Nguo ya ndani bora kwa mwanaume

Mmanyanigho

Senior Member
May 18, 2018
186
326
Wakuu kwema, poleni na majukumu.

Aisee nina changamoto ya fungus, nadhani zinatokana na hizi boxer ninazovaa.

Humu mapajani kunasuguana mno, napata maumivu makali wakati wa kutembea.

Kuna muda inabidi nitembee kama nimetoka kutahiri kumbe ni kuhofia ile friction ya mapaja hapo kati.

Sasa wakuu ni boxer gani makini ambazo zinaweza kunisaidia au dawa.

Kuna bukta fulani ya mpira nadhani, nikiivaa ile inakua afadhari kuliko hutu tuboxer twa buku 10.

Naskiaga tu nunua boxer za cotton lakin hata zile nazovaaga ni za cotton ila ndo ivo zinaumiza.

Ushauri muhimu wakuu, na kama uliwahi kukutana na hii changamoto uliitatua vipi??

Nawasilisha.
 
Naskiaga tu nunua boxer za cotton lakin hata zile nazovaaga ni za cotton ila ndo ivo zinaumiza.
Tafuta km hizo sio zile za kubana Mapumbu unazibana pumbu ili iweje? Ndio maana zinakuchubua
Screenshot_20240309-185749.png
 
Hakikisha unakausha hizo poumbur kisha paka mafuta ta mgando (Vaseline) kabla hujavaa nguo
 
Acha kuvaa boxer inayokubana alafu usivae wiki nzima boxer moja kuwa nazo 3 tu ukizidisha ukawa na boxer 10 tunakuweka kundi la walioleft

Vaa moja leo mbili zinakua standby ukioga moja inabaki standby hivyo hivyo hadi zianze kuchakaa ndo unanunua moja moja kufanya substitution
 
Back
Top Bottom