Sikusema sijakuelewa. Nilichosema:Najua umenielewa vizuri ila mbwembwe zako tuuu!!!!!!!!!!!!!!
Mmakonde anawaambia Waswahili kwamba kuna Muha anajua sana Kijerumani kwa vile yeye hamuelewi.
Maana yake ni kwamba kati ya wewe Mmakua au Mchaga na audience ya Waswahili na Wanyasa na huyo subject matter Muha wa Kigoma inawezekana hakuna wa kuhukumu nani anajua Kijerumani maana ni lugha ngeni kwao wote. Inawezekana unaona fulani anajua kumbe ni kwa vile wewe ndio hujui, huelewi.