Nchi yetu inaitwa Tanganyika

Dar es salaam ina muilekeo wa uarabu, kuna wawekezaji hawapendi hata kuitamka, wala sio jina la kiafrika
 
Wadau, naona Muungano huu haupo. Tujiandae kisaikolojia. Nashauri ukishavunjika taifa letu liendelee kuitwa Tanzania, maana wengi hatuijui Tanganyika. Mnasemaje?

jamani nchi iitwe "Alfani kikwete"
tukifanya hivi tutakuwa tumefanya uzalendo wa kumuenzi Rais wetu kipenzi.
 
Wadau, naona Muungano huu haupo. Tujiandae kisaikolojia. Nashauri ukishavunjika taifa letu liendelee kuitwa Tanzania, maana wengi hatuijui Tanganyika. Mnasemaje?

Swali zuri sana.

Tuendele kuitwa TANZANIA.

Nchi imeshabadilishwa majina mara nyingi mno. Kurudia jina la Tanganyika ni utumwa. Kama lazima kurudia majina ya kikoloni, basi ni bora turudie jina la kuanza kabisa alilotuachia muasisi wa kweli wa taifa, Karl Peters, yaani German East Africa.

Kwanza kuabudu mno mstakabali aliotuachia Muingereza ni dalili ya kutoelewa hii nchi imetokea wapi na inaenda wapi. Mjerumani alitawala hili taifa vizuri zaidi kuliko muingereza, Muingereza alipewa koloni na UN alisimamie tu mpaka litapoweza kujitawala, hivyo hakufanya chochote kuliendeleza hili koloni.
 
Jamani watanganyika wenzangu ila hamna haja ya kuwaachia hao midebwedo kale ka-nchi kao kwani nasikia kana mafuta na gas so ni vyema tukachimba ss weeee, alafu tukimaliza ndo tuwape wauwane pia tutakuwa tumefidia gaharama za makanisa na bar zilizochomwa kule kwao.
 
we have ours! we just need a proper exploitation
 
Nani kakwambia muungano utavunjika? Viongozi wa CCM visiwani hawawezi kuruhusu uvunjike maana watanyongwa kama mfalme Louis XVI alivyofanyiwa na mapinduzi ya Ufaransa. Au tuseme watanyongwa kama mfalme Charles I alivyonyongwa na akina Oliver Cromwell kwa kosa la uhaini. Kimsingi si wabara wala wazanzibari wanaohusudu muungano bali viongozi wa CCM. Kitu kingine ni kwamba kwa wale wanaoshabikia kuvunja muungano, wajiulize, wazanzibari walioko bara watatosha kuishi kwenye visiwa vile?
 
Na huko bara waislamu ndio wengi kuliko nyie, mkiendelea kuwa nyanyasa na kuwanyima elimu watawafanya kama sisi. Kumbukeni wao ndio walioleta uhuru kwa kumkaribisha nyerere ili awashawishi wakristo/wamissionary walokuwa wanakumbatia ukoloni. Japo nyerere aliwasaliti na kuwanyima maendeleo hasa katika mikoa yao.
 
Hii ndi hoja ya chadema na mnatupa wasiwasi kama hizi fujo zilizotokea zanzibar ya kua ....... Watu sasa wanunganisha nchi ili kupata fursa zaidi na maendeleeo nyinyi mnazungumzia tanganyika nini mazuri ya tanganyika wakati sisis tangu tunazaliwa tunaiona tanganyika na mazuri yake kwa ujumla.
 
Na huko bara waislamu ndio wengi kuliko nyie, mkiendelea kuwa nyanyasa na kuwanyima elimu watawafanya kama sisi. Kumbukeni wao ndio walioleta uhuru kwa kumkaribisha nyerere ili awashawishi wakristo/wamissionary walokuwa wanakumbatia ukoloni. Japo nyerere aliwasaliti na kuwanyima maendeleo hasa katika mikoa yao.

sasa kama nyie ndo wengi bara inakuaje mnalalama tunawanyanyasa??? raisi muislam makam muislam raisi wa znz muislam makam wakwanza muislam wa pili muislam na bado mnalalama??? nyie mnalaana...ondokeni tuachieni tanganyika yetu, waislam wa bongo si kama wa huko znz msitupandikizie chukochoko hapa..
 
Zione wewe ndio umelaanika kwani watu wako huru keleza maoni yao pia refer human behavior kila mtu analia mamaangu waislmu haki yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom