Ndege yetu mpya, nani aliyemchora yule twiga?

nina hakika darasani ulikuwa unapata sifuri kabisa na ata kukopi ubaoni ulikuwa unashindwa au wewe ni kipofu?
hivi kama una akili timamu na macho yenye afya kweli ulitegemea twiga kwenye hizo ndege mbili tofauti wafanane hata kwa kuangalia kwa macho tuu uoni utofauti mkubwa kwenye ukubwa wa mabawa ya hizo ndege mbili unazo linganisha?
Hivi wewe mnywa viroba unafikiri picha iliyochorwa kwenye TSH 200 ina ukubwa sawa na picha iliyochorwa kwenye TSH 1000.
Wewe kama si mlevi basi ni mwehu.
Mtani mbona umekuwa mkali hivyo!
 
Wewe uliekuwa unapata marks nyingi kipindi unasoma umelisaidia nini taifa hili na likajivunia uwepo wako au ndo pangu pakavu teremka tukaze
 
WE MJIBU SIYO UNAKUJA NA KULIALIA N'A KUTOKWA NA KAMASI HUMU

OVA
nina hakika darasani ulikuwa unapata sifuri kabisa na ata kukopi ubaoni ulikuwa unashindwa au wewe ni kipofu?
hivi kama una akili timamu na macho yenye afya kweli ulitegemea twiga kwenye hizo ndege mbili tofauti wafanane hata kwa kuangalia kwa macho tuu uoni utofauti mkubwa kwenye ukubwa wa mabawa ya hizo ndege mbili unazo linganisha?
Hivi wewe mnywa viroba unafikiri picha iliyochorwa kwenye TSH 200 ina ukubwa sawa na picha iliyochorwa kwenye TSH 1000.
Wewe kama si mlevi basi ni mwehu.
 
Nikiangalia picha ya juu na ya chini, tumerudi nyuma hatua 1,000
Sana mkuu. Na inawezekana ndio tafsiri sahihi maana inasemekana aliedizaini hiyo logo ni Mkenya na hata ukiiangalia sana inalandana na ya KQ.
tmp_5583-Air_Tanzania_Logo_2008-817316432.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom