Ndege ya Lowassa inayopaa, na abiria walioachwa wameduwaa!

Lowassa has good personality & look very smart lakini not sure kama anajua anachofanya.
 
Koba don't let the looks fool you! Sometimes what you see is not what you get.. that is why they call it "illusion"!
 
Kuna vitu vingi vinaweza kumfanya asijue anacho fanya, labda njaa, tamaa au elimu dunia au elimu ya shule ya Usanii, maana nasikia ana Bachelor of Arts(Usani) ya UDSM au Mambo ya kiswahili (Inawezekana kalogwa sisi tuna mlaumu bure badala ya Kumsaidia kumbeleka Muhimbili ya mjini au ya Shamba).
Sasa inabidi tufanye research
 
Maana kusema kwamba tupo right on time and on track, na abiria hajapanda ndege wewe umeisha iondoa chini, sasa sijui wataidandia hiyo ndege (hao abiria)
 
Du Miwani haidondoki mwanangu, sijui ameifunga kwa kamba au Makamba kaishikilia kwa nyuma, maana nina uhakika Makamba hakosi kuwemo kwenye hiyo ndege japo hatumuoni.
 
Mh kamkasirikia mwanakijiji kama mafarisayo yalivyomkasirikia yesu kwenye masinabogi ,kweli ukweli unauma ,Mwanakijiji 3 mheshimiwa wetu o.
 
Mheshimiwa wetu kamkasikia mwenye kijiji kama mafarisayo walivyomkasirikia yesu kwenye masinabogi,ama kweli ukweli unauma,Mh wetu 0 mwanakijiji 3,huree mwanakijiji.
 
pale inaonyesha ndani ya ndege kuna chakula maana anapenda kula kweli na akinza kula chakula hamalizi!!
 
Mhe. Admn... unaweza kubadilisha toka "Breaking Kikatuni News" to "Kikatuni kilichomkera Lowassa"... I think the breaking part imeshatoka...
 
Bora kuikimbia Nchi kama anavyo elezewa Mwanakijiji badala ya kubakia na kufanya mambo kama ya Lowasa ya kuiba mali zetu na kutumia mabavu kuenbdesha Nchi kwake madaraka ni bora kuliko maisha ya Mtanzania .
 
Najua ni weekend.. basi nimeonelea niwaoneshe picha niliyotumiwa toka kijijini, ati inadaiwa nyumba hii ni ya mwanakijiji mmoja maarufu pale kijijini na iko maeneo ya Upanga. Hivi ni nani amewahi kuiona au ndio fitina za watu?

frontofhouse.jpg


housepool.jpg

Picha nyingine ziko njiani...
 
Duh! Heshima mbele mkuu, nimeushitukia huo ungo wa TV huko nyuma ya nyumba, gademit hiyo ni nyumba ya our dear friend wa hii forum ndugu MANJI, mimi huwa naiona nje tu na kwa mbali, duh!

Kumbe ndio maana alikuwa anatusumbua kule bungeni na kesi uchwara?

Mungu Ibariki Bongo!
 
I would really really really love to live there, but then again HOW?! Kwa kweli kokote iliko, tukiachana na siasa - hiyo nyumba ni babkubwa...

SteveD.
 
I will be totally gutted kama hiyo nyumba ni ya kigogo fulani wa serikali.
 
Nafikiri hakuna dhambi kwa "successful person" kuwa na nyumba nzuri kutokana na taste yake. Tusifanye watu wakaona dhambi kuwa na nyumba nzuri.
 
Nafikiri hakuna dhambi kwa "successful person" kuwa na nyumba nzuri kutokana na taste yake. Tusifanye watu wakaona dhambi kuwa na nyumba nzuri.
Isiwe tu pesa iliyopatikana kwa rushwa- ktk nchi ambayo watu wana umaskini wa kutisha!
Hii ni dhambi!
Ila kama ni mali ya jasho la halali- poa sana- nami nampongeza!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom