Nduli Idd Amin Dada or an African Hero.

I have not purported anywhere to be the author and anybody could easily find who the author was. If this has caused an offense I have acknowledged the source.

Hapana, hili si kweli.

Ukiandika kitu bila kutoa source maana yake una jionyesha kwamba wewe ndiye muandishi, sasa unataka kutupa kazi ya ku google kila kinachoandikwa hapa na kwenda Library of Congress kupitia vitabu vyote vilivyoandikwa na kuwekwa pale ili kusudi tujue tu kwamba ulichoandika ni chako au ume copy paste sehemu?

Hivi kwa mfano kama unaandika report kazini au kazi ya academia unaweza kutoa hii defence ya "I have not purported anywhere to be the author"? Unaona hii ni defence kweli? The very fact kwamba umeandika under "WomanofSubstance" na hujatoa credit kwa mtu mwingine inamaanisha unatuambia "WomanofSubstance" ndiye muandishi. Utajifunza vipi wakati hutaki kukubali kwamba umekosea ?

Mara nyingine ukishikwa pabaya uungwana ni kukubali kosa, kuomba radhi na kuendelea huku ukiwa umejifunza somo na ukinuia kutorudia kosa.Wewe inaonekana unataka kuleta ubishi na kukataa kwamba umefanya kosa, na kutoa half hearted and qualified responses.

Si uungwana huu.Unazidi kujizamisha katika tope la mikosa.
 
Hapana, hili si kweli.

Ukiandika kitu bila kutoa source maana yake una jionyesha kwamba wewe ndiye muandishi, sasa unataka kutupa kazi ya ku google kila kinachoandikwa hapa na kwenda Library of Congress kupitia vitabu vyote vilivyoandikwa na kuwekwa pale ili kusudi tujue tu kwamba ulichoandika ni chako au ume copy paste sehemu?

Hivi kwa mfano kama unaandika report kazini au kazi ya academia unaweza kutoa hii defence ya "I have not purported anywhere to be the author"? Unaona hii ni defence kweli? The very fact kwamba umeandika under "WomanofSubstance" na hujatoa credit kwa mtu mwingine inamaanisha unatuambia "WomanofSubstance" ndiye muandishi. Utajifunza vipi wakati hutaki kukubali kwamba umekosea ?

Mara nyingine ukishikwa pabaya uungwana ni kukubali kosa, kuomba radhi na kuendelea huku ukiwa umejifunza somo na ukinuia kutorudia kosa.Wewe inaonekana unataka kuleta ubishi na kukataa kwamba umefanya kosa.

Si uungwana huu.Unazidi kujizamisha katika tope la mikosa.

And it's okay to say 'I'm sorry'....
 
Zawadi Ngoda said:
I’m not a person of many words. Only facts has place in my brain.
Nyerere, Idd Amin, Obote, Binaisa and Rulee are dead, but there is one important person still alive ‘Yoweri Kaguta Museveni’ and he was with them in 1970s. Let’s listen to him; mind you these are his own word in this month.
Think if you are a president to be ousted, what could you do? Please rewrite your story again basing on Museveni’s fact minus Nyerere's propaganda.

"Museveni said he met Binaisa in the 1970s at Kilimanjaro Hotel when allied forces based in Tanzania were plotting to overthrow dictator Idi Amin. Binaisa impressed him as an articulate and humorous person, he noted". By Henry Mukasa.

Zawadi Ngoda,

..I dont think I have to re-write my previous posting.

..I wrote that Tanzania provided military support to Ugandan dissidents in the early 70s.

..after that there was a peace accord btn Uganda and Tanzania which was sponsored by SOMALIA.

..in all my readings i have not seen anything suggesting that Tanzania violated the Mogadishu accord at any time to justify Amin's invasion of her territory in 1978.

..hata kwenye kitabu chake, "Sowing the Mustard Seed", Museveni anaelekeza kwamba Waganda walikuwa wamejikatia tamaa kwamba kuna siku watamuondoa Amini. neema iliwaangukia pale Amini, kwa ujinga wake, alipovamia Tanzania bila sababu za msingi. Museveni na wenzake walifurahi sana waliposikia maneno ya Nyerere "uwezo wa kumpiga[amin] tunao, sababu za kumpiga tunazo,na nia ya kumpiga tunayo..."

..sasa kwanini basi watu wasijadili hicho kipande kilicholetwa badala yake wanamjadili WOS?
 
..sasa kwanini basi watu wasijadili hicho kipande kilicholetwa badala yake wanamjadili WOS?

Mazee,

Hujakatazwa kujadili chochote unachoona cha muhimu, na vile vile huna haki ya kulazimisha watu kujadili chochote unachoona ni muhimu.

Wengine hatuwezi kusoma copy-paste zilizokosa hata white space.
 
Zawadi Ngoda,

..This one is frm Time Magazine, wakielezea kilichosababisha Amini akavamia Tanzania.

