Ndoa ya CCM na CUF ilifanyika lini?

Kuna habari ambazo nina wasiwasi nazo ,habari zenyewe ni kuwa Chadema imetumika katika kuiletea ushundi CCM na ni pale Slaa alipopiga U-TURN na kujiingiza katika kinyang'anyiro cha Uraisi ,ikumbukwe kuwa wengi wa wagombea wa vyama vya upinzani walikuwa wameshaamua kutogombea nafasi hiyo ,na wote kuelekeza nguvu zao katika kugombea ubunge.

Hapa tayari Watanzania walikuwa wameshalenga shabaha ya kuiangusha CCM kwa kupeleka nguvu zao kwa Mgombea mmoja tu wa CUF ,Lipumba ,mgombea ambae angeweza kabisa kuilaza CCM kutokana na kura zitakazo miminika kutoka vyama pinzani.

Ingawa wengi hawafahamu kilichomsukuma Slaa kugombea nafasi hiyo ,wenyewe ndani ya Chadema wanadai au yeye mwenyewe Slaa anadai kuwa wamempendekeza, ingawa yeye mwenyewe alikuwa hataki kuingia katika ugombea huo,hizi ni mbinu za kuwateka waTanzania na kuwalaghai kuwa ni mapendekezo ya Chama. Hapa mkae mkielewa kuwa pamechezwa mchezo mkubwa sana na kuwafanya hata wale waliokuwa na msimamo mkali wabaki wakiamini kuwa Chama ndio kimependekeza ,nawaomba mjaribu kuchunguza kwa kina kabisa mtauona ukweli kuwa hapa CCM wametumia karata yao ya kuwa na chama risavu ambacho ni Chadema,huwezi kuamini kirahisi lakini siasa ndivyo zilivyo wanaofahamu ni wachache sana.

Wengi tulishangaa sana na kutaka kujua kilichomsukuma Slaa na sasa imeeleweka kuwa CCM wamemtumia na wameshafanikiwa katika kuwagawa WaTz kwa mara ingine,you must think hard to get the inner core of the Slaa turning factors.

:A S-danger:

Sihitaji kuwa na degree kujua wewe ni mkereketwa wa chama gani.
hapo kwenye nyekundu panajieleza.
 
Tungoje wote wakianza kampeni, ndipo tutajua. Lakini ieleweke kuwa watanzania hasa huku porini/kijijini kwetu wamechoka sana. Nashindwa kuelewa wanatoa wapi nguvu hizi za kuhudhuria minkutano.
 
Kuna habari ambazo nina wasiwasi nazo ,habari zenyewe ni kuwa Chadema imetumika katika kuiletea ushundi CCM na ni pale Slaa alipopiga U-TURN na kujiingiza katika kinyang'anyiro cha Uraisi ,ikumbukwe kuwa wengi wa wagombea wa vyama vya upinzani walikuwa wameshaamua kutogombea nafasi hiyo ,na wote kuelekeza nguvu zao katika kugombea ubunge.

Hapa tayari Watanzania walikuwa wameshalenga shabaha ya kuiangusha CCM kwa kupeleka nguvu zao kwa Mgombea mmoja tu wa CUF ,Lipumba ,mgombea ambae angeweza kabisa kuilaza CCM kutokana na kura zitakazo miminika kutoka vyama pinzani.

Ingawa wengi hawafahamu kilichomsukuma Slaa kugombea nafasi hiyo ,wenyewe ndani ya Chadema wanadai au yeye mwenyewe Slaa anadai kuwa wamempendekeza, ingawa yeye mwenyewe alikuwa hataki kuingia katika ugombea huo,hizi ni mbinu za kuwateka waTanzania na kuwalaghai kuwa ni mapendekezo ya Chama. Hapa mkae mkielewa kuwa pamechezwa mchezo mkubwa sana na kuwafanya hata wale waliokuwa na msimamo mkali wabaki wakiamini kuwa Chama ndio kimependekeza ,nawaomba mjaribu kuchunguza kwa kina kabisa mtauona ukweli kuwa hapa CCM wametumia karata yao ya kuwa na chama risavu ambacho ni Chadema,huwezi kuamini kirahisi lakini siasa ndivyo zilivyo wanaofahamu ni wachache sana.

