Amin alikuwa jangiri tuu,hata waganda wenyewe watakuambia na wala sio propaganda za Nyerere,ukimsikiliza anavyoongea utajua tuu ni mwendawazimu na hajui lolote zaidi ya ubabe tuu,Africa haihitaji viongozi kama Amin na nyerere did the right thing kumnyuka huyu jamaa la sivyo leo humu wote mngekuwa mnaongea kiganda,lakini obote naye alikuwa mshenzi mwingine tuu,nasikia baada ya Amin kulikuwa na coup kama nane mpaka Museveni alivyoingia,Museveni ana ushenzi wake lakini bila yeye Uganda leo ingekuwa kama somalia tuu.