Time Magazine said:
EAST AFRICA -- "An Idi-otic invasion"

...Amin's invasion of Tanzania, however, was apparently triggered by internal problems-specifically, a mutiny of his troops. The crack Simba (Lion) Battalion rebelled in protest against the country's sagging economy. In early October, dissident troops ambushed Amin at the presidential lodge in Kampala, but he escaped with his family in a helicopter.

Efforts by loyalist troops to smash the rebellion, which had its strongest support in southern Uganda, spilled over into Tanzania, where anti-Amin exiles joined the fighting. Big Daddy's attempt to disguise the true nature of these clashes, and to divert attention from Uganda's domestic troubles, led to his false charges of a Tanzanian invasion.

Amin apparently decided that since his soldiers were already in Tanzania, they might as well try to claim the triangle of land north of the Kagera River, and thus complicate future attempts by the exiles to slip into Uganda.

Although both countries have more Communist-supplied armaments than they need for legitimate self-defense, there is little chance that the conflict will escalate into a major war. But already there have been hundreds of casualties from the fighting-a terrible price to pay for what amounts to an Idiotic invasion.
 
Anyhow you cut this, Amin is and was never a hero. He was just a mass murderer running amok.
 
Mazee,

Hujakatazwa kujadili chochote unachoona cha muhimu, na vile vile huna haki ya kulazimisha watu kujadili chochote unachoona ni muhimu.

Wengine hatuwezi kusoma copy-paste zilizokosa hata white space.
hahahahahhahahhaaa....

Kiranga please, sometimes angali nani unamchana, jamaa huwa hata hawezi purukushani... haahaahahahah

But speaking of sources and references, JokaKuu mara nyingi is an authority on Vita vya Kagera na historia kibao za kibongo, akikupa kitu huwa ni kitu na boxi, yeye mwenyewe authority!

Kwa heshima ya J'KUU tuyaache ya plagiarism. Sasa ukiliendeleza utakuwa kama X alivyofanywa na Elijah, anashangaa anaambiwa e bana uchune kwa Kennedy, wakati yeye anaona bado kuna noma za ku address
 
Hahhaahhahahahahaaaaaaaaaaaa

What's is it, a literal clinic? Had to take it that slow? Kiranga, imagine that, and we ain't talking bout some join-date-yesterday blowhard blockhead, this is WomanOfSubstance THE, getting colloquial like that!

Kuna wimbo mmoja wa jamaa wa Kenya(Jua kali), unaitwa "ngeli ya genge".
Humo jamaa anaonesha uwezo wake wa kucheza na maneno.
Mimi napenda kuweka hisia zangu wazi kuwa ninyi watu wawili(Taso na Kiranga) kweli mnaweza(siyo tu maneno na facts pia).
I sometimes don get a meaning of what you are saying.
Nomaaa!!!!!!!!!
 
Hahhaahhahahahahaaaaaaaaaaaa

What's is it, a literal clinic? Had to take it that slow? Kiranga, imagine that, and we ain't talking bout some join-date-yesterday blowhard blockhead, this is WomanOfSubstance THE, getting colloquial like that!

Colloquial like that,

But what do you expect from a people whose Nyerere was also colloquial like that ? The Kikwete's ndio kabisaaa, sasa unategemea nini kutoka kwa vi- WomanofSubstance hapa ?

This culture of being colloquial is more than excused, it is almost a national sport.

We need a Cultural Adjutment Programme I tell you.
 
Lete evidence ya watu aliyoua. Kuna watu vilevile wanasema Nyerere aliua watu wengi walikuwa wanampinga. Hizo propaganda za magharibi baada ya kuachana na Israel na kuanza ku-support arabs
Hofstede,
Soma kitabu cha David Martin "Idi Amin.' Ametaja majina ya watu mashuhuri aliowaua Idi Amin. Israel haikuendesha kampeni zozote za propaganda baada ya Idi Amin kuwatimua. Lakini walimpa kipigo cha mwake pale Entebbe, 1975. Unakumbuka? Tusipotoshe historia.
 
sasa unategemea nini kutoka kwa vi- WomanofSubstance hapa ?
nimekwambia usitoe comment zaidi za kumchafua, huyo dada anaheshimika hapa na wananchi.

NINAKUFUNGIA KUTOA MATAMSHI YOYOTE KWA MUDA USIOJULIKANA!

I sometimes don get a meaning of what you are saying.
Nomaaa!!!!!!!!!
mnyiramba anawaambia waswahili "kuna muha anajua sana kifaransa kwa sababu mimi huwa simuelewi"
 
nimekwambia usitoe comment zaidi za kumchafua, huyo dada anaheshimika hapa na wananchi.

NINAKUFUNGIA KUTOA MATAMSHI YOYOTE KWA MUDA USIOJULIKANA!

mnyiramba anawaambia waswahili "kuna muha anajua sana kifaransa kwa sababu mimi huwa simuelewi"

U sick son,
Who died and made you chief up in here ?
 
Back
Top Bottom