Wengi tulishangaa sana na kutaka kujua kilichomsukuma Slaa na sasa imeeleweka kuwa CCM wamemtumia na wameshafanikiwa katika kuwagawa WaTz kwa mara ingine,you must think hard to get the inner core of the Slaa turning factors.

:A S-danger:
Hii ni habari njema kwa CCM pale vyama vya upinzani vinapogawanyika na kukosa umoja na mshikamano.Huu ni ushindi wa mapema kwa CCM. Baada ya uchaguzi watasema CCM imeiba kura kumbe wao wenyewe ndio chanzo cha kushindwa.
 
Kuna habari ambazo nina wasiwasi nazo ,habari zenyewe ni kuwa Chadema imetumika katika kuiletea ushundi CCM na ni pale Slaa alipopiga U-TURN na kujiingiza katika kinyang'anyiro cha Uraisi ,ikumbukwe kuwa wengi wa wagombea wa vyama vya upinzani walikuwa wameshaamua kutogombea nafasi hiyo ,na wote kuelekeza nguvu zao katika kugombea ubunge.

Hapa tayari Watanzania walikuwa wameshalenga shabaha ya kuiangusha CCM kwa kupeleka nguvu zao kwa Mgombea mmoja tu wa CUF ,Lipumba ,mgombea ambae angeweza kabisa kuilaza CCM kutokana na kura zitakazo miminika kutoka vyama pinzani.

Ingawa wengi hawafahamu kilichomsukuma Slaa kugombea nafasi hiyo ,wenyewe ndani ya Chadema wanadai au yeye mwenyewe Slaa anadai kuwa wamempendekeza, ingawa yeye mwenyewe alikuwa hataki kuingia katika ugombea huo,hizi ni mbinu za kuwateka waTanzania na kuwalaghai kuwa ni mapendekezo ya Chama. Hapa mkae mkielewa kuwa pamechezwa mchezo mkubwa sana na kuwafanya hata wale waliokuwa na msimamo mkali wabaki wakiamini kuwa Chama ndio kimependekeza ,nawaomba mjaribu kuchunguza kwa kina kabisa mtauona ukweli kuwa hapa CCM wametumia karata yao ya kuwa na chama risavu ambacho ni Chadema,huwezi kuamini kirahisi lakini siasa ndivyo zilivyo wanaofahamu ni wachache sana.

Wengi tulishangaa sana na kutaka kujua kilichomsukuma Slaa na sasa imeeleweka kuwa CCM wamemtumia na wameshafanikiwa katika kuwagawa WaTz kwa mara ingine,you must think hard to get the inner core of the Slaa turning factors.

:A S-danger:
Nadhani umeyasema hayo kwa sababu zako mwenyewe. Usitudanganye tukuamini ili malengo yako yatimie. Unataka kutuambia kuwa wakati anapiga kelele juu ya ufisadi pale bungeni ilikuwa CCM wanacheza karata?
 
mkuu tatizo la upinzani kushindwa haliletwo na slaa pekee... in actual facts, linaletwa na existing system ambayo role inayokuwa played na upinzani ni ndogo mno... kwahiyo kusema ni slaa its a mistake, ni kama kutafuta mchawi tu!!!

one needs to ask, hivi kweli mtu unagombea mpaka watu wanaacha hata kuuliza utatufanyia nini, lakini hukati tamaa?? chadema left z'bar for cuf, but there is not mutual feeling for them in the mainland where prof is getting weaker and weaker

that being said, i still believe hata waungane, with the current set up, ushindi ni ndoto

wajifunze kenya jinsi taifa lilivyopata moto wa maendeleo bada ya kupitisha katiba mpya

hata wachina wa kenya wanamaliza kazi kabla ya muda

yes ACID, nimependezwa na hoja yako kwamba kila chama cha upinzani kikipigana peke yake hata huyo Dr Slaa anapoteza muda wake
 
