afrique
JF-Expert Member
- Jun 28, 2012
- 509
- 135
Wanawake ni watu Wa ajabu
huyo wanaume ndiye mtu wa ajabu,anazoa zoa tu,mwisho atanasa magonjwa
Wanawake ni watu Wa ajabu
nilimwambia tu, nikimjibu tu, namuoa regardless ya jinsia yake.
kongosho huishagi mauzauza,wanaooa regardless jinsia ya mtu ni mamende au ma-lesbo....unataka kutuambia nini hapa Kongosho?
wewe Kongosho kwenye uzi fulani ulisema wewe ni mbaba, sasa iweje leo unataka kuanzisha kampuni ya kutapeli mab.az.azi. utamtisha kaka yetu Tilly lol
Hello there
baada ya mkasa wa kwanza na mwendelezo huu ni mkasa mwingine ambao umempata rafiki yangu....alikutana na mrembo (mchanga), kwa siku ya kwanza siku iliyofuata msichana akakubali wakapanga mengi ya maisha, cha kushangaza yule dada akasema ana mtu na kuanzia siku hiyo anaachana naye ili awe na jamaa. wakakubaliana.
siku ya tatu msichana akasafiri kwenda Moshi(kwa maelezo ya msichana)... jamaa akapigiwa simu na msichana kuwa amemiss hivyo anaomba amtumie nauli ya kuja Bongo weekend (akatuma). Weekend jamaa akampigia msichana ajue amefika wapi safarini ili apange time ya kumpokea. msichana akajibu yuko Mombo, baada ya saa moja jamaa akapiga tena akaambiwa asiwe na wasiwasi yuko njiani lakini hajui sehemu walipo, jamaa akashtuka kutokana na kutosikia makelele ya magari, mwendo kasi na vurugu za usafiri msichana akamjibu kuwa basi limepaki limeharibika... jamaa akadadasi sana.. msichana akamwambia hajasafiri kokote kutokana na kuchelewa kuamka. jamaa akawaka sana, yakaisha, siku iliyofuata msichana akaomba vocha(akatuma), siku tatu wakazinguana jamaa anadai nauli yake (msichana akamzingua). Jumapili ya jana akabeepiwa jamaa(akapiga) akaambia aje Sterio baa Kinondoni... msichana akasema amefika Dar kutoka Moshi jumamosi(bila kumpa taarifa jamaa). Jamaa akaenda akafanya uchunguzi wa eneo akaona hola (akapiga simu kwa msichana), akapokea mwanaume.. (jamaa akakata simu) Itaendelea.. never trust a woman
teh teh teh!huyo jamaa ni Rais wa mazoba enhe?