Ndege ya Lowassa inayopaa, na abiria walioachwa wameduwaa!

Mchoraji wa Katuni (Bw.Said Michael) Naona amefikisha message nzito labda kuliko Article yako Mh. MKJJ,Kwa sababu ndege imeruka na Lowasa peke yake,na waliobaki chini wamechoka kweli kweli,wanaonekana wamedhoofu na wote hawana hata uwezo wa kununua mashati,namuona mmoja tu ambaye ana shati,na kwa mawazo yangu huyo ni mjumbe wa Nyumba 10,kama sio m/kiti wa CCM hapo kijijini.
Naona timu ya Habari ya Waziri Mkuu wataijibu katuni hiyo!Tuna kazi kweli kweli!!
 
No wonder PM alikasirika!
Ndege inapaa.. madirisha wazi, jamaa anachungulia dirishani.. hasikii upepo wala nini.. SAFETY ZERO!.. sijui akiporonyoka itakuwaje maskini!
hata mimi ningekuwa bungeni then nikakutana na PM uso kwa uso ningevunjika mbavu!
Teh Teh!!!
 
mwawado.. hiyo katuni ilienda sambamba na ile article kwani sidhani kama article peke yake ingewafanya wakurupuke kujibu. Nasikia siku ile ya Jumatano kwenye viwanja vya Bunge wabunge walionekana wakichekea pembeni na Kiongozi wetu shujaa, hodari na mahili aliyetamba Bungeni alipoona hiyo nakala mori ulianza kumpanda.... ndipo akaamuru mvua inyeshe!
 
Mwawado tena huyo mjumbe wa nyumba kumi kumi ndiye peke yake anayepungia akiungwa mkono na hako katoto kasiko na shati..!! mweh! mazingaombwe haya.
 
Huyo mjumbe anapungia au anajikinga uso na upepo.. maana ndege inaruka chini chini!
 
If Only He Could Recall The Time Bwm Left Out In The Cold And Pub Crawled Looking For Friends.nobody Wanted To Even Reply To His jambo
 
Thanks for 411 Mzee Mwanakijiji. Kumbe kilichowakasirisha sio content ya article (I am not surprised because it was really shallow), bali ni a funny cartoon. I will print this out and ask folks at PMO kama ni kweli an innocent cartoon, which we see everyday here, is what prompted them to respond to you.
 
mugongo, mtani you are late for the whole week! wenzio walishaingalia waliocheka walishacheka, na walionuna walishanuna. Na sidhani kikatuni peke yake ndiyo kiliwafanya wajibu. Hivi katika majibu yao uliona jina la M. Saidi au reference yoyote ya kikatuni? PMO walikuwa wanajibu mimi na Allan.
 
wrong thread mister! hapa kinajadiliwa "kupaa kwa ndege ya Lowassa". So this thread is not reachable.
Dada angu nakubali. lakini kuna Helikopta ya Mbowe nayo. kuna ile picha ya Muhonga kwenye Helikopta akiwa na kandambili unasemaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom