Ndachuwa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 6,269
- 4,570
Unazungumza nini? Private sector wanalipishwa kodi mpaka kwenye Posho; nyie huko Posho hazikatwi kodi sasa sijui unalalamika niniUnaweka majina ya nni?
Kwenye ualimu walidai kuna grant na mkopo. Grant hatukutakiwa kurejeshs ila sasa tunarejesha zote na retation fee.
Isitoshe ilitakiwa walau wanaofanya kazi kwenye public sector wangepewa hata robo ya msamaga wa mkopo kama motivation. Cha ajabu unaajiriwa na govt. msalary njiwa na bado wanakata mule mule sawa na wale wanaotumikia private sector wenye mishahara mikubwa na kwa faida ya bwana kheri.
Hvi vitu tunaomba vifanyiwe marekebisho lkn hamna lolote.