Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,493
Hivi huyu
Anatokea nchi gani! Maana duuuAwadh Mwarabu (Same Magharibi)
Anatokea nchi gani! Maana duuuAwadh Mwarabu (Same Magharibi)
Subirini mtakapo lia na kusaga meno, ndio mtajuwa kuwa maharage kuwa ni mboga.Watu kwa kujipa mahope hamjambo haya subirini mkono udondoke
Aiseeeee.......... halafu fikiria ana kanzu bila bukta ndani msikitini
Subirini mtakapo lia na kusaga meno, ndio mtajuwa kuwa maharage kuwa ni mboga.
Na wewe unaita hii thread, thread isiyo na miguu wala kichwa, huyu tunamjua ni mzee wa kutunga mashairi sasa dawa yake ni kumwimbia ngonjera. Sema tu siku hizi tumezuiwa kupakua tungemletea mzee wa meza adakue.Msianze kupindisha thread...!
Haya ndiyo mavazi rasmi ya chama, mimi nataka kujiunga CUF lakini sijawahi kuvaa kanzu sijui nitafanyaje keykey yuko wapi anishauri ila jambia nimeshanunua tayari.
Napenda hii harusi
Wanao penda kulia na kudeka ni hao wakatoliki...!Wanaolia lia ni wale ambao kila siku wanakesha na kulia lia kuwa wameonewa na wakatoliki (kasome ile mada ya mohamed said)
Wanao penda kulia na kudeka ni hao wakatoliki...!
Hivi wewe hujaenda kwenye kampeni kumdaka mzee maana sarakasi zake hazitabiriki at any time t utashangaa miguu juu.Subirini mtakapo lia na kusaga meno, ndio mtajuwa kuwa maharage kuwa ni mboga.
Kuna habari ambazo nina wasiwasi nazo ,habari zenyewe ni kuwa Chadema imetumika katika kuiletea ushundi CCM na ni pale Slaa alipopiga U-TURN na kujiingiza katika kinyang'anyiro cha Uraisi ,ikumbukwe kuwa wengi wa wagombea wa vyama vya upinzani walikuwa wameshaamua kutogombea nafasi hiyo ,na wote kuelekeza nguvu zao katika kugombea ubunge.
:A S-danger:
Ungejuwa kuwa sina mpango na siasa usingesema hayo!Hivi wewe hujaenda kwenye kampeni kumdaka mzee maana sarakasi zake hazitabiriki at any time t utashangaa miguu juu.
Naona Malaria Sugu kapata dawa.Dkt Slaa arudi kuwa kasisi tu
mbona ulikuwa huonekani na ID yako inaonyesha ni ya zamani?Ungejuwa kuwa sina mpango na siasa usingesema hayo!
Hiyo tu haitoshi kwa maana hata anayojibu wala hayaendani na post husika... :confused2:kwani wewe umeshaleta mada yeyote toka ujiunge au kazi yako ni kupet pet yaliyoandikwa na wengine.
Kuna habari ambazo nina wasiwasi nazo ,habari zenyewe ni kuwa Chadema imetumika katika kuiletea ushundi CCM na ni pale Slaa alipopiga U-TURN na kujiingiza katika kinyang'anyiro cha Uraisi ,ikumbukwe kuwa wengi wa wagombea wa vyama vya upinzani walikuwa wameshaamua kutogombea nafasi hiyo ,na wote kuelekeza nguvu zao katika kugombea ubunge.
Hapa tayari Watanzania walikuwa wameshalenga shabaha ya kuiangusha CCM kwa kupeleka nguvu zao kwa Mgombea mmoja tu wa CUF ,Lipumba ,mgombea ambae angeweza kabisa kuilaza CCM kutokana na kura zitakazo miminika kutoka vyama pinzani.
Ingawa wengi hawafahamu kilichomsukuma Slaa kugombea nafasi hiyo ,wenyewe ndani ya Chadema wanadai au yeye mwenyewe Slaa anadai kuwa wamempendekeza, ingawa yeye mwenyewe alikuwa hataki kuingia katika ugombea huo,hizi ni mbinu za kuwateka waTanzania na kuwalaghai kuwa ni mapendekezo ya Chama. Hapa mkae mkielewa kuwa pamechezwa mchezo mkubwa sana na kuwafanya hata wale waliokuwa na msimamo mkali wabaki wakiamini kuwa Chama ndio kimependekeza ,nawaomba mjaribu kuchunguza kwa kina kabisa mtauona ukweli kuwa hapa CCM wametumia karata yao ya kuwa na chama risavu ambacho ni Chadema,huwezi kuamini kirahisi lakini siasa ndivyo zilivyo wanaofahamu ni wachache sana.
Wengi tulishangaa sana na kutaka kujua kilichomsukuma Slaa na sasa imeeleweka kuwa CCM wamemtumia na wameshafanikiwa katika kuwagawa WaTz kwa mara ingine,you must think hard to get the inner core of the Slaa turning factors.
:A S-danger:
Mkuu nakubaliana na wewe kabisa lakini upinzani wange fanya moja, la kupambana kuingiza wabunge wengi kilia wakati wa chaguzi ili kujiengezea nguvu kadri siku zinavyokwenda kwa sababu kuiondoa CCM madarakani siyo kazi ya chaguzi moja, ni mfululilizo wa chaguzi nyingi amabazo upinzani unatakiwa kujiaanda kupata wabunge wengi......
M
Mbona unakuwa mkali, jibu hoja kwa hoja Pastor, unapoteza uelekeo au ndiyo dalili ya kulemewa
Lisemwalo lipo...!
Ama kweli hao ndio wana mageuzi. Kutwa kutafuta visingizi.Leo hili kesho hili.Hawaoni hiyo ni dalili ya kukata tamaa.Kwamba wamekwisha kubali kushindwa.Ni nafuu mmalizie kwa kusema, sizitaki mbichi hizimkuu tatizo la upinzani kushindwa haliletwo na slaa pekee... in actual facts, linaletwa na existing system ambayo role inayokuwa played na upinzani ni ndogo mno... kwahiyo kusema ni slaa its a mistake, ni kama kutafuta mchawi tu!!!
one needs to ask, hivi kweli mtu unagombea mpaka watu wanaacha hata kuuliza utatufanyia nini, lakini hukati tamaa?? chadema left z'bar for cuf, but there is not mutual feeling for them in the mainland where prof is getting weaker and weaker
that being said, i still believe hata waungane, with the current set up, ushindi ni ndoto
twa
wajifunze kenya jinsi taifa lilivyopata moto wa maendeleo bada ya kupitisha katiba mpyaki m
hata wachina wa kenya wanamaliza kazi kabla ya muda