Neymar Jr alipelekea FIFA kubadilisha sheria ya upigaji penati

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Namkubali sana Neymar Jr kwenye kuchezea mpira, sijapata kushuhudia mchezaji mpira anayejua kuchezea mpira atakavyo kama huyu kijana. Kuna watu wanasema Ronaldinho alikuwa fundi wa mpira, ila kwangu huyu kijana alikuwa hatari zaidi yake.

Tukirudi kwenye mada, Neymar Jr alikuwa na upigaji penati ambao unachukuliwa kama wa udanganyifu ambapo alikuwa akitishia kama anapiga, kipa akienda upande fulani basi Neymar humalizia kwa kupiga upande mwingine tofauti na kipa aliporukia.

FIFA iliona siyo sawa hivyo ikaamua kubadilisha sheria ya upigaji wa penati ambayo inatumika mpaka sasa.

Tukirudi kwenye mada, Neymar Jr alikuwa na upigaji penati ambalo unachukuliwa kama wa udanganyifu ambapo alikuwa akitishia kama anapiga, kipa akienda upande fulani basi Neymar humalizia kwa kupiga upande mwingine tofauti na kipa aliporukia.

FIFA iliona siyo sawa hivyo ikaamua kubadilisha sheria ya upigaji wa penati ambayo inatumika mpaka sasa.

View attachment 2901642
hii hbari umeitoa wapi?
sheria ya sasa inasesmaje?
 
Namkubali sana Neymar Jr kwenye kuchezea mpira, sijapata kushuhudia mchezaji mpira anayejua kuchezea mpira atakavyo kama huyu kijana. Kuna watu wanasema Ronaldinho alikuwa fundi wa mpira, ila kwangu huyu kijana alikuwa hatari zaidi yake...
Neymar hata robo hafiki kwa Gaucho. Sema tu kuwa wakati Gucho wakati anacheza ulikuwa unatambaa
 
Hawa madogo wakisinuliana story kwenye mabanda ya mpira mwananyamala huko wanakuja kutudanganya hadi sisi , sio poa kwakweli sio poa kabisaa
Nimejiunga JF 2012 unaniita dogo! Uwe na adabu.

Tukirudi kwenye mada; Nimeileta jukwaa husika ili kupata ufafanuzi zaidi, huwezi kujua kila kitu.
 
Daah 😂😂😂😂 wanajifanya wachambuz wa odds sio ahahaha mitaa mibovu kwa malezi ya watoto ile acha kabisaa
Jioni kwa dula bonge pale wanakula viepe na prons, kuna kijana mmoja anaitwa Rama anaendesha ligi uwanja nmbele ya shule ya Msingi Msisiri B, watoto bangi sana.
Wanahitaji maombi ya mfungo, hata polisi ule mtaa huwa hawafiki.
 
Nimejiunga JF 2012 unaniita dogo! Uwe na adabu.

Tukirudi kwenye mada; Nimeileta jukwaa husika ili kupata ufafanuzi zaidi, huwezi kujua kila kitu.
Sawa mkuu sasa kwanini kwenye taarifa yako hakuna sehemu uliouliza nimesoma kila kitu ni kama taarifa ilokamilika mkuu au nasema uwongo ?

Sasa basi nakwambia sheria ya penati haiwez badilishwa sababu ya mtu mmoja huwa wanafanya research ya wachezaji wengi tu , zimefanyika amendments nyingi za sheria ya penati na nyingine zimefanyika baada ya kombe la dunia kuisha mkuu, au nasema uwongo?

Nenda kasome sheria ya zaman ya penalty ya FIFA alafu usome sheria mpya utaona sehemu zilizobadilishwa mfano kwenye sheria mpya kuna sehemu FIFA wanasema goli kipa haruhusiwi kushikashika nyavu, kubusu post zile za goli na kuleta makeke ya staili hiyo sababu kimsingi penalty ni kama inaenda kumfeva mpigaji moja kwa moja so kufanya hivyo ni kumdhikaki na kumrubuni mpigaji ili akose na mpira hautaki udanganyifu wa namna hiyo mkuu kasome hizo sheria uje hapa tena tudiscuss mkuu sisi wengine mpira upo damuni
 
Jioni kwa dula bonge pale wanakula viepe na prons, kuna kijana mmoja anaitwa Rama anaendesha ligi uwanja nmbele ya shule ya Msingi Msisiri B, watoto bangi sana.
Wanahitaji maombi ya mfungo, hata polisi ule mtaa huwa hawafiki.
Ahahaha ila kule kiboko, watoto wa mwananyamala kiwanja chao ni masaai pale sijui siku ila kukiwa na kigodoro ukipita pale aloo ni hatari sana sana masta, simu weka mfukoni na pita mbali yao kabisaa
 
Sawa mkuu sasa kwanini kwenye taarifa yako hakuna sehemu uliouliza nimesoma kila kitu ni kama taarifa ilokamilika mkuu au nasema uwongo ? Sasa basi nakwambia sheria ya penati haiwez badilishwa sababu ya mtu mmoja huwa wanafanya research ya wachezaji wengi tu , zimefanyika amendments nyingi za sheria ya penati na nyingine zimefanyika baada ya kombe la dunia kuisha mkuu, au nasema uwongo ? Nenda kasome sheria ya zaman ya penalty ya FIFA alafu usome sheria mpya utaona sehemu zilizobadilishwa mfano kwenye sheria mpya kuna sehemu FIFA wanasema goli kipa haruhusiwi kushikashika nyavu, kubusu post zile za goli na kuleta makeke ya staili hiyo sababu kimsingi penalty ni kama inaenda kumfeva mpigaji moja kwa moja so kufanya hivyo ni kumdhikaki na kumrubuni mpigaji ili akose na mpira hautaki udanganyifu wa namna hiyo mkuu kasome hizo sheria uje hapa tena tudiscuss mkuu sisi wengine mpira upo damuni

Niulize ili iweje? Taarifa niliyonayo ni hiyo, kama nimeingiza watu chaka itathibitishwa na JamiiCheck.

Nimejaribu kuchimba kidogo nimepata hili desa, labda nao ni waongo kama mimi.

Screenshots_2024-02-12-18-36-23~2.png
 
Namkubali sana Neymar Jr kwenye kuchezea mpira, sijapata kushuhudia mchezaji mpira anayejua kuchezea mpira atakavyo kama huyu kijana. Kuna watu wanasema Ronaldinho alikuwa fundi wa mpira, ila kwangu huyu kijana alikuwa hatari zaidi yake.

Tukirudi kwenye mada, Neymar Jr alikuwa na upigaji penati ambao unachukuliwa kama wa udanganyifu ambapo alikuwa akitishia kama anapiga, kipa akienda upande fulani basi Neymar humalizia kwa kupiga upande mwingine tofauti na kipa aliporukia.

FIFA iliona siyo sawa hivyo ikaamua kubadilisha sheria ya upigaji wa penati ambayo inatumika mpaka sasa.

Haka kastori kamekosa nyama ...
Ila kazur kwa kupotezea mda kijiwen..!
 
Back
Top Bottom