Ngono maofisini

Ndio dunia ilipo fikia, waache wazinzi wazidi kuwa wazinzi...

Mwenye kudhulumu na azidi
kudhulumu; na mwenye uchafu
na azidi kuwa mchafu; na
mwenye haki na azidi kufanya
haki; na mtakatifu na azidi
kutakaswa. (Soma Ufunuo wa
Yohana 22:11)
 
hata kama wana ukame kama wa wafungwa still chooni ktk eneo lako la kazi stim hazipandi!
 
WASHAMBA HAO.KWANZA HUYO MWANAMKE MKE WA MTU UNASALITI NDOA YAKO KWA KUJIRAHISI HVO,CHOONI ? TENA CHOO CHA OFSINI? SASA HAPO ANAFAIDI NINI? NI MIHEMKO GANI IYO ALIYONAYO?

MIMI HATA HOTELI YA TSH SILALI

UPUUUZI MTUPU
WAPAMBE MSINIJADILI:focus:

Role model....safi sana!!
 
WASHAMBA HAO.KWANZA HUYO MWANAMKE MKE WA MTU UNASALITI NDOA YAKO KWA KUJIRAHISI HVO,CHOONI ? TENA CHOO CHA OFSINI? SASA HAPO ANAFAIDI NINI? NI MIHEMKO GANI IYO ALIYONAYO?

MIMI HATA HOTELI YA TSH SILALI

UPUUUZI MTUPU
WAPAMBE MSINIJADILI:focus:

1esJj244NfiAAAAAElFTkSuQmCC
dollar_toilet.jpg
 
Kuna mtu juzi kati hapa alileta mada humu kuwa kujivinjari sehemu tata (yeye alisema jikoni kwake) kuna "radha" ya kitofauti! Inawezekana kwa baadhi ya watu ikifanyikia chooni tena cha ofisini, mzuka unakuwa mkubwa zaidi..Lols
 
huyo dada hana haya jamani loh! akirudi home mkavuuuuuuuuuu

Advantage ni kua HAYA na AIBU position yake ni usoni ! But on that secret organ parts havikuumbwa na AIBU wala havijui AIBU ni nini ? That's why hata ukisaula nguo then you remain nude katikati ya soko uchi utakua displayed ! Wenyewe haujui kujificha mpaka ufichwe!
 
Siku nyingine ukiwafumania wnafanya ngono chooni wakemee kwa jina la Yesu; au piga kelele kubwa MWIZIIIIII au MOTOOOOO utashangaa watu watakavyojaa na kukusaidia kufumania!!!
 
Hizi ndizo laana zifanyazo maofisi mengi yasiwe na ufanisi na hatimaye taifa zima. Muumba aturehemu!
 
Hao wanao fanya chooni bado wanajihesimu sana mana wanafunga mlango na lock, hakuna anaye waona....Kuna wengine wanafanya kwenye ma bus na abiria wamejezana.

Dogo mara ya pili usisukume mlango, mlango hauna kosa.
 
Si bora wangesafiri tu kikazi lakin
waende hotelini wasukumiane nyama
kwa uzuri....choooni?!!! mtu usipooa wanasema ooh mhuni sasa hapa
kweli nisipooa mtanilaumu/!!
 
eeeh ndio maanake, ndoa nyingi siku hizi hawatoshelezani, haya mambo ya kawaida tu kwenye hizi ofisi, watu wengine wakienda lunch ndio wanamaliza huko huko, nenda viwanda vya cement kwenye vyoo vyao kuna condom kabisa,yaani huko wameona ushauri wa kuwaambia watu waache ni sawa na kuiambia chama tawala kiachie madaraka
sishangai kabisa hilo, tena sie ofisini kuonyesha msisitizo kuwa tunajali tumeweka na CONDOM kabisa kwenye toilets zote za wake na waume.
 
Hiki kizazi chetu kimefikia hatua ya kukifanaya kitu cha kawaida watu kupakatana vyooni. Sijui tunaelekea wapi!.
 
Back
Top Bottom