Ndege yetu mpya, nani aliyemchora yule twiga?

Agustino Regnald

JF-Expert Member
Aug 15, 2016
501
428
Mimi swali langu moja tu; hivi huyu aliye mchora huyu twiga ni nani jamani? Kama kabemendwa, mungu anamuona haya tu.

Mchoraji wa zile za zamani alikua anajua kuliko wa sasa.

Mchoraji sio fair, sema poa tu na sipandi

Screen Shot 2016-09-27 at 22.26.16.png

14433024_654570548030309_5529311005230874522_n.jpg

1474540496025.jpg
 
mimi swali langu moja tu hivi huyu aliye mchora huyu twiga ni nani jamani kama kabemendwa mungu ana muona haya tu

mchoraji wa zile za zamani alikua anajua kuliko wa sasa..?


mchoraji sio fair sema poa tu na sipandiiiiiiii
View attachment 406534
View attachment 406535
Twiga lazima wawe tofauti kwani hata ndege zenyewe ni tofauti. twiga mwenye afya yupo kwenye ndege iliyoshiba.
 
mimi swali langu moja tu hivi huyu aliye mchora huyu twiga ni nani jamani kama kabemendwa mungu ana muona haya tu

mchoraji wa zile za zamani alikua anajua kuliko wa sasa..?


mchoraji sio fair sema poa tu na sipandiiiiiiii
View attachment 406534
View attachment 406535
nina hakika darasani ulikuwa unapata sifuri kabisa na ata kukopi ubaoni ulikuwa unashindwa au wewe ni kipofu?
hivi kama una akili timamu na macho yenye afya kweli ulitegemea twiga kwenye hizo ndege mbili tofauti wafanane hata kwa kuangalia kwa macho tuu uoni utofauti mkubwa kwenye ukubwa wa mabawa ya hizo ndege mbili unazo linganisha?
Hivi wewe mnywa viroba unafikiri picha iliyochorwa kwenye TSH 200 ina ukubwa sawa na picha iliyochorwa kwenye TSH 1000.
Wewe kama si mlevi basi ni mwehu.
 
Hiyo picha ni yawenzetu wahabeshi mliyoikodi baadae wakaichukua wenyewe baada kushindwa kuwalipa chao ni ndege kubwa aina ya boeing 767.lakini japo tulichelewa tutanunua kama 3 au 4 kwa mda mfupi kama miaka 25 hadi 30.
 

Similar Discussions

15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom