Ndege ya Lowassa inayopaa, na abiria walioachwa wameduwaa!

Mugongo, kama uliona majibu yao jina la Mwanakijiji limetajwa mara kumi na sita ( X 16).
 
mugongo, mtani you are late for the whole week! wenzio walishaingalia waliocheka walishacheka, na walionuna walishanuna. Na sidhani kikatuni peke yake ndiyo kiliwafanya wajibu. Hivi katika majibu yao uliona jina la M. Saidi au reference yoyote ya kikatuni? PMO walikuwa wanajibu mimi na Allan.

What does my signature say.....?
 
Mugongo2
You are a real spin doctor. CCM could really use you!

Sure he is.Catch though,is,CCM uses,and disposes of,people just like condoms.Before tendo la ndoa,kondomu huwa na umuhimu mkubwa ajabu lakini once ikishatumika inakuwa flushed away (kwa wale wastaarab,kwani wengine huzirusha nje ya dirisha zikageuzwe maputo na watoto).

Beware,you have been warned!!!!
 
Thanks for 411 Mzee Mwanakijiji. Kumbe kilichowakasirisha sio content ya article (I am not surprised because it was really shallow), bali ni a funny cartoon. I will print this out and ask folks at PMO kama ni kweli an innocent cartoon, which we see everyday here, is what prompted them to respond to you.

Wow!

I love 'em politics
 
Nimeangalia ila pc yangu inaonyesha alama ya mkasi badala ya hiyo katuni !
 
Hao wabnge walikuwa wanacheka kitu kingine. Hawawezi hata siku moja kumcheka EL! Wangekuwa na ubavu huo, asingekuwa anawanyamazisha wasichangie hoja nzito bungeni nao wakanywea kama inavyodaiwa kila mra hapa. Labda nipate mtu wa kunihakikishia kwamba hizo nazo huwa ni uzushi tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom