Steve Dii
JF-Expert Member
- Jun 25, 2007
- 6,402
- 1,256
Ki-activate kidevu kwa kunyoa-nyoa kila mara, kama mara mbili kwa wiki hivi kwa kutumia machine au wembe. Hakikisha unatumia aftershave, lasivyo zitakapofurumuka uwezekano wa kupata vipele utakuwa mkubwa. Pre-shave au aftershave cream/splash zinapunguza vipele kutokea, although mara nyingi nijuavyo vinatokea kutokana na nature ya mtu na namna anavyo nyoa.