Ndoa ya CCM na CUF ilifanyika lini?

mkuu tatizo la upinzani kushindwa haliletwo na slaa pekee... in actual facts, linaletwa na existing system ambayo role inayokuwa played na upinzani ni ndogo mno... kwahiyo kusema ni slaa its a mistake, ni kama kutafuta mchawi tu!!!

one needs to ask, hivi kweli mtu unagombea mpaka watu wanaacha hata kuuliza utatufanyia nini, lakini hukati tamaa?? chadema left z'bar for cuf, but there is not mutual feeling for them in the mainland where prof is getting weaker and weaker

that being said, i still believe hata waungane, with the current set up, ushindi ni ndoto

wajifunze kenya jinsi taifa lilivyopata moto wa maendeleo bada ya kupitisha katiba mpya

hata wachina wa kenya wanamaliza kazi kabla ya muda

Mkuu nakubaliana na wewe kabisa lakini upinzani wange fanya moja, la kupambana kuingiza wabunge wengi kilia wakati wa chaguzi ili kujiengezea nguvu kadri siku zinavyokwenda kwa sababu kuiondoa CCM madarakani siyo kazi ya chaguzi moja, ni mfululilizo wa chaguzi nyingi amabazo upinzani unatakiwa kujiaanda kupata wabunge wengi......
 
Katibu wa CUF keshajiunga na ccm chini ya maelekezo ya makamu mwenyekiti wa ccm. Hivyo kinachosubiriwa ni mwenyekiti wa CUF kumfuata katibu wake. Kwani kikao cha siri cha wenyeviti wa ccm na cuf viliisharipotiwa.
Yaani mleta mada anadhani kura laki sita atakazopata Lipumba ndio zingemwingiza ikulu? Acheni utani hebu sote kwa pamoja tuungane kumleta rais mpya ikulu 2010 Dr Slaa!!
 
Hahahahha baeleze baambie hii mitu ya Madrasa sul
 
Unajua, ukitaka kumwua nyoka unampiga kichwani. CCM itasambararika wakishapoteza nguvu ya dola na nguvu ya dola itapotea pale Kikwete
atakaposhindwa katika uchaguzi. Dr Slaa ndiye tumaini pekee la Tanzania tunayoitaka.
 
Mkuu nakubaliana na wewe kabisa lakini upinzani wange fanya moja, la kupambana kuingiza wabunge wengi kilia wakati wa chaguzi ili kujiengezea nguvu kadri siku zinavyokwenda kwa sababu kuiondoa CCM madarakani siyo kazi ya chaguzi moja, ni mfululilizo wa chaguzi nyingi amabazo upinzani unatakiwa kujiaanda kupata wabunge wengi......
Wapenzi wa CCM safari hii hadi mnatia huruma tofauti na mwaka 2005, mngekuwa mnajiamini msingekuwa mnakesha kwenye mitandao kama hivi wakati huu mngekuwa mmelala.
 
Masikini Mwiba kati ya watu walioumia na ujio wa Slaa ni yeye angalia thread zake anazoanzisha halafu zinakuwa zote za uongo
quote_icon.png
Originally Posted by Mwiba Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, anayewania ubunge katika Jimbo la Hai, amewekewa pingamizi kwa madai ya kukwepa kulipa kodi ya serikali inayofikia Sh. milioni 48.
 
Ile methali ya kupasuka msamba inaanzaje? Manake naona kuna mtu atapasuka msamba hivi karibuni!
 
quote_icon.png
Originally Posted by Mwiba
icon1.gif
CUF yatangaza Wanaume wa Vita - INATISHA

Kilimanjaro

Awadh Mwarabu (Same Magharibi)

Dar es Salaam,

Hussein Siyovelwa (Ilala); Kimangale Mussa (Segerea); Heko Pori (Ukonga); Shaban Mapeyo (Kawe); Shabaan Nassor (Kinondoni) na Mustafa Mungwe (Kigamboni).

Threat started by Mwiba wote ni maimam wa misikiti Awadh fulani.....Shehe ......bila title hizo hugombei kaaazi kweli kweli.

Back
Top Bottom