Ndege yetu mpya, nani aliyemchora yule twiga?

Hata mm nashangaa sijui ss ndiyo tunajua kingreza et tunaandika Air Tanzania badala ya Tanzania Air, maana nimeona nchi nyingi zimeanza na jina la Nchi siyo Air.
Wewe unakariri, na kufuata nani kaandika nini?!
 
Nyuma ya twiga kuna ishara ya jua linachomoza,inahitaji jicho la tatu kuelewa.Nahisi kunawatu wameingia ubia hizi nyongeza za nembo sio bure.
 
ZS-KEM_2016.jpg


HATERS GONNA HATE
 
you guys don't get it, do you? Huyo twiga amechorwa akiwa anakimbia. I mean yuko mwendokasi
 
nina hakika darasani ulikuwa unapata sifuri kabisa na ata kukopi ubaoni ulikuwa unashindwa au wewe ni kipofu?
hivi kama una akili timamu na macho yenye afya kweli ulitegemea twiga kwenye hizo ndege mbili tofauti wafanane hata kwa kuangalia kwa macho tuu uoni utofauti mkubwa kwenye ukubwa wa mabawa ya hizo ndege mbili unazo linganisha?
Hivi wewe mnywa viroba unafikiri picha iliyochorwa kwenye TSH 200 ina ukubwa sawa na picha iliyochorwa kwenye TSH 1000.
Wewe kama si mlevi basi ni mwehu.
labda hawa twiga jinsia tofauti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom