Ndugai: Mzee Malecela alinitaka nijiuzulu u-Spika haraka; nikajiuzulu

Suzy Elias

JF-Expert Member
Nov 9, 2021
1,067
6,193
".... Mapema January mwaka jana, mzee wangu Malecela alifika nyumbani kule Kongwa usiku nisivyotarajia na isivyo kawaida. Akataka chai ya rangi huku akinieleza ALIKUJA KAMA KAKA NA ANADHANI KESHO NIJIUZULU USPIKA na mimi nilikubali na AKANITAKA NISIKOSE KUJIUZULU HIYO KESHO ASUBUHI na mimi nilikubali sawa na kesho asubuhi nilijiuzulu."

Ndugai akiwa kwenye mazishi ya Lemutuz.
 
".... Mzee Malecela January mwaka jana alifika nyumbani usiku nisivyotarajia na isivyo kawaida. Akataka chai ya rangi huku akitanieleza ALIKUJA KAMA KAKA ANADHANI KESHO NIJIUZULU USPIKA na mimi nilikubali na AKANITAKA NISIKOSE KUJIUZULU HIYO KESHO ASUBUHI na mimi nilikubali sawa na kesho asubuhi nilijiuzulu."

Ndugai akiwa kwenye mazishi ya Lemutuz.
Miezi sita ingemhusu kifua
 
Ujumbe ni kuwa, Mzee Malecella aliamua kunusuru maisha ya Ndugai kwa gharama kubwa sana.

Wazee wa kabila la kigogo nadhani tumeelewana.
 
Ukikonnect dots utagundua kuwa hata kile kitendo cha Kadinali Jento wa FM Academia 'Wajela hela' na yule Askofu kumfuata Membe wakimwombea msamaha Musiba kulikuwa siyo kwa kawaida.

Le Cardinal na Bishops kwanini hamkumwambia Membe yaliyokuwa yanamjia huku mkijua? Kwanini hamkumwambia 'Kuna genge limejipanga kukumaliza usipomsamehe Musiba. Msemehe tu na upotezee'. Viongozi wa dini wanafiki nyie.
 
And then warithi wajidai kuendelea kumdai musiba bil 6🤣🤸💃
 
Kwa hiyo wanamshauri mambo ya rainbow?
.
JamiiForums-2066617636_111746.jpg
 
Kwenye msiba kama huu siyo sahihi kudraw attention ya watu kuelekea kwa mtu binafsi asiye mfiwa au aliyetangulia mbele za haki. Wanasiasa wana tabia hii sana lakini ni jukumu letu wananchi wa kawaida kufocus kwenye mambo ya msingi. Na hapa jambo la msingi ni aliyewahi kuwa makamu wa Rais Mzee Malecela kufarijiwa baada ya kumpoteza mtoto wake.
 
".... Mzee Malecela January mwaka jana alifika nyumbani usiku nisivyotarajia na isivyo kawaida. Akataka chai ya rangi huku akitanieleza ALIKUJA KAMA KAKA ANADHANI KESHO NIJIUZULU USPIKA na mimi nilikubali na AKANITAKA NISIKOSE KUJIUZULU HIYO KESHO ASUBUHI na mimi nilikubali sawa na kesho asubuhi nilijiuzulu."

Ndugai akiwa kwenye mazishi ya Lemutuz.
Jiuzulu....jiuzulu....nikajiuzulu....

Unadhani mzee Malecela aliota ndoto?!!!!
 
".... Mzee Malecela January mwaka jana alifika nyumbani usiku nisivyotarajia na isivyo kawaida. Akataka chai ya rangi huku akitanieleza ALIKUJA KAMA KAKA ANADHANI KESHO NIJIUZULU USPIKA na mimi nilikubali na AKANITAKA NISIKOSE KUJIUZULU HIYO KESHO ASUBUHI na mimi nilikubali sawa na kesho asubuhi nilijiuzulu."

Ndugai akiwa kwenye mazishi ya Lemutuz.

Hiyo hadithi yake inatufundisha nini?
 
".... Mzee Malecela January mwaka jana alifika nyumbani usiku nisivyotarajia na isivyo kawaida. Akataka chai ya rangi huku akitanieleza ALIKUJA KAMA KAKA ANADHANI KESHO NIJIUZULU USPIKA na mimi nilikubali na AKANITAKA NISIKOSE KUJIUZULU HIYO KESHO ASUBUHI na mimi nilikubali sawa na kesho asubuhi nilijiuzulu."

Ndugai akiwa kwenye mazishi ya Lemutuz.
Aisee
 
Back
Top Bottom