wake uko wapi?acheni unafiki wanaotumia madhabahu kumsifikia hawafanyi siasa.acheni unafiki.bibilia mnaisoma kweli?kosomeni kisa cha Yohana mbatizaji alivyomkosoa Herode.
 
Yaani Kakobe kaivuruga kabisa Lumumba kila mtu sasa hivi anatoka na perfume yake kumpamba mkulu hahahaaaa
 
Habari wanabodi, Tangu mh rais wetu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania mh JPM kutangaza vita kubwa ya kiuchumi dhidi ya rushwa,wezi wa rasilimali zetu,wauza ngada ambao wanaharibu vijana wetu.Mh rais amegusa maslai ya kundi kubwa sana lenye mtandao mpana wenye nguvu ambao hadi leo unatafuta kila namna kumchafua mh rais na juhud zake nzur za kufanya ukombozi wa kiuchumi.
Kundi hili la wapiga dili linajaribu kutumia watu wenye image na influence kubwa katika kutekeleza mipango yao haramu na kila njia ili kuihujumu Tanzania.Watu hao wanaotumika ni kama wanasiasa uchwara kama tulivyokuwa tunaona kwa mh wa nairobi pia hawakuishia hapo wakaenda mbali hadi kutumia viongozi wa kiroho tumeshuhudia jinsi gan baadhi ya viongozi wa kiroho wakiitupa injili na kutumika kisiasa kuchafua serikali yetu pendwa ya awamu ya tano .
Ni aibu kubwa kwa kiongozi wa dini kuacha kondoo wa bw wakipotea na kutumika kisiasa
Akina PENGO wanapowasifia haya hamuyaoni ila nyie mkisemwa ndio mnakimbilia kujificha ktk kitabu kitakatifu,mnapoambiwa kiongozi wenu ameitwa na Mungu na ni chaguo la Mungu meno yote nje,kubalini muambiwe ukweli hakuna aliye mkamlifu ,tatizo lenu manajisahaiu mnajiona nyie ni malaika watakatifu hampaswi kukosolewa hilo ni kosa kubwa sana ,hii ni nchi yetu sote na katiba msiyotaka kuibadili ndio inatupa uhuru wa kuwakosoa shikeni adabu zenu kama hamtaki kukosolewa nendeni mkakae nchi za kusadikika,umewahi ona wapi mkuu ana furahi kuua vyama vya upinzani kufa na ansaema eti nimeskika kuna watu wengine wa upinzani wengi watahamia CCM shame on you all wenye mawazo ya kinafiki nafiki ,damu za watanzania zinazomwagika zitawasumbua sana hazitawaacha salama mmemfanyizia Tundu na sasa wengine wanaibuka basi muwamamliezie wote mfurahie ila mtambue hata nayi ipo siku yenu malipo ni hapa hapa duniani
 
Mnapambana kumtetea magufuli wakati mwenyewe yupo na kaamua kukaa kimya ,je mnajuaje labda kakubaliana na wito wa kutubu nyie mnakomaa kumtetea.acheni ajitete mwenyewe.
SINDANO YA ASKOFU KAKOBE IMEWAINGIA.KAMA NI UJUMBE UMEFIKA BALABALA.TUNAONA WANAFIKI WANAVYO TAPATAPA.
 
Baada ya pigo la askofu Naona pale Lumumba sasa wananena kwa lugha.Kakobe kawasemea watz wengi wasio ns sauti.huo ndio ukweli.ujumbe umefika sawsawa .mfalme nadhan hajapata usingizi
 
wewe mwenyewe unatumika vibaya na halmashauri yako ya ubongo.... hiik awamu imeishia kuwa ya matamko na matukio ya kiki tu amna kingine, may be mmewini kuminya demokrasia.
 
Yote Tisa...
NANI anajua kwa usahihi MAKINIKIA yameishia wapi..???

Nani anajua kwa USAHIHI ya Bombadia yameishia wapi..??
Na tusubiri kujua kwa USAHIHI haya ya AIRTEL

HUWA TUNASADIKISHWA MENGI TU LAKINI MWISHO WAKE HUWA HATUUJUI...

Wote wanaosema mambo huonekana wasaliti e.g LISU na Bombadia

Leo Kakobe....

Wote wanaosema mambo huonekana ni wapiga dili...

Madili almost yote yamepigwa na wana CCM na wengine bado ni wanachama hai wa CCM na bado wapo... badala ya kushughurika nao kisheria, TUNAPANDA MAJUKWAANI KURAFUTA SIFA KWA WANANCHI HUKU WEZI HALISI WAKIENDELEA kukipiga

HIVI, KWA MFANO YALE MAGARI "YALIYOFICHWA" KULE BANDARINI, kwa tunavyomfahamu raisi wetu, KAMA MFICHAJI ANGEKUWA YUPO UPINZANI ASINGEMTAJA?? Bwana yule ukiona panazingiwa na kigugumizi , basi jua muhusika "HATAJIKI"
Ukikumbushia makinikia utaonekana huna "uzalendo"! Uzalendo Kwa mlengo wa wenzetu ni kuitikia pambio za ahadi "nzuri" kama zile za milioni hamsini Kwa kila kijiji! Maisha bora Kwa kila mtanzania, kila mtanzania kuwa na Noah Kwa hela za makinikia, kugawana faida ya biashara ya dhahabu na acacia nusu Kwa nusu nk! Cha ajabu hata ukiulizia na kukumbushia ahadi hizi zilizotolewa hadharani pia unaonekana huna "uzalendo"! Naona tuna msamiati mpya wa " uzalendo" nchi hii!
 
CC programmer 95:-
Ni aibu kwa mwanajf kuandikia wanajf uharo huu na kiwapotezea muda kusoma matakataka ya kujipendekeza na kujikomba kwa kila namna! Kakobe katia kitumbua mchanga maana tangu jana unahangaika naye kweli but hutomuweza kwani ni wa level nyingine kabisa.
Usipoteze wakati wako kujificha na kusingizia pasi na ushahidi wa kumwaminisha yeyote mwenye akili timamu. Kiongozi wa kiroho wa imani yoyote tumefundishwa kuwaheshimu hata kama wanahubiri na kutenda tofauti. Kusema ni wapiga dili huku ukiwa huna ushahidi zaidi ya ulivyosikia kwa makonda nawe ukadaka kikasuku na kuanza kutuimbia humu hizo zilipendwa zenu ni kutuharibia siku.
Fufueni kile chuo chenu cha kupikana kikada mjifundishe kujibu hoja.
 
Huu ni Uzi wako wa ngapi unaandika kuhusu Kakobe! Yaani wewe ndiyo umeumia sana na mahubiri ya Kakobe kuliko wana Lumumba wengine? Au ndiyo umeona ni fursa ya kuweza kuonekana ili update chochote toka kwa mtukufu. Acha na ujinga wa kujipendekeza pambana na hali yako.
 
Siasa na dini huwezi kutenganisha, hata bunge kabla ya kuanza wanamwomba Mungu, aliapa wanashika bibilia, na huko nako ni kuchanga dini na siasa.
Viongozi wa dini wanaposifia hao hawachanganyi dini na siasa, wakikosoa tu tayari wanachanganya dini na siasa
 
Back
Top Bottom