Habari za kutunga mwenyewe kwa nini uwe na wasiwasi nazo au wasiwasi kuwa zitagundulika kuwa ni za uongo. Kama ulivyoseama wengi mlishangaa kwa ujio wa Dr. Slaa na bado mtazidi kushangaa atakapoanza kampeni stay tuned.

hakuna wa kushangaa zaidi ya kungoja kuangukia pua kwa Dr Slaa labda ndio hofu ya wafuasi wake
 
Aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Kikwete.jpg
 
Mkuu nakubaliana na wewe kabisa lakini upinzani wange fanya moja, la kupambana kuingiza wabunge wengi kilia wakati wa chaguzi ili kujiengezea nguvu kadri siku zinavyokwenda kwa sababu kuiondoa CCM madarakani siyo kazi ya chaguzi moja, ni mfululilizo wa chaguzi nyingi amabazo upinzani unatakiwa kujiaanda kupata wabunge wengi......

Ukiwasoma Wapinzani hawana haja na ubunge, inaonekana wao wana haja na Urais lakini jambo hili litawagharimu. Kila uchaguzi wanashindwa na kudai CCM wamehujumu kumbe wao hawakujiandaa vya kutosha.
 
Hizo ni porojo za wana-CCM baada ya kuzidiwa. Bado Slaa hajaanza kurusha makombora tayari mmechanganyikiwa. Halafu nani alikwambia LIPUMBA anaweza kuzoa kura? Kwani hujui kwamba mara zote tatu alizojaribu alibwagwa vibaya sana. Mtake msitake Slaa atawapa wakati mgumu sana kwenye uchaguzi huu. Take my word.
 
Propaganda ni za nini? Tatizo vibaraka kupitia vyama vya upinzani hawataki Muungano. Kila mtu anajikomba, kuanzia mzee wa Kiraracha ambaye sura yake imeshaliwa na asidi za UWT, Lipumba ndiyo usisema, anang'ang'ania tu wakati hana mvuto na tena safari hii kura ni kiduchu sana kwake! UDP kwa mzee wa mapesa ndiyo usiseme, yaani nafiki la kufa mtu. Kwa matazamo wangu ni Dr. Slaa peke yake ambaye hata tu ukimwangalia anaongea ni ana uchungu na hii nchi na amedhamiria. Nina imani kubwa sana naye, kuwa maendeleo aliyoyaleta Karatu atayaleta sasa kwa watanzania wote. Nawaambieni kwa kipindi cha ubunge Karatu Dr. Slaa alishirikiana na wananchi na wafadhili akapabadilisha kabisa. Hata sehemu maji hayapandi mlima, yeye aliyapandisha!

Ninajua kuwa mahasimu watajitokeza hapa wataandika kila wanachotumwa kusema, maana mabwana zao waliowatuma ni lazima wawalipa kwa ujira wa kazi waliofanya hapa!! Watanzania wanaamka kadri siku zinaposonga, hata kama SSM haiwezi kudondoshwa kwa sasa lakini tunaanza kujenga changamoto taratibu kupitia idadi ya wabunge wengi committed toka Chadema na baada ya muda wananchi wataona mchango wao bungeni na ushindi utapatikana kwa Raisi na wabunge Chandema. Kina Antibayotiki, Jeykey, dubo, et al, karibuni sana kutekeleza changamoto cha upinzani. I love it!!
 
mkuu tatizo la upinzani kushindwa haliletwo na slaa pekee... in actual facts, linaletwa na existing system ambayo role inayokuwa played na upinzani ni ndogo mno... kwahiyo kusema ni slaa its a mistake, ni kama kutafuta mchawi tu!!!

one needs to ask, hivi kweli mtu unagombea mpaka watu wanaacha hata kuuliza utatufanyia nini, lakini hukati tamaa?? chadema left z'bar for cuf, but there is not mutual feeling for them in the mainland where prof is getting weaker and weaker

that being said, i still believe hata waungane, with the current set up, ushindi ni ndoto

wajifunze kenya jinsi taifa lilivyopata moto wa maendeleo bada ya kupitisha katiba mpya

hata wachina wa kenya wanamaliza kazi kabla ya muda

Nimekupata ACID, ushindi ni wa CCM
 
Back
Top Bottom