Ndevu kwa Wanaume: Kuota (nyingi) au kutokuota, nini tatizo? Nini kifanyike?

Ki-activate kidevu kwa kunyoa-nyoa kila mara, kama mara mbili kwa wiki hivi kwa kutumia machine au wembe. Hakikisha unatumia aftershave, lasivyo zitakapofurumuka uwezekano wa kupata vipele utakuwa mkubwa. Pre-shave au aftershave cream/splash zinapunguza vipele kutokea, although mara nyingi nijuavyo vinatokea kutokana na nature ya mtu na namna anavyo nyoa.

Ndugu zanguni nakuja mbele yenu naomba kwenye kujua kama kuna dawa inayowezesha mtu kuota ndevu, kwani nina miaka 23 lakini sina dalili ya kuota ndevu ilhali najisikia fahari kuwa nazo Naombeni msaada wenu.

mkuu, diet yenyewe bamia na ugali kwa jirani halaf unazani utaota ndevu?, hata ndevu ujue zina ubaguzi aisee zinachagua mwili gani wa kuota. Shukuru Mungu umeota at least hayo meno.

Nimemaliza.

Bamia ndio nn ww? Mimi mtt wa gamba full diet.

mpendwa, mungu amekujaalia/atakujaalia unachohotaji kwa wakati wake. leo unapenda ndevu kwa kuwa huna, wenzio wanazo nyingi na hata wengine zimegeuka kero. baadhi ya wenye nazo wanasema zinawawasha, wengine zinawaharibu ngozi kwa kuotesha vipele wanapozinyoa, vijana wanasema zinawafanya kuonekana wazee nk.

lakini kwa wote hao na kwako mwenyewe, wote nawaambieni kuwa Mungu hakosolewi. jinsi ulivyo leo na utakvyokuwa baadaye, ndivyo ilivyompendeza Mungu mwenyewe na Yeye ameona kuwa ni vyema, kwa hiyo usiache kumshukuru kwa kukumba na kukjalia hivyo ulivyo! ila kama unapenda vinginevyo, basi mwambie Yesu, peleke maombi yako kwake Muumba wako, na kama ni mapenzi yake basi atakupa hitaji la moyo wako.

ubarikiwe sana mpendwa.

hebu tafakari sehemu ya wimbo huo hapo chini

mwambie Yesu, ooh mwambie,
ooh, mwambie Yesu
mwambie Yesu, ooh mwambie,
magonjwa yako na taabu zako,
ooh, zote mwambie Yesu,
elimu yako na pesa zako,
ooh, zote siyo jawabu,

Yesu ameinuliwa,msalabani,
kila amtazamaye, anaokoka,
wokovu umetolewa, kwa watu wote,
kila anayeamini anaoka,
uzima umetolewa, kwa wagonjwa,
kila anayeamini anaponywa,
na Roho Mtakatifu kwa watu wotw,
kila anayeamini anapokea!

shukrani za pekee: kinondoni revival choir
wimbo: usijiue
album: wrong number shetani!

asanteni na mbarikiwe sana wapendwa!

mkuu, diet yenyewe bamia na ugali kwa jirani halaf unazani utaota ndevu?, hata ndevu ujue zina ubaguzi aisee zinachagua mwili gani wa kuota. Shukuru Mungu umeota at least hayo meno.

Nimemaliza.

klorokwini inapotibu degedege (joke)! hahah. very ineresting!!

mkuu, asante sana kwa ucheshi wako hapa jamvini, nimecheka sana hapo ulipomwambia Degedege ashukuru kwa kuota angalu meno, lol!!

pamoja na kufurahisha, kauli yako ni nzito sana na namsihi mpendwa degedege aizingatie, kuwa badala ya kulalalmika Munu kaninyima hili na lile, ajitahidi kushukuru kwa hayo aliyopewa, bure kabisa bila gharama. anaweza kudhani ilikuwa "haki" yake kupewa meno, ajiulize wangapi hawana hayo meno, wengine hawajawahi hata kutembea nk nk, wenye imani wana mengi sana ya kumshukuru Mungu kuliko ya kumlaumu!

uwe na jumapili njema mpendwa,
jina la Bwana lihimidiwe!

Miss judith mbna unaniangusha yani kwakuwa nimepewa meno, miguu na n.k ndio nisihoji ndevu mmi! Hii ni sawa na Tanzania iliyona'amani lkn wananchi wake wasihoji juu ya umaskini je, ni sawa?

Nimependa maelezo yako da Jud

Jamani mimi nazihtaji hzo ndevu kama kuna mtu anajua dawa ya ku'boost kdevu ndevu siote naombeni msaada

ondoa ngozi yako ya kidevu au kwengineko kwa kutumia maji makali yamoto --- hazitaota mpaka unakufa teh teh teh!!!

Similar Discussions

Back
Top Bottom