Neno lolote toka kwa mpenzio ambalo liliutikisa moyo wako

Baby nina mimba yako daaaah, nilihisigi ubongo umeparalyse kuambiwa hivyo
 
Mim niliambiwa "najua unanipenda lakini sijisikii kukupenda" na sikuwah kumkosea lolote. Iliniuma mbaya... ila nikakubali matokeo. Nikafanikiwa kimaisha.. baada ya muda fulani alirud kuomba msamaha.. nikamtandika BUTI nene... sina hamu na yule kiumbe.
 
baada ya kumueleza ya moyon mtoto akanjibu- sawa but mi na ww hatuendani daah nkaishiwa pozi tukaagana nkasepa..nlikuja kmpataga baadae ila dah ile kauli yake kwakweli iliniondolea confidence kabisa hapo kielimu alikua kanizid kpnd hicho
 
Sijawahi kukuahidi kuwa nitakuoa ....maneno haya aliyasema baada ya Mimi kumkuta na mwanamke mwingine wakati Mimi tayari Nina mtoto wake wa mwezi mmoja...sitayasahau hadi kufa kwangu..[/QUOT
daaaaaaahhh watu tujifunze kauli za kuwajibu watu unaweza mjibu mtu akaanguka
 
Mbona mtu mwenyewe siyo hendisamu?Rafiki wa mpenzi wangu anamuuliza girlfriend wangu alipotutambulisha. Hapo kidume nimejikoki, nimepaki kindinga changu twende beach. Baadae nikaja nikagundua kumbe alikuwa akisumbuliwa na wivu maana aliitafuta namba yangu na kuanza kunitext utumbo na mimi nikampotezea.
 
Yaani kauli kama hii ni mbaya sana ,yawezekana yeye alishaisahau ila Mimi sitaisahau kamwe...
 
".....unajisumbua tu kunifuata kila siku"

hapo nimemfuatilia mwaka mmoja hivi,na kila siku tukitoka shule lazima niende kwao.
ananipa kalenda tu....

siku aliposema kuwa najisumbua nilitaka kunywa sumu.
.......lakini cha ajabu nampenda hadi leo,na nina ndoto ya kumuoa.
Shikamoo mapenzi
 
kweliiiiiiiiiii shikamo mapenziiiiii kitovu cha uzembe
 
mwenzio labda break imeishaaaa hahhahahhaha hapa ndipo nasemaga shikamo mapenzi fyuuuuuu
Break wap wakati alipata bibie Huko yakamshinda eti ananikumbuka amesahau alivokuwa ananijibu jeuri kweli mpaka nakosa usingizi nkiamka asubuh mama ananiambia unaumwa mama nimekesha usingizi sipati nkamwambia imetosha baba songa mbele ulivovianzisha endelea navo chuo kilvofunguliwa nkawa busy tu ilinisaidia
 
".....unajisumbua tu kunifuata kila siku"

hapo nimemfuatilia mwaka mmoja hivi,na kila siku tukitoka shule lazima niende kwao.
ananipa kalenda tu....

siku aliposema kuwa najisumbua nilitaka kunywa sumu.
.......lakini cha ajabu nampenda hadi leo,na nina ndoto ya kumuoa.
Shikamoo mapenzi
don't underestimate the power of love!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom