never trust a woman part 2

wewe Kongosho kwenye uzi fulani ulisema wewe ni mbaba, sasa iweje leo unataka kuanzisha kampuni ya kutapeli mab.az.azi. utamtisha kaka yetu Tilly lol
 
Last edited by a moderator:
kongosho huishagi mauzauza,wanaooa regardless jinsia ya mtu ni mamende au ma-lesbo....unataka kutuambia nini hapa Kongosho?

Kula ni kula mbaya kukomba mboga

wewe Kongosho kwenye uzi fulani ulisema wewe ni mbaba, sasa iweje leo unataka kuanzisha kampuni ya kutapeli mab.az.azi. utamtisha kaka yetu Tilly lol

Hujui maana ya kutapeli?? Kutapeli hakujalishi jinsia
 
Mlabondo wanawake ni watu wa ajabu wana mapembe? Mkiendelea na tabia zenu za kukurupuka bado mtalizwa sana
 
Uyo rafiki yako nae hajielewi. Kwani mjini alikuja lini? isije ikawa tunamlaumu bure. Mwambie kwa style hyo bado atalizwa sana. wanawake hawana matatizo na km wanayo bac hayo matatizo mnayataka nyie wenyewe coz sisi kazi ye2 ni kupokea 2(nadhani mnaelewa) kwahyo nyie watoaji ndo mna matatizo coz hamkulazimishwa kutoa POYEEEEEEEEEEEEEEEE.....
 
Okay, suppose umetumwa ufanye research upresent majibu, hivyo ndivyo utafanya?
a) What kind of a woman agrees to your request of life time partnership within 24hours prior to fist meeting?
b) Dumps her present man upon your asking just like that (statistics has it that she'll dump you same way)
c) Sends you all those money requests shortly after relationship takes off?

Nakubali ni kweli mwanamke wa aina hiyo haaminiki...
Now take your mother and compare, does she fit to that profile as well? Your sisters?
Na kama they fit...you are carrying 23chromosomes from your mother, yani nusu ya tabia zako ni za mama yako
It means if your mother is totally untrustworthy you are half untrustworthy
Sasa how does that make you innocent enough to generally accuse others?
:noidea:
 
Hello there
baada ya mkasa wa kwanza na mwendelezo huu ni mkasa mwingine ambao umempata rafiki yangu....alikutana na mrembo (mchanga), kwa siku ya kwanza siku iliyofuata msichana akakubali wakapanga mengi ya maisha, cha kushangaza yule dada akasema ana mtu na kuanzia siku hiyo anaachana naye ili awe na jamaa. wakakubaliana.
siku ya tatu msichana akasafiri kwenda Moshi(kwa maelezo ya msichana)... jamaa akapigiwa simu na msichana kuwa amemiss hivyo anaomba amtumie nauli ya kuja Bongo weekend (akatuma). Weekend jamaa akampigia msichana ajue amefika wapi safarini ili apange time ya kumpokea. msichana akajibu yuko Mombo, baada ya saa moja jamaa akapiga tena akaambiwa asiwe na wasiwasi yuko njiani lakini hajui sehemu walipo, jamaa akashtuka kutokana na kutosikia makelele ya magari, mwendo kasi na vurugu za usafiri msichana akamjibu kuwa basi limepaki limeharibika... jamaa akadadasi sana.. msichana akamwambia hajasafiri kokote kutokana na kuchelewa kuamka. jamaa akawaka sana, yakaisha, siku iliyofuata msichana akaomba vocha(akatuma), siku tatu wakazinguana jamaa anadai nauli yake (msichana akamzingua). Jumapili ya jana akabeepiwa jamaa(akapiga) akaambia aje Sterio baa Kinondoni... msichana akasema amefika Dar kutoka Moshi jumamosi(bila kumpa taarifa jamaa).  Jamaa akaenda akafanya uchunguzi wa eneo akaona hola (akapiga simu kwa msichana), akapokea mwanaume.. (jamaa akakata simu) Itaendelea.. never trust a woman

Jamani..!:A S 13:... Huyo mwanamke unayekutana naye siku ya kwanza katika maisha yako, kisha siku ya pili aingie kichwa kichwa atakuwa ni mjinga kiasi gani? Si inabidi akupime nia yako kwanza? Msiwalaumu bure hawa kina dada. Wengi walioingia kichwa kichwa baada ya "first date" wameishia kupata madhara makubwa kimwili na kisaikolojia.
Na huyo kaka inabidi awe mwangalifu. Atakuja kuvamia mke wa watu, au hata muathirika. Wewe msichana hujui ametoka wapi, na huko alikotoka alikuwa anaishi vipi, ameolewa? au alikuwa changu? anavamia tu..
... Jamani, hebu tujaribu kukua kidogo.!!!.. Come on..!:A S-frusty:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom