Ndalichako: Wanaodaiwa na HESLB tutaweka majina yao magazetini kuwashinikiza kulipa

Badala ya kuweka magazetini, ingekuwa vizuri wayaweke kwnye tovuti yao ili watu waweze kuona kiasi wanachodaiwa na kupanga kulipa. Hii itasaidia kwa watu wenye nia nzuri wanaweza kwenda na kukubaliana namna bora ya kulipa kuliko kutisha watu kuwa watatangazwa kwenye magazeti ilhali kumbukumbu hazipo.

Hawana records yeyote, wanataka kwenda kwenye vyuo wachukue majina ya wahitimu ili wazime moto. Kuna watakaobambikiwa madeni
 
Tangu nizaliwe cjawahi andikwa kwenye gazet nasubir niuze sura gazetin
 
Back
Top Bottom