Alexism
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 3,423
- 2,045
Ah ah unajua kuwa ata zanzibar ni muungano wa sehemu mbili?Zanzibar imeundwa na Unguja na Pemba then Tanzania=Tanganyika+Unguja+Pemba au inakuaje? 1964 Tanganyika +Zanzibar=Tanzania sasa nchi ya Tanzania bara ilitoka wapi?Then kama imeanza 1977 bado haijafikisha 50yrs na hapo muungano Tanganyika na Zanzibar basi ulivunjika 1977 then ukaanza wa Tanzania bara na Zanzibar then hiyo tz bara nani aliiunda na hiko wapi ana